Viongozi Simba matokeo haya yanawahusu

Viongozi Simba matokeo haya yanawahusu

Kocha hana tatizo lolote lile.
Mgunda ndo angefukuzwa mapema sana.
Ungekuwa na akili ungejua kuwa makocha wa kizungu wanahitaji miaka hadi miwili ili kujenga falsafa yao wafanikiwe na kwa hiyo usingetarajia matokeo kabisa.
 
Ungekuwa na akili ungejua kuwa makocha wa kizungu wanahitaji miaka hadi miwili ili kujenga falsafa yao wafanikiwe na kwa hiyo usingetarajia matokeo kabisa.
Sawa mama
 
Viongozi wa Simba kiburi chenu cha kutosikiliza ushauri, hii aibu inawahusu.

Watu wengi walishauri kuwa haikuwa wakati sahihi wa kumleta kocha mpya katika dirisha dogo wakati aliyekuwapo alikuwa anafanya vizuri. Au kwa vile Mgunda amekuwa mzawa ndiyo mukamdharau.

Mechi zote za kimataifa alifanya vizuri nje ndani. Sasa mlitaka nini? KIBURI SI MAUNGWANA.
Mgunda ndio takataka gani?
 
Mgunda ndio takataka gani? Simba ni mbovu tu
 
Kaka Raja wazuri sio level zetu, hata kesho yanga anapigwa nyingi Tu, level my brother level
Umesema kweli mkuu ukiangalia Al ahly alivyopigwa na Madrid ilikuwa level
 
Kwahyo kuwepo Kwa pengo lake ndo kunafanya yeye awe Bora?? Hata kama Kanoute angekuwepo isingebadili chochote pengine ndo angepata redcard kabisa, Wale jamaa wanaujua mpira hawana longolongo..
We shabiki maandazi hata ulaya team inaweza kufungwa na kocha akataja moja ya sababu za kufungwa ni mchezaji fulani kukosekana kwenye team yake inamaana hao wachezaji wengine hawajui kucheza au kila team ina mfumo wake na team inatengenezwa kupitia mchezaji fulani.

Sent from my SM-N950F using JamiiForums mobile app
 
Na asipopigwa?

Kwa mtu ambae anajua mpira lazima utaheshimu level ya mpinzani wako

Ila Kwa wale ambao ni mashabiki Tu na hajui mpira anaweza kusema yanga inaweza kuchukua kombe
 
Mnaofikiri Mgunda angetoboa jana hamjui mpira! Jana tumeoneshwa quality za wachezaji wa kufika nusu fainali sio maneno.

Sent from my SM-A315F using JamiiForums mobile app
 
Mnaofikiri Mgunda angetoboa jana hamjui mpira! Jana tumeoneshwa quality za wachezaji wa kufika nusu fainali sio maneno.

Sent from my SM-A315F using JamiiForums mobile app
Naona saivi akili ishakaa sawa siku nyingine tukiwa tunabishana utakua unaujua ukweli maana juzi hapa ulikua unabisha unajimaliza kabisa
 
Na nyie mashabiki pia mlaumiwe ambao mnakubali kudanganyika kirahisi kwa propaganda za kizamani..
 
Hao viongozi wana kauli juu ya Simba?wafuatilieni kila kitu Mo.kuomba kusajili mo,kumleta kocha mo alitweet mkapiga kura.sijui hii klabu inaendeshwaje.omba omba kwa Mo kwa kila Jambo .ebu angalieni katiba yenu.
Mapato ya Yanga yanasimamiwa na rais wa klabu na viongozi waliochaguliwa angalau kwa mfumo unaoeleweka.gsm fedha anazolipa klabu zipo kimkataba sio kubembelezwa.
Wenye madaraka huko Simba wanalipa wachambuzi mchongo huwezi sikia mapungufu ya uendeshaji .Maskini Mangungu mtamuonea Hana lolote la kuamua.Yanga Ina bahati Sana Ina wachambuzi wengi wa kukosoa viongozi,akina Jemedari,Oruma aka balozi wa wapanda daladala,Geoff so viongozi wanakuwa makini.wanayanga mfuraie ukosoaji unawasaidia viongozi kuwajibika
 
We shabiki maandazi hata ulaya team inaweza kufungwa na kocha akataja moja ya sababu za kufungwa ni mchezaji fulani kukosekana kwenye team yake inamaana hao wachezaji wengine hawajui kucheza au kila team ina mfumo wake na team inatengenezwa kupitia mchezaji fulani.

Sent from my SM-N950F using JamiiForums mobile app
Narudia tena Kwa sauti kubwa Kanoute ni mchezaji wa kawaida tu tena Sana, na game ya Jana hata angekuwepo asingeongeza chochote, na Simba haijajengwa kupitia Kanoute usitudanganye..No Chama No Simba hao kina Kanoute ni tia maji tia maji tu
 
Back
Top Bottom