Matulanya Mputa
JF-Expert Member
- Aug 14, 2023
- 245
- 655
Duu kumbe hiyo hatariKuna mtu alikomenti Twitter kuwa dau ni 1m mpaka 3m ili kujitoa.
Kuhusu dau kuwa 1m mpaka 3m sina uhakika ni tetesi tu. Inawezekana ni kweli au uzushiDuu kumbe hiyo hatari
Hamjitambui!!Hii tarifa ni sahihi na si muda mrefu tutaweka majina ya Viongozi ambao wanazunguka na pikipk za Samia kwa lengo la kuwarubuni watia nia wa upinzani wajitoe.
Baadhi ya maeneo wameanza kufanikiwa hasa maeneo ya vijijini.
Angalizo kwa vyama vya upinzani tafuteni wagombea ambao wanajielewa ambao mnajua hawawezi kurubunika.
Hali kama hii inaonesha CCM uchaguzi unaenda kuwa mgumu kwao na pia tupeane taarifa za kila mbinu watakazo tumia.
CCM na Samia walianza kampeni tangu 2021 na wanaendelea kula kuchao. Sijui huyu mwanamke anataka nini zaidiHii tarifa ni sahihi na si muda mrefu tutaweka majina ya Viongozi ambao wanazunguka na pikipk za Samia kwa lengo la kuwarubuni watia nia wa upinzani wajitoe.
Baadhi ya maeneo wameanza kufanikiwa hasa maeneo ya vijijini.
Angalizo kwa vyama vya upinzani tafuteni wagombea ambao wanajielewa ambao mnajua hawawezi kurubunika.
Hali kama hii inaonesha CCM uchaguzi unaenda kuwa mgumu kwao na pia tupeane taarifa za kila mbinu watakazo tumia.
Aisee?!Hii tarifa ni sahihi na si muda mrefu tutaweka majina ya Viongozi ambao wanazunguka na pikipk za Samia kwa lengo la kuwarubuni watia nia wa upinzani wajitoe.
Baadhi ya maeneo wameanza kufanikiwa hasa maeneo ya vijijini.
Angalizo kwa vyama vya upinzani tafuteni wagombea ambao wanajielewa ambao mnajua hawawezi kurubunika.
Hali kama hii inaonesha CCM uchaguzi unaenda kuwa mgumu kwao na pia tupeane taarifa za kila mbinu watakazo tumia.
Kodi za watanzania hizoToeni na nyie hela mkono mtupu haulambwi
Acha hizo wamemchoka mzee Mbowe ,nyie mnaanza kutoa visababu havina hata maanaHii tarifa ni sahihi na si muda mrefu tutaweka majina ya Viongozi ambao wanazunguka na pikipk za Samia kwa lengo la kuwarubuni watia nia wa upinzani wajitoe.
Baadhi ya maeneo wameanza kufanikiwa hasa maeneo ya vijijini.
Angalizo kwa vyama vya upinzani tafuteni wagombea ambao wanajielewa ambao mnajua hawawezi kurubunika.
Hali kama hii inaonesha CCM uchaguzi unaenda kuwa mgumu kwao na pia tupeane taarifa za kila mbinu watakazo tumia.
Acha uoga mapema ss wananch tunawapgia kura mtu tunaye mtaka hzo pesa tutakula lakn hapit mtu kwa kutuonga vi bia amnaga fara tenaHii tarifa ni sahihi na si muda mrefu tutaweka majina ya Viongozi ambao wanazunguka na pikipk za Samia kwa lengo la kuwarubuni watia nia wa upinzani wajitoe.
Baadhi ya maeneo wameanza kufanikiwa hasa maeneo ya vijijini.
Angalizo kwa vyama vya upinzani tafuteni wagombea ambao wanajielewa ambao mnajua hawawezi kurubunika.
Hali kama hii inaonesha CCM uchaguzi unaenda kuwa mgumu kwao na pia tupeane taarifa za kila mbinu watakazo tumia.
Wapinzani wote waweke mgombea kila sehemu ili wahongwe wote. Akibaki mmoja wamuunge mkono huyo ambae hajatokaKuhusu dau kuwa 1m mpaka 3m sina uhakika ni tetesi tu. Inawezekana ni kweli au uzushi
Wapo kweli?Angalizo kwa vyama vya upinzani tafuteni wagombea ambao wanajielewa ambao mnajua hawawezi kurubunika.
Mwisho wa kufanya kampeni ni mchana nasii usiku,kanuni zinasemaje,wanalifahamu hili ama kwa kuwa wasimamizi wa hizo chaguzi wao?Hii tarifa ni sahihi na si muda mrefu tutaweka majina ya Viongozi ambao wanazunguka na pikipk za Samia kwa lengo la kuwarubuni watia nia wa upinzani wajitoe.