Uchaguzi 2020 Viongozi wa CHADEMA hatua mlizochukua zitawatia aibu kubwa

ila jumuia za kimataifa zinafahamu kuwa lisu alipigwa risasi kibao,na hakuna aliyekamtwa,twasira yetu imeharibiwa na ccm academia,ccm asili isingetufikisha hapa
Hivi hii mada inahusiana na Lissu kupigwa risasi. Ok, fine jumuia za kimataifa zilichukua hatua gani? Maana zinajua alipigwa risasi.
 
Unadhani kama watu wanataka kukuua ukiwa Kenya hawawezi kukufuata? Huyu anaeneza sumu mbaya kuchafua nchi yetu. Kama walitaka kumuua wangemuua mapema tu.
Unakumbuka lisu Kama aliwaalifu polisi kuwa anafuatiliwa lakini policiccm wakakaidi? Unajua kilichompata.
 
Unakumbuka lisu Kama aliwaalifu polisi kuwa anafuatiliwa lakini policiccm wakakaidi? Unajua kilichompata.
Nakumbuka alisema aliwakaba vijana wa Kipilimna na Sirro, pale St Peters,lakini sikusikia kudai ameenda central police kuripoti watu wanamfuatilia.
 
Nakumbuka alisema aliwakaba vijana wa Kipilimna na Sirro, pale St Peters,lakini sikusikia kudai ameenda central police kuripoti watu wanamfuatilia.
Sasa kuwakaba maana yake Nini. Unaweza kusema umewakaba halafu no dola na igp akakaa kimya Kama so no nchi hii ya kipumbavu. Igp alitaka mpaka wamuue ndo ajue walimfatilia
 
Sasa kuwakaba maana yake Nini. Unaweza kusema umewakaba halafu no dola na igp akakaa kimya Kama so no nchi hii ya kipumbavu. Igp alitaka mpaka wamuue ndo ajue walimfatilia
Malalamiko ya polisi huwa yanatolew namna hiyo? Mtu unatkiwa uende kituo cha polisi uripoti.
 
Malalamiko ya polisi huwa yanatolew namna hiyo? Mtu unatkiwa uende kituo cha polisi uripoti.
Mfano umevunjwa mguu huwezi hata kutembea. We ndo unapaswa uende au ni kazi ya polisi kutafuta uhalifu uko wapi! Kwani kazi ya polisi ni kukaa ofisini ni kusubili Nani ataenda kwamba ameumizwa
 
Sahivi unawahitaji tena CHADEMA?
 
Sasa si waachwe waende huko wanakotaka kwenda bila figisu?
 
Walioiba kura na kufanya mambo ya kishetani na udhalimu mkubwa wao vipi? Acha kuandika kwa mihemko na kama hujui uliza
 
Upupu
 
Pole sana usipoteze muda kwa kutuandikia tungoTAKA.
Sasa hivi mnalo bunge LENU. PELEKA huko mkaifute sio tu CHADEMA, bali mkaongeze uimla na sheria kandamizi kama mnavyotaka.
Amen
 
Pole sana usipoteze muda kwa kutuandikia tungoTAKA.
Sasa hivi mnalo bunge LENU. PELEKA huko mkaifute sio tu CHADEMA, bali mkaongeze uimla na sheria kandamizi kama mnavyotaka.
Amen
Kijana ulikuwa wapi? Ulikuwa unaomboleza? Sijakuona kama wiki tatu jukwaani. Pole sana.
 
Kijana ulikuwa wapi? Ulikuwa unaomboleza? Sijakuona kama wiki tatu jukwaani. Pole sana.
Taifa letu linazidi kupoteza mwelekeo.
Ninaendelea kuwaombea wote kwa Mungu, ili nyie na wenzenu wasiojua walitendalo muanze kujitambua.
Muache kushangilia na kujivunia matendo maovu yanayoharibu TAIFA letu.
Mpate nguvu na ujasiri wa kumkataa shetani na mambo yake yote.
 
Mwenye shughuli na kipato cha kujitegemea hawezi kuwa anajitoa fahamu hivyo.
Ahaaaaaaa,yaani ukweli umekuwa kujitoa fahamu.? Na ndio sababu ya kukosa kipato cha kujitegemea? Naomba ujikitw kwenye mada. Maana mmeshaaibika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…