Viongozi wa CHADEMA kukodi Ndege binafsi kuhudhuria Sherehe za uhuru wa Tanganyika ni matumizi mabaya ya fedha za ruzuku

Viongozi wa CHADEMA kukodi Ndege binafsi kuhudhuria Sherehe za uhuru wa Tanganyika ni matumizi mabaya ya fedha za ruzuku

SIASA HIZI PASUA KICHWA

"Watanzania hawataki Ndege wanataka Maji"- @freemanmbowetz .

#Well, pichani Viongozi Wa Chadema wakiwa ndani ya Maji kuelekea Mwanza.

[emoji23][emoji23][emoji23]
IMG_20191211_170150.jpeg
 
Kuhusu swala la ndege wanaonufaika zaidi ni matajiri watu wenye hela wabunge mawaziri watu wenye mapesa ila mwananchi mdogo wa chini kabisa muuza nyanya mchicha tembele sokoni ndege ataiona tu kwenye Tv na kuisikia kikubwa wananchi chadema wanataka mradi umunifaishe kila mwananchi


Nchi yetu ina mito maziwa mingi ila bado sehemu zingine watu hawana maji kwanini ukanunue ndege kwanini usiwape maji watu wa siginda hapa Hapa mwanza watu wanazungukwa na ziwa victoria lakini hawana maji ya bomba sehemu zingine


Nchi inapori mengi lakini bado watu wanahitaji chakula cha msaada kwani usiandae sehemu za kulima vizuri na kuleta matrekta babu zetu wamelimia jembe na sisi tu limie jembe tunabaki pale pale hatuendi mbele Mkuu


Mdege moja inaweza kujenga viwanda zaidi ya vitatu kila mkoa na chechi ikaridi ila ebu unasasa vijana hawana hajira wala humeahindwa kufufua hata viwanda

Barabara baadhi ya mikoa baado changamoto sana naamini ukichukua pesa ya ndege tatu tuanaweza kumaliza kabisa tatizo la lami

Watu mpaka sasa wanalala kwenye nyumba za matope shusha bei ya cement watu wajenge unaenda kuhangaika na denge looh looh


Unachukua nyongeza ya msharaha unaenda kununua ndege watu wanapigika huku hata watumishi wengi hata kupanda denge kazi looh

Shule za serikali hakuna madawati vitabu watoto wanakosa shule za kusoma sekondari

Kuhusu issue ya denge Mzee hapa umetupoteza tu



Sent using Jamii Forums mobile app
 
SIASA HIZI PASUA KICHWA

"Watanzania hawataki Ndege wanataka Maji"- @freemanmbowetz .

#Well, pichani Viongozi Wa Chadema wakiwa ndani ya Maji kuelekea Mwanza.

[emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 1288787
Hawa watu wanatetea watu wa chini chini choka mbaya wanyonge wasioweza kupanda ndege pesa na kodi yao uwanufaishi wakina Lema Mbowe Nyaradu na wabunge wato wa upinzani wanaongea kwa niaba ya wananchi sio wao They have almost everything

Masikini sasa hiyo denge itanufaosha vipi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni Wabinafsi sana hao jamaa, wanajiinjoy kwenye ndege zetu halafu wanaponda na kushangilia huku wakishirikiana na Muzungu kusabotage nchi yetu, ndege zetu zinashikwa wanashangilia tena wanampa Muzungu infos, Tundu Lisu ataishi maisha magumu sana kwa usaliti alioifanyia nchi yetu.
Wewe ndiye uliyebebaga bunduki na kummiminia RISASI Mh Lissu nn? Dhambi hiyo haitafutwa kwa kejeli humu JF. Anae ua kwa upanga asifikiri atajiua kwa kubuya sumu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kulikuwa hakuna ndege na hatujamuona mtu kununua ndege...Kama sio serikali kununua nani alikuwapo tayari kununua?

Maji lazima yaletwe na serikali Yes... kwa uwezo wa budget wa 50% unaamini cha muhimu ilikuwa huduma ama investing ili kujenga uwezo wa kukuza kipato ili faida itumike kusambaza maji?

Mke wa jamaa yangu alimtaka mumewe kumnunulia vitenge badala ya kununua bajaji kukuza kipato.

Difference in opinionz

Hoja yako dhaifu. Ndege sio lazima zinunuliwe na serikali. Ila maji ni lazima yaletwe na serikali

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa kutumia mamilion kwenda kuonesha kaki tu eti wanawasaidia maskini poor you

State agent
Hawa watu wanatetea watu wa chini chini choka mbaya wanyonge wasioweza kupanda ndege pesa na kodi yao uwanufaishi wakina Lema Mbowe Nyaradu na wabunge wato wa upinzani wanaongea kwa niaba ya wananchi sio wao They have almost everything

Masikini sasa hiyo denge itanufaosha vipi?

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom