dr namugari
JF-Expert Member
- Nov 19, 2022
- 10,466
- 18,206
Hili alitambue sanaMtoa mada njia mliopitia kuingia kwenye hatua ya makundi haikuwa ngumu mzee
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hili alitambue sanaMtoa mada njia mliopitia kuingia kwenye hatua ya makundi haikuwa ngumu mzee
Kale sjui hata walikisajili Cha Nini.Banda kila siku anaumia mazoezini[emoji16]
Mzigo tu ule.
Tatizo Mgunda aliachana na lile jinzi lake na kuanza kupiga pamba kali na hivyo kupoteza maana ya kuendelea kuwepo Simba. Ikabidi viongozi watafute Kocha mwingineNakuunga mkono.
Sikuelewa kwa nini walikurupuka kuleta kocha mpya katika wakati usio sahihi.
Ona, alivokuja tu akaanza na ku frustrate wachezaji. Ati huyu hafai kwenye mfumo wangu. Bla bla nyiiingi. Waona mbali tuligundua mapema, baada ya kusikia majigambo mengi.
Nasemaje hakika hii ni laana yakumnyima mkataba mgunda wakati amepafomu more than 80% huyo mzungu akifika april sijuiViongozi wa Simba kiburi chenu cha kutosikiliza ushauri, hii aibu inawahusu.
Watu wengi walishauri kuwa haikuwa wakati sahihi wa kumleta kocha mpya katika dirisha dogo wakati aliyekuwapo alikuwa anafanya vizuri. Au kwa vile Mgunda amekuwa mzawa ndiyo mukamdharau.
Mechi zote za kimataifa alifanya vizuri nje ndani. Sasa mlitaka nini? KIBURI SI MAUNGWANA.
Wewe kwa vile umekalia ushabiki, hata vitu vya maana vikiongelewa hutaelewa.Viongozi wanashida Gani wewe, tatizo ni mashabiki mandazi. Ilishaonekana kabisa Hamna timu mle lakini ukikutana na mashabiki wa simba utadhani sijui ni psg vile
Hujui mpira ww leo hujaona pengo la kanoute pale katiKanoute siyo top quality player, hata kwenye average hayumo ni mchezaji wa kawaida mno hasa kwa mpira wa kisasa..kitu anachokiweza Kwa asilimia Mia ni kucheza fouls tu
Viongozi wa Simba kiburi chenu cha kutosikiliza ushauri, hii aibu inawahusu.
Watu wengi walishauri kuwa haikuwa wakati sahihi wa kumleta kocha mpya katika dirisha dogo wakati aliyekuwapo alikuwa anafanya vizuri. Au kwa vile Mgunda amekuwa mzawa ndiyo mukamdharau.
Mechi zote za kimataifa alifanya vizuri nje ndani. Sasa mlitaka nini? KIBURI SI MAUNGWANA.
Issue ni kocha anaweza kutengeneza mfumo..
Tafuteni kocha fund na mzoefu wa soka africa ..ili mdumu naye...yaani kuona tu viper mmekurupuka
Acha ndotoKaka Raja wazuri sio level zetu, hata kesho yanga anapigwa nyingi Tu, level my brother level
Mzee usitoe lawama tu angalia timu alizocheza nazo mgunda hazifanani kabisa ubora na hizi za stage hii...hata huyu Kocha mpya asingeletwa Simba isingeweza kutoboa,Viongozi wa Simba kiburi chenu cha kutosikiliza ushauri, hii aibu inawahusu.
Watu wengi walishauri kuwa haikuwa wakati sahihi wa kumleta kocha mpya katika dirisha dogo wakati aliyekuwapo alikuwa anafanya vizuri. Au kwa vile Mgunda amekuwa mzawa ndiyo mukamdharau.
Mechi zote za kimataifa alifanya vizuri nje ndani. Sasa mlitaka nini? KIBURI SI MAUNGWANA.
Tatizo na wewe upo kwenye lile kundi la kusubiri matokeo lakini sio kwenye kundi la kufanikisha matokeo. Lazima ujue viongozi huwa ni wanufaika wa pande mbili, kwanza wanufaika wa matokeo ya uwanjani pindi simba ikishinda lkn pia ni wanufaika wa kifedha. Sometime viongozi kwa maslah Yao ya kifedha wanaweza kusajili wachezaji wa kuokota ilimradi wafanikishe maslai Yao ya kiuchumi km msimu huu Simba walivyofanya lakini ili kufanikisha malengo Yao lazima waje na idea za kuwa brainwash washabiki juu ya usajili walioufanya. Kelele nyingi kwenye media. Hebu jiulize msimu wa 2022/2023 Simba wamesajili wachezaji wangapi mpk Sasa alafu niambie wachezaji wangapi angalao wanamkaribia miquison au Okwi. Yaan uuze mchezaji 4 billion afu ukanunue mchezaji wa 200 million uje ushindane na timu iliyowekeza billions kwa mchezaji mmoja. Tusipumbazwe hivyo jmn.Wewe kwa vile umekalia ushabiki, hata vitu vya maana vikiongelewa hutaelewa.
Mashabiki wana uwezo wa kuleta kocha? Shabiki kazi yake kushabikia na kutarajia kupata matokeo mazuri. Hajali nini chanzo Cha matokeo hayo. Kinyune cha matarajio yake anatukana. Kwani upande huo mashabiki wanasemaje juu ya timu yao? matokeo yao?
Kabla ya mechi hii quality mnayoiongelea saivi mlikua hamjui ndo maana mkawa mnaaminishana kwa mkapa hatoki mtu?Wabongo bwana, tunapenda kufanya mambo marahisi
Simba amefungwa sababu ya ubora wa wapinzani, wale jamaa ni Bora kila sehemu, kuanzia bajet salary mpaka team
Hata kama angekuwa mgunda still angefungwa Tu na mngepiga kelele kuwa why viongozi hawaleti kocha mpya
Na asipopigwa?Kaka Raja wazuri sio level zetu, hata kesho yanga anapigwa nyingi Tu, level my brother level
Hao wengine sawa ila kanoute ni top quality player
Sent from my SM-N950F using JamiiForums mobile app
Acheni kulaumu viongozi ambao mliwachagua wenyewe hata baada kutapeliwa na kuletewa Manzoki kwenye mkutano.Viongozi wa Simba kiburi chenu cha kutosikiliza ushauri, hii aibu inawahusu.