Slowly
JF-Expert Member
- Jul 7, 2016
- 10,589
- 35,268
Alaf Israel sio Taifa teule right now , Wana vinasaba Tu vya mibaraka waliyoipata babu zao , Ila mbele ya Mungu hawana potentiality yyte kuzidi mataifa mengine!
Ni kuzidiana uwezo Tu ambao ipo kat ya binadamu na binadamu lakni sio kusema mmoja Mungu anamjali kuliko mwingine
Ni kuzidiana uwezo Tu ambao ipo kat ya binadamu na binadamu lakni sio kusema mmoja Mungu anamjali kuliko mwingine