Viongozi wa CAF wasimiliki timu zinazoshiriki mashindano wanayosimamia

Mamelodi kila mechi anafungwa magoli VAR inakataa.. ila akifunga yeye tu linakuwa goli
 
Umekuwepo uhuni kwenye mashindano ya CAF, pale ambapo ambapo zinacheza timu za viongozi wa CAF

Rais wa CAF Patrice Motsseppe ndo mmiliki wa Mamelod Sundown na Vice president wa CAF Fouz Lekjaa ndo mmiliki wa RS Berkane

Wote tunaona upendeleo anaopewa Mamelod Sundown kwenye haya mashindano,
Mamelod ndo timu pekee Kwenye mashindano anacheza na mpinzani mchana wa jua kali saa 8 au saa 9, Mamelod hajawahi kucheza mechi ya CAF saa 10 na kuendelea
Kumbuka huu ugumu wa hali ya hewa ashauzoea na anafanya maksudi ili kuwapa wapinzani ugumu

Mamelod amekuwa akicheza kwa kuchagua viwanja na kupanga waaamuzi na waamuzi wanakuwa upande wake kwenye matukio

Tukumbuke jopo waamuzi walikataa goli la Yanga ambalo hata mwanangu darasa la 3 alitambua kuwa lile ni goli

Hii imechipua Kwa makamu wake Fouz Lekjaa ambaye ndo mmiliki wa RS Berkane alifanya figusi nyingi mechi ya Simba, Kwanza alikataa uwanja wa Mkapa pamoja na juhudi za serikali, TFF na Simba hawakufanikiwa

Pili alibadili muda wa mchezo ulikuwa ipigwe saa 1 usiku hadi saa 10, hayo yote ili kuipa upendeleo timu yake

Tuliona waamuzi walikuwa upande wa RS Berkane, yaani waliambiwa bingwa awe RS Berkane, mwamuzi alifanya kila mbinu ila RS Berkane wapate urahisi wa mchezo

Uchaguzi wa CAF ujao napendekeza Rais awe Samuel Eto'o
Huyo Rais wa Berkane na waamuzi mnawaonea tu. Berkane iko mbali sana kiuwezo uwanjani ukilinganisha na Simba.
 
Nitasikitika sana nikimuona Mwana simba anaumia kwa kukosa kombe.

Mchezo wa Jana ulikuwa umeisha Pangwa bingwa alikuwa amepangwa Tayari.

Kilichokuwa kinatokea pale uwanjani ni Kukamilisha Ratiba tu

Nilikata tamaa baada ya
1. simba Kunyimwa Uwanja wa Benjanin Mkapa.
2. Mwamuzi wa mchezo wa Fainali kuwa yule aliyekataa Goli la azizi ki na mwenye matukio mengi ya Utata Dahhane Beida (Benin)
3.kadi nyekudu ya Kagoma dk 50 na Mwamuzi Kukataa kuangalia tukio kwenye VAR .
4. Kukataa goli la simba na kukataa kuangalia VAR.
5. Kuua move nyingi sana za Simba nk.

Yule Refaree huwa anapangwa mechi za kimkakati kukamilisha matakwa ya ma boss wake.

Kombe liliandikwa CHAMPION RS Berkane 24- 2025. kabla halijafika uwanjani
 
Umekuwepo uhuni kwenye mashindano ya CAF, pale ambapo ambapo zinacheza timu za viongozi wa CAF

Rais wa CAF Patrice Motsseppe ndo mmiliki wa Mamelod Sundown na Vice president wa CAF Fouz Lekjaa ndo mmiliki wa RS Berkane

Wote tunaona upendeleo anaopewa Mamelod Sundown kwenye haya mashindano,
Mamelod ndo timu pekee Kwenye mashindano anacheza na mpinzani mchana wa jua kali saa 8 au saa 9, Mamelod hajawahi kucheza mechi ya CAF saa 10 na kuendelea
Kumbuka huu ugumu wa hali ya hewa ashauzoea na anafanya maksudi ili kuwapa wapinzani ugumu

Mamelod amekuwa akicheza kwa kuchagua viwanja na kupanga waaamuzi na waamuzi wanakuwa upande wake kwenye matukio

Tukumbuke jopo waamuzi walikataa goli la Yanga ambalo hata mwanangu darasa la 3 alitambua kuwa lile ni goli

Hii imechipua Kwa makamu wake Fouz Lekjaa ambaye ndo mmiliki wa RS Berkane alifanya figusi nyingi mechi ya Simba, Kwanza alikataa uwanja wa Mkapa pamoja na juhudi za serikali, TFF na Simba hawakufanikiwa

Pili alibadili muda wa mchezo ulikuwa ipigwe saa 1 usiku hadi saa 10, hayo yote ili kuipa upendeleo timu yake

Tuliona waamuzi walikuwa upande wa RS Berkane, yaani waliambiwa bingwa awe RS Berkane, mwamuzi alifanya kila mbinu ila RS Berkane wapate urahisi wa mchezo

