mpimamstaafu
JF-Expert Member
- Jul 18, 2018
- 4,445
- 4,707
Unadhani wanapenda kusupply maji? Mbona Wizara inataka kuwataka kodi za kusupply maji kama ni yao?sio lazima ziko sehemu kama kigamboni na temeke watu binafsi wana supply maji for years
Jibu hoja acha kelele za kijingaMkuu akili yako unaitumia kufanyia nini...mbona kila wakati unatumia moyo kutafakari na kufikiri!
kodi hiyo ilishafutwa siku nyingi au hujui hilo?Unadhani wanapenda kusupply maji? Mbona Wizara inataka kuwataka kodi za kusupply maji kama ni yao?
Sent using Jamii Forums mobile app
Ufipa ndio kijiwe cha wajinga ,ni nyumbu ogHalafu kamanda wa Ufipa ujifanye hutaki maridhiano....... Unatimuliwa chamani tu!
Muwe mnatunza kumbukumbu na muwe mnapanga ya kuponda
My take: Hii ni hasara ya kupinga kila jambo
USSR
View attachment 1288540
Sasa hao ni wananchi au ni viongozi? Wananchi ndio wanahitaji maji hilo uelewe.
Hizi ndio akili za akina Mnyeti na SabayaMuwe mnatunza kumbukumbu na muwe mnapanga ya kuponda
My take: Hii ni hasara ya kupinga kila jambo
USSR
View attachment 1288540
Hawa watu wanatetea watu wa chini chini choka mbaya wanyonge wasioweza kupanda ndege pesa na kodi yao uwanufaishi wakina Lema Mbowe Nyaradu na wabunge wato wa upinzani wanaongea kwa niaba ya wananchi sio wao They have almost everythingSIASA HIZI PASUA KICHWA
"Watanzania hawataki Ndege wanataka Maji"- @freemanmbowetz .
#Well, pichani Viongozi Wa Chadema wakiwa ndani ya Maji kuelekea Mwanza.
[emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 1288787
Kaka hatimaye wameamua kupanda AIR CHATO hahaa wa Mama J Bby...Muwe mnatunza kumbukumbu na muwe mnapanga ya kuponda
My take: Hii ni hasara ya kupinga kila jambo
USSR
View attachment 1288540
Wewe ndiye uliyebebaga bunduki na kummiminia RISASI Mh Lissu nn? Dhambi hiyo haitafutwa kwa kejeli humu JF. Anae ua kwa upanga asifikiri atajiua kwa kubuya sumu.Ni Wabinafsi sana hao jamaa, wanajiinjoy kwenye ndege zetu halafu wanaponda na kushangilia huku wakishirikiana na Muzungu kusabotage nchi yetu, ndege zetu zinashikwa wanashangilia tena wanampa Muzungu infos, Tundu Lisu ataishi maisha magumu sana kwa usaliti alioifanyia nchi yetu.
Hoja yako dhaifu. Ndege sio lazima zinunuliwe na serikali. Ila maji ni lazima yaletwe na serikali
Mbowe, Lema, Sugu na Mnyika wamemuwakilishaVipi huyu nae kesha panda ndege?View attachment 1288581
Wewe Baba yako kesha panda ndege au anahangaika na madimbwi kutafuta maji kule kijijini?
Prof. J anatabasamu kwa raha zakeSIASA HIZI PASUA KICHWA
"Watanzania hawataki Ndege wanataka Maji"- @freemanmbowetz .
#Well, pichani Viongozi Wa Chadema wakiwa ndani ya Maji kuelekea Mwanza.
[emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 1288787
Hawa watu wanatetea watu wa chini chini choka mbaya wanyonge wasioweza kupanda ndege pesa na kodi yao uwanufaishi wakina Lema Mbowe Nyaradu na wabunge wato wa upinzani wanaongea kwa niaba ya wananchi sio wao They have almost everything
Masikini sasa hiyo denge itanufaosha vipi?
Sent using Jamii Forums mobile app