Viongozi wa CCM na Serikali wameharibu kabisa makazi ya kikoloni ya Masaki na Oysterbay, leo wanalia makelele

Viongozi wa CCM na Serikali wameharibu kabisa makazi ya kikoloni ya Masaki na Oysterbay, leo wanalia makelele

Backyard cowshed za kufuga ng'ombe mmoja au wawili wa maziwa wale wa zero grazing nafikiri zilikuwa zinaruhusiwa kwa muundo wa makazi ya mwanzo wa Masaki na Oyesterbay.
Viwanja low density plots.
Kama makongo juu zamani
Ukitaka maziwa nenda kwa maprofesa kwao
😄

Ova
 
View attachment 3617513

Viongozi wetu, tena wa CCM na Serikali, wameiharibu kabisa Masaki na Oysterbay, kutokana na kuharibu Mipango Miji.

Taratibu, Masaki na Oysterbay zinageuka kuwa Upanga , kumbi za Disco, makunywaji na Mtaa wa Uhuru, badala ya makazi ya viongozo waandamizi wa serikali.

Leo viongozi wenzao chipukizi wamerithi kero za malelele katika makazi yao. Kumbi za disco , bar na biashara ziko kila mahali.

Waliosababisha yote hayo ni viongozi binafsi wa chama na serikali, kwa tamaa zao.
Viongozi wengi bado wana mentality ya kule walikotoka na matamanio yao ni utajiri wa haraka haraka.
Matokeo tunayaona hata kabla ya kizazi chao kutoweka.

Heko Meya Songoro kwa kuliweka wazi.
CCM ni Chanzo cha Matatizo yote nchini
 
Ile bar si ya polisi mmoja
Ile uhuru peak tu jamaa
Alikuwa anapiga mziki balaa
Kila akiambiwa jeuri kisa ana honga fedha
Jirani yake aliyekuwa ana mwambia kuhusu kelele alikuwa mtu mzito ahh mbona alimpiga pini mpk sahv kimyaaa
Mbona bar tunazokunywa ss wakongwe kama toroka uje
Huwezi ona ujinga huo
Wenye bar lounge sahv wanafikiri kelele ndiyo kuvuta wateja

Ova
Nakunywa Rose Garden hadi leo. Na sijilaumu
 
VIongozi wengi hawajui kuwa na mipango ya upimaji makazi mapya katika miji.
Miji yote Tanzania ilipaswa kuwa na 'Master plan" ya uhakika kwa ajili ya Maendeleo ya Makazi na Ukuaji wa Miji na Uchumi.
UPIMAJI WA MIJI NA MAKAZI SIO KIPAUMBELE.
Makazi holela ni kuchelewesha maendeleo.
Umetoka Tandahimba juzi?
 
View attachment 3617513

Viongozi wetu, tena wa CCM na Serikali, wameiharibu kabisa Masaki na Oysterbay, kutokana na kuharibu Mipango Miji.

Taratibu, Masaki na Oysterbay zinageuka kuwa Upanga , kumbi za Disco, makunywaji na Mtaa wa Uhuru, badala ya makazi ya viongozo waandamizi wa serikali.

Leo viongozi wenzao chipukizi wamerithi kero za malelele katika makazi yao. Kumbi za disco , bar na biashara ziko kila mahali.

Waliosababisha yote hayo ni viongozi binafsi wa chama na serikali, kwa tamaa zao.
Viongozi wengi bado wana mentality ya kule walikotoka na matamanio yao ni utajiri wa haraka haraka.
Matokeo tunayaona hata kabla ya kizazi chao kutoweka.

Heko Meya Songoro kwa kuliweka wazi.
Veve bana kusa karibisa golo mujini ataleta gombe yake hadi sitting room!
 
Akili ya mtu mweusi
Serikali haijawahi kukosa Waziri wa Ardhi hata awamu moja, inakuwaje uozo huu ukaendelea miaka na miaka.
Sehemu za makazi kugeuzwa kuwa za disco na baishara reja reja?
Kwa yanayo endelea, basi kibali cha Ardhi hivi karibuni kutajengwa kiwanda cha kufua nondo Masaki!
 
Ni kweli, hawakuwa na vipato vya ziada na waliishi kwa kutegemea hiyo miradi midogo na mishahara.
Wengi wa viongozi wa zamani walikuwa waadilifu na kiiheshum sana serikali.
Wengi wamekufa masikini.
 
Back
Top Bottom