Uchaguzi wa CAF ujao napendekeza Rais awe Samuel Eto'o
Pambana na hali zenuuu
 
Sisi ndiyo Simba SC AKA;
Screenshot_2025-05-18-12-05-22-14_73617a28b0d3e7e6a04848a88f233e6b.jpg

1. Makolokolo SC.
2. Mbumbumbu SC.
3. Mipang'ang'a SC.
4. Makelele SC.
5. Malalamiko/Lia lia SC.
6. Madunduka SC.
7. Manyang'au SC.
8. Manyaunyau/Mapaka SC.
9. Mazumbukuku SC.
10. Mwakarobo SC.
11. Mbeleko/Bebwa bebwa SC.
12. Manguruwe SC.
13. Miso Misonda SC.
14. Mikia SC.
15. Mbuzi SC.
16. Zuwena SC.
17. Khamsa Khamsa/5imba SC.
18. Kufa Kiume SC.
19. Kikanuni SC.
20. Bahasha SC.
21. Ngada SC.
22. Kolowizards SC.
23. Kamdomo SC.
 
Umekuwepo uhuni kwenye mashindano ya CAF, pale ambapo ambapo zinacheza timu za viongozi wa CAF

Rais wa CAF Patrice Motsseppe ndo mmiliki wa Mamelod Sundown na Vice president wa CAF Fouz Lekjaa ndo mmiliki wa RS Berkane

Wote tunaona upendeleo anaopewa Mamelod Sundown kwenye haya mashindano,
Mamelod ndo timu pekee Kwenye mashindano anacheza na mpinzani mchana wa jua kali saa 8 au saa 9, Mamelod hajawahi kucheza mechi ya CAF saa 10 na kuendelea
Kumbuka huu ugumu wa hali ya hewa ashauzoea na anafanya maksudi ili kuwapa wapinzani ugumu

Mamelod amekuwa akicheza kwa kuchagua viwanja na kupanga waaamuzi na waamuzi wanakuwa upande wake kwenye matukio

Tukumbuke jopo waamuzi walikataa goli la Yanga ambalo hata mwanangu darasa la 3 alitambua kuwa lile ni goli

Hii imechipua Kwa makamu wake Fouz Lekjaa ambaye ndo mmiliki wa RS Berkane alifanya figusi nyingi mechi ya Simba, Kwanza alikataa uwanja wa Mkapa pamoja na juhudi za serikali, TFF na Simba hawakufanikiwa

Pili alibadili muda wa mchezo ulikuwa ipigwe saa 1 usiku hadi saa 10, hayo yote ili kuipa upendeleo timu yake

Tuliona waamuzi walikuwa upande wa RS Berkane, yaani waliambiwa bingwa awe RS Berkane, mwamuzi alifanya kila mbinu ila RS Berkane wapate urahisi wa mchezo

Uchaguzi wa CAF ujao napendekeza Rais awe Samuel Eto'o
Hili ni wazi, kutakuwepo na mgongano wa kimasilahi. Viongozi wanatakiwa kuwa ni wataalamu wa maswala ya mpira, wamiliki wa vilabu wawe ni wajumbe wa bodi mbalimbali za Shirikisho hilo.
 
acha kuingiliana biashara za watu wewe fanya mambo yako
 
Inaonekana CAF siyo tena Confederation of African Football bali imegeuka kuwa Confederation of Allied Friends – yaani, mashindano yanapangwa kwenye dining table ya Patrice Motsepe na Fouz Lekjaa huku timu zingine zikiitwa “wageni wa mechi.” 💔
 
Inaonekana CAF siyo tena Confederation of African Football bali imegeuka kuwa Confederation of Allied Friends – yaani, mashindano yanapangwa kwenye dining table ya Patrice Motsepe na Fouz Lekjaa huku timu zingine zikiitwa “wageni wa mechi.” [emoji174]
Mpira ni mchezo wa wazi
Berkane kule Morocco haki ilifanyika kwa kukataliwa goli lao la tatu.
Simba wamepata goli lao la kwanza huku mchezaji wa Berkane akiwa amechezewa faulo, lakini mwamuzi akapeta na Simba ikapata goli.
Goli la pili la Simba ni clear offside haina hata mjadala.
Kadi nyekundu ni sahihi kwasababu tayari Kagoma alikuwa na yellow card.

Mechi dhidi ya Stellenbosch Simba iliruhusiwa kucheza kwa mikono na fresh tu hakukuwa na milio.
 
Baeleze ukweli mchungu Makolokolo hayo 😁
Ubinadamu ni kazi/The humanity is work.
 
Makolo yakishindwa soka yanakuja na viroja! Hapa bongo kila siku kulia na GSM kuwa amefadhili vilabu vingi, sasa swali je anaingia uwanjani?
 
Back
Top Bottom