Kuhusu swala la ndege wanaonufaika zaidi ni matajiri watu wenye hela wabunge mawaziri watu wenye mapesa ila mwananchi mdogo wa chini kabisa muuza nyanya mchicha tembele sokoni ndege ataiona tu kwenye Tv na kuisikia kikubwa wananchi chadema wanataka mradi umunifaishe kila mwananchi
Nchi yetu ina mito maziwa mingi ila bado sehemu zingine watu hawana maji kwanini ukanunue ndege kwanini usiwape maji watu wa siginda hapa Hapa mwanza watu wanazungukwa na ziwa victoria lakini hawana maji ya bomba sehemu zingine
Nchi inapori mengi lakini bado watu wanahitaji chakula cha msaada kwani usiandae sehemu za kulima vizuri na kuleta matrekta babu zetu wamelimia jembe na sisi tu limie jembe tunabaki pale pale hatuendi mbele Mkuu
Mdege moja inaweza kujenga viwanda zaidi ya vitatu kila mkoa na chechi ikaridi ila ebu unasasa vijana hawana hajira wala humeahindwa kufufua hata viwanda
Barabara baadhi ya mikoa baado changamoto sana naamini ukichukua pesa ya ndege tatu tuanaweza kumaliza kabisa tatizo la lami
Watu mpaka sasa wanalala kwenye nyumba za matope shusha bei ya cement watu wajenge unaenda kuhangaika na denge looh looh
Unachukua nyongeza ya msharaha unaenda kununua ndege watu wanapigika huku hata watumishi wengi hata kupanda denge kazi looh
Shule za serikali hakuna madawati vitabu watoto wanakosa shule za kusoma sekondari
Kuhusu issue ya denge Mzee hapa umetupoteza tu
Sent using
Jamii Forums mobile app