Matulanya Mputa
JF-Expert Member
- Aug 14, 2023
- 245
- 655
Hii tarifa ni sahihi na si muda mrefu tutaweka majina ya Viongozi ambao wanazunguka na pikipk za Samia kwa lengo la kuwarubuni watia nia wa upinzani wajitoe.
Baadhi ya maeneo wameanza kufanikiwa hasa maeneo ya vijijini.
Angalizo kwa vyama vya upinzani tafuteni wagombea ambao wanajielewa ambao mnajua hawawezi kurubunika.
Hali kama hii inaonesha CCM uchaguzi unaenda kuwa mgumu kwao na pia tupeane taarifa za kila mbinu watakazo tumia.