Kwa usajili ambao huwa wanafanya sioni mantiki ya hizi figisu zao. Africa tuna safari ndefu sanaUmekuwepo uhuni kwenye mashindano ya CAF, pale ambapo ambapo zinacheza timu za viongozi wa CAF
Rais wa CAF Patrice Motsseppe ndo mmiliki wa Mamelod Sundown na Vice president wa CAF Fouz Lekjaa ndo mmiliki wa RS Berkane
Wote tunaona upendeleo anaopewa Mamelod Sundown kwenye haya mashindano,
Mamelod ndo timu pekee Kwenye mashindano anacheza na mpinzani mchana wa jua kali saa 8 au saa 9, Mamelod hajawahi kucheza mechi ya CAF saa 10 na kuendelea
Kumbuka huu ugumu wa hali ya hewa ashauzoea na anafanya maksudi ili kuwapa wapinzani ugumu
Mamelod amekuwa akicheza kwa kuchagua viwanja na kupanga waaamuzi na waamuzi wanakuwa upande wake kwenye matukio
Tukumbuke jopo waamuzi walikataa goli la Yanga ambalo hata mwanangu darasa la 3 alitambua kuwa lile ni goli
Hii imechipua Kwa makamu wake Fouz Lekjaa ambaye ndo mmiliki wa RS Berkane alifanya figusi nyingi mechi ya Simba, Kwanza alikataa uwanja wa Mkapa pamoja na juhudi za serikali, TFF na Simba hawakufanikiwa
Pili alibadili muda wa mchezo ulikuwa ipigwe saa 1 usiku hadi saa 10, hayo yote ili kuipa upendeleo timu yake
Tuliona waamuzi walikuwa upande wa RS Berkane, yaani waliambiwa bingwa awe RS Berkane, mwamuzi alifanya kila mbinu ila RS Berkane wapate urahisi wa mchezo
Uchaguzi wa CAF ujao napendekeza Rais awe Samuel Eto'o
Full time unapata on target 1 unakurupuka kuja kulaumu viongoz wa CAF, seriously 🚮🚮🚮Umekuwepo uhuni kwenye mashindano ya CAF, pale ambapo ambapo zinacheza timu za viongozi wa CAF
Rais wa CAF Patrice Motsseppe ndo mmiliki wa Mamelod Sundown na Vice president wa CAF Fouz Lekjaa ndo mmiliki wa RS Berkane
Wote tunaona upendeleo anaopewa Mamelod Sundown kwenye haya mashindano,
Mamelod ndo timu pekee Kwenye mashindano anacheza na mpinzani mchana wa jua kali saa 8 au saa 9, Mamelod hajawahi kucheza mechi ya CAF saa 10 na kuendelea
Kumbuka huu ugumu wa hali ya hewa ashauzoea na anafanya maksudi ili kuwapa wapinzani ugumu
Mamelod amekuwa akicheza kwa kuchagua viwanja na kupanga waaamuzi na waamuzi wanakuwa upande wake kwenye matukio
Tukumbuke jopo waamuzi walikataa goli la Yanga ambalo hata mwanangu darasa la 3 alitambua kuwa lile ni goli
Hii imechipua Kwa makamu wake Fouz Lekjaa ambaye ndo mmiliki wa RS Berkane alifanya figusi nyingi mechi ya Simba, Kwanza alikataa uwanja wa Mkapa pamoja na juhudi za serikali, TFF na Simba hawakufanikiwa
Pili alibadili muda wa mchezo ulikuwa ipigwe saa 1 usiku hadi saa 10, hayo yote ili kuipa upendeleo timu yake
Tuliona waamuzi walikuwa upande wa RS Berkane, yaani waliambiwa bingwa awe RS Berkane, mwamuzi alifanya kila mbinu ila RS Berkane wapate urahisi wa mchezo
Uchaguzi wa CAF ujao napendekeza Rais awe Samuel Eto'o
Tusaidie kizazi kijachoKuna ukweli ndani yake lakini huenda Simba ingepata ubingwa jana huu ujumbe usingekuwepo.
Mkiambiwa waafrica nyie manyani tuu mnakataa lakini mambo kama haya yanadhihirisha pasipo shaka kwamba mwafrica ni nyani aliye changamkaUmekuwepo uhuni kwenye mashindano ya CAF, pale ambapo ambapo zinacheza timu za viongozi wa CAF
Rais wa CAF Patrice Motsseppe ndo mmiliki wa Mamelod Sundown na Vice president wa CAF Fouz Lekjaa ndo mmiliki wa RS Berkane
Wote tunaona upendeleo anaopewa Mamelod Sundown kwenye haya mashindano,
Mamelod ndo timu pekee Kwenye mashindano anacheza na mpinzani mchana wa jua kali saa 8 au saa 9, Mamelod hajawahi kucheza mechi ya CAF saa 10 na kuendelea
Kumbuka huu ugumu wa hali ya hewa ashauzoea na anafanya maksudi ili kuwapa wapinzani ugumu
Mamelod amekuwa akicheza kwa kuchagua viwanja na kupanga waaamuzi na waamuzi wanakuwa upande wake kwenye matukio
Tukumbuke jopo waamuzi walikataa goli la Yanga ambalo hata mwanangu darasa la 3 alitambua kuwa lile ni goli
Hii imechipua Kwa makamu wake Fouz Lekjaa ambaye ndo mmiliki wa RS Berkane alifanya figusi nyingi mechi ya Simba, Kwanza alikataa uwanja wa Mkapa pamoja na juhudi za serikali, TFF na Simba hawakufanikiwa
Pili alibadili muda wa mchezo ulikuwa ipigwe saa 1 usiku hadi saa 10, hayo yote ili kuipa upendeleo timu yake
Tuliona waamuzi walikuwa upande wa RS Berkane, yaani waliambiwa bingwa awe RS Berkane, mwamuzi alifanya kila mbinu ila RS Berkane wapate urahisi wa mchezo
Uchaguzi wa CAF ujao napendekeza Rais awe Samuel Eto'o
Waafrika tuko kwenye mapambano ya kua binadamu kamiliMkiambiwa waafrica nyie manyani tuu mnakataa lakini mambo kama haya yanadhihirisha pasipo shaka kwamba mwafrica ni nyani aliye changamka
Mkuu Nankanga mjini kabisa mbona, niliwahi fika zamaniSikuangalia Mechi Jana... Maana niko Sumbawanga huku ndani ndani kabisaaa Kunaitwa NANKANGA. Simba alishida goal ngap?