ol nadhani List haijatimia. List itatimia tu pale atakapoongezwa JPM.
Hapo kwa Gadafi sijui alikuwa anaikomboa Afrika ipi?Nililenga wale walio kuwa msatari wa mbele kuikomboa
Africa
wafia din watakushambulia maana hawapendi ukweli[emoji41][emoji41]Alaf Israel sio Taifa teule right now , Wana vinasaba Tu vya mibaraka waliyoipata babu zao , Ila mbele ya Mungu hawana potentiality yyte kuzidi mataifa mengine .....!! Ni kuzidiana uwezo Tu ambao ipo kat ya binadamu na binadamu lakni sio kusema mmoja Mungu anamjali kuliko mwingine
JPM yupo kwenye orodha ya kina Idd Amin, Bokasa, Paul Kagame and likes.Hapo nadhani List haijatimia. List itatimia tu pale atakapoongezwa JPM.
Mzee ni msafi Sana,Hana ukwasi Kama ambao Ngosha ameiachia famili YakeKwani huyo amefariki?
Mzee ni msafi Sana,Hana ukwasi Kama ambao Ngosha ameiachia famili Yake
Vasco Dagama wa karne ya 21J.M.Kikwete