Viongozi wa CAF wasimiliki timu zinazoshiriki mashindano wanayosimamia

Makolo yakishindwa soka yanakuja na viroja! Hapa bongo kila siku kulia na GSM kuwa amefadhili vilabu vingi, sasa swali je anaingia uwanjani?
Tunaomba majibu
 
Umekuwepo uhuni kwenye mashindano ya CAF, pale ambapo ambapo zinacheza timu za viongozi wa CAF

Rais wa CAF Patrice Motsseppe ndo mmiliki wa Mamelod Sundown na Vice president wa CAF Fouz Lekjaa ndo mmiliki wa RS Berkane

Wote tunaona upendeleo anaopewa Mamelod Sundown kwenye haya mashindano,
Mamelod ndo timu pekee Kwenye mashindano anacheza na mpinzani mchana wa jua kali saa 8 au saa 9, Mamelod hajawahi kucheza mechi ya CAF saa 10 na kuendelea
Kumbuka huu ugumu wa hali ya hewa ashauzoea na anafanya maksudi ili kuwapa wapinzani ugumu

Mamelod amekuwa akicheza kwa kuchagua viwanja na kupanga waaamuzi na waamuzi wanakuwa upande wake kwenye matukio

Tukumbuke jopo waamuzi walikataa goli la Yanga ambalo hata mwanangu darasa la 3 alitambua kuwa lile ni goli

Hii imechipua Kwa makamu wake Fouz Lekjaa ambaye ndo mmiliki wa RS Berkane alifanya figusi nyingi mechi ya Simba, Kwanza alikataa uwanja wa Mkapa pamoja na juhudi za serikali, TFF na Simba hawakufanikiwa

Pili alibadili muda wa mchezo ulikuwa ipigwe saa 1 usiku hadi saa 10, hayo yote ili kuipa upendeleo timu yake

Tuliona waamuzi walikuwa upande wa RS Berkane, yaani waliambiwa bingwa awe RS Berkane, mwamuzi alifanya kila mbinu ila RS Berkane wapate urahisi wa mchezo

Uchaguzi wa CAF ujao napendekeza Rais awe Samuel Eto'o
Najibu hoja kama ifuatavyo:
1. Kuhusu fainali ya shirikisho, hakuna ambaye hakuona uwanja ulivyokuwa mbovu kwenye mechi ya Simba vs Masri wakati pesa zilitolewa za ukarabati mapema tu.

2. Kuhusu Mamelod, Pyramid alisawazisha goli dakika za jioni na refa alikubali. Maana yake ni kwamba, ukiona kuna dalili za timu kubebwa, timu ijitahidi kucheza kwa bidii na kufunga magoli ya bila utata. Kwa mfano, Kapombe angefunga lile goli la wazi unahisi refa angekataa?

Subiri fainali ya Championship utaona Pyramids atakavyomsumbua Mamelod pamoja na kumilikiwa na Motsepe.
 
Hilo sahau
 
Naendelea kusisitiza TFF ni kikundi cha wahuni waliojificha kwenye uongozi wa soka!

Jana nimeangalia tena mechi ya Simba tena na RS Berkane, mwanzo mwisho na mpaka saizi sijaona kosa la refa ni nini,kadi nyekundu ya kagoma ni sahihi,japo marefa wetu huwa wanawadekeza wachezaji wetu hata wakikosea hawaadhibiwi ipasavyo hasa hizi timu zetu pendwa,goli la mkwala ni clear offside.......na mambo mengine generally sijaona makosa ya kimsingi yaliyoinyima Simba ubingwa....... nadhani kujificha kwa mwamuzi si sawa
 
Umekuwepo uhuni kwenye mashindano ya CAF, pale ambapo ambapo zinacheza timu za viongozi wa CAF

Rais wa CAF Patrice Motsseppe ndo mmiliki wa Mamelod Sundown na Vice president wa CAF Fouz Lekjaa ndo mmiliki wa RS Berkane

Wote tunaona upendeleo anaopewa Mamelod Sundown kwenye haya mashindano,
Mamelod ndo timu pekee Kwenye mashindano anacheza na mpinzani mchana wa jua kali saa 8 au saa 9, Mamelod hajawahi kucheza mechi ya CAF saa 10 na kuendelea
Kumbuka huu ugumu wa hali ya hewa ashauzoea na anafanya maksudi ili kuwapa wapinzani ugumu

Mamelod amekuwa akicheza kwa kuchagua viwanja na kupanga waaamuzi na waamuzi wanakuwa upande wake kwenye matukio

Tukumbuke jopo waamuzi walikataa goli la Yanga ambalo hata mwanangu darasa la 3 alitambua kuwa lile ni goli

Hii imechipua Kwa makamu wake Fouz Lekjaa ambaye ndo mmiliki wa RS Berkane alifanya figusi nyingi mechi ya Simba, Kwanza alikataa uwanja wa Mkapa pamoja na juhudi za serikali, TFF na Simba hawakufanikiwa

Pili alibadili muda wa mchezo ulikuwa ipigwe saa 1 usiku hadi saa 10, hayo yote ili kuipa upendeleo timu yake

Tuliona waamuzi walikuwa upande wa RS Berkane, yaani waliambiwa bingwa awe RS Berkane, mwamuzi alifanya kila mbinu ila RS Berkane wapate urahisi wa mchezo

Uchaguzi wa CAF ujao napendekeza Rais awe Samuel Eto'o
Hv mleta thread wewe ungekuwa kule CAF ungekubali final ya pili ifanyike kwa MKAPA??
If yes, uliangalia game v Al masry hali ya uwanja ilivyokuwa??
Labda tu nikusaidie, maandalizi ya final yanaanza pale tu ratiba inapotoka yani final ya kwanza ilivyokuwa berkane tarehe zilizotoka tu baada ya walioingia final kupatikana basi maandalizi yanaanza Mara moja na wakat 1st leg inachezwa tayari kunakuwa na maandalizi ya final ya pili!!
Simba alicheza na Stellenbosch kwenye uwanja wa Amani Je nikuulize swali Simba walituma tsarina CAF kabla ya 1st leg ya final ya kwanza kuwa wanaomba wafanyie final kwenye uwanja wa MKAPA?? Kama wangefanya hivyo CAF wangetuma watu wake haraka Sana kukagua uwanja wa MKAPA then wakat wanasema final ya Shirikisho 1st leg itafanyika berkane na 2nd leg itafanyika uwanja fulania hz ndio taratibu za Shirikisho zilizo na akili timamu mwisho
CAF sio bodi ya ligi ya tiefuefu
 
Back
Top Bottom