LGE2024 Viongozi wa CCM wa Kata wakishirikiana na madiwani wao wameanza kuzunguka usiku na kutoa pesa kwa watia nia wa upinzani wajitoe

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024
Wamekwisha chelewa mkuu.
Wakati huu hivyo vyama tayari vingekuwa na safu ya watia nia isiyo tetereka kwa kurubuniwa. Hii kazi ilihitaji maandalizi ya muda mrefu, siyo sasa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…