Uchaguzi 2020 Viongozi wa CHADEMA hatua mlizochukua zitawatia aibu kubwa

Futa kauli yako eti tumeichagua ccm kwa kishindo,
 
Uteuzi unahusika vipi? Jadili mada iliyopo mezani.
Kilichoko mezani si mada ni upuuzi tu. Mkuu uchaguzi umekwisha na tumeshinda ushindi wa sunami, si upumzike sasa uangalie majukumu mengine ya ujenzi wa Taifa. Au hii ndio shughuli yako rasmi inayokuweka hapo mjini? ya kubishana na watu mia kidogo ukiwa peke yako.
 
Acha hasira, uchaguzi kuisha sio mwisho wetu kutoa maoni. Maana haya walioamua viongozi wa Cdm hayana uhusiano na uchaguzi
 
Mkuu umeeleza vizuri sitaki kurudia.Leo narudia kushauri upinzani nini kifanyike ili kuweza kutoa upinzani wa TIJA kwa CCM na nchi.
USHAURI.
1-Upinzani ukubali kufuata misingi ya chama-Nendeni mkaanzishe mashina na matawi vijijini.Po pote walipo CCM na nyie muwepo.
2-Wekezeni kwa vijana waliokuwa tayari kuwa wanachama na sio washabiki ambao siku zote wana madhara kwa chama wakati wa uchaguzi
3-Pamoja na kufungua matawei,machina,tarafa,wilaya,mikoa hadi taifa,WANACHAMA WAJUE ITIKADI YA CHAMA.
4-chama kiache kuwa cha harakati,badala YAKE kifanyeni kuwa chama cha siasa,kinachopigania kuchukuwa dola
5-Enezeni sera kwa watu,sio kwenye mitandao ya kijamii.
6- Ninaposema sera,wanachama wanapaswa kujua nini sera za chama kuhusu:-
(a) Elimu
(b) Kilimo ,uvuvi na mifugo.
(c) Sera za chama kuhusu ULINZI,AFYA,MAMBO YA NJE,MALI ASILI NA UTALII,UCHUKUZI NA USAFIRISHAJI,MADINI,NISHATI na kadhali na kadhali.
Yaani mwanachama ajue kwa undani ni chama kinasimamia.Hii ya kukaa mijini mnangojea miezi miwili ya kampeni ndipo mchukue nchi kwa kushinda uchaguzi,mmejidanganya,mnajidanganya.mtajidanganya.
7-Msikurupuke kuchukuwa makapi toka cha tawala,na kuwafanya wagombea,hii maana yake ni moja tu,HAMKUJIANDAA.
 
Acha hasira, uchaguzi kuisha sio mwisho wetu kutoa maoni. Maana haya walioamua viongozi wa Cdm hayana uhusiano na uchaguzi
Sasa utoe hoja zenye mashiko na si ushabiki mbuzi unaoufanya hadi kuonekana kituko humu JF
 
Mzee Pombe amesema hatarajii kufanya uteuzi wa makada kwa kipindi hichi.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119] aisee
 
Amefanya kampeni miezi miwili kuna mtu alimgusa? Nchi hii inafuata misingi ya sheria. Anaogopa nini?
Tumieni akili risasi 38 kwenye nyumba za viongozi mpaka leo kimya..nenda Facebook kwa Mange ulione DC Sabaya limeonekana kwenye CCTV camera limebeba bunduki na wapambe wake wanavamia kwa Mbowe usiku wa manane
 
Kwanini mlimwua Alphonce Mawazo?

Kwanini mlimwua Ben Saanane?

Kwanini Mlimwua Azory Gwanda?

Kwanini mlimpiga Lissu risasi?

Maelfu ya raia mliowaua Pemba na Kibiti na kula nyama zao hamjaridhika tu, bado Mnataka kuua wengine? Kweli Nyerere Alijua mengi, alisema Kiongozi akishaonja nyama ya Mtu hataacha kuendelea kula nyama za watu na kunywa damu zao...
 
Nje ya mada
 
Jikite kwenye mada husika.
 
Maajabu ina maana maumivu yote wanayopitia huyaoni!!???? Au hata ya mdude,nusrat,mawazo na mengine mengu huyajui!!???
 
Vipi ule kesi yao ya ugaidi imeishia wapi?
Wewe unaizungumziaje hiyo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…