Viongozi wa CHADEMA kukodi Ndege binafsi kuhudhuria Sherehe za uhuru wa Tanganyika ni matumizi mabaya ya fedha za ruzuku


Huu ndio ukweli usiku tunachangia tope na Mbweha na viumbe vingi hatari vinavyobeba maradhi
Uzeni japo ndege tano au Nne turekebishe mambo
 
Muwe mnatunza kumbukumbu na muwe mnapanga ya kuponda

My take: Hii ni hasara ya kupinga kila jambo

USSR

View attachment 1288540
Hawa ni viongozi kama wa CCM hawahitaji maji maana wanayo Bali ni wananchi nchi nzima ndo wanahitaji maji na si ndege. Wananchi walio wengi hawana hata viwanja vya kutua hata ndege ndogo za huduma za kijamii kama afya. Mimi ni mkulima karibu na mji mkubwa wenye kiwanja kikubwa (lilikuwa shamba LA babu) na maji yapo toka ukoloni lakini naambulia kelele tu madege ya wakuu yakitua na kuruka sina uwezo wa kuyapanda mpaka kijiji cha jirani.
 
hauna tofauti na mwanamke anayelilia kununuliwa khanga kuliko kununua bajaji ..

Katika uwekezaji unaweka pembeni baadhi ya vitu muhimu... Ni suala uelewa ambao kwa bahati mbaya siasa zimeipita common sense

Hakuna aliyesema maji sio muhimu ila utayapata kwa urahisi zaidi ukiweka kitega uchumi kitakachozalisha pesa zaidi ukatoa hizo huduma..
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndege ndogo na hazikutosha kwa utalii na zilikuwa zinaenda sehemu chache..

Kama point ni kuwa na ndege hewani basi umepata ... ntakupigia makofi..

Ila zilikiwa hazikutosheleza kwa kukuza utalii
Sent using Jamii Forums mobile app
 
South African Airways made 5.4 bln rand loss in 2017/18 - report. JOHANNESBURG, Dec 2 (Reuters) - Struggling state-owned airline South African Airways (SAA) made 5.4 billion rand ($367 million) loss in the year to the end of March 2018, a copy of SAA'sfinancial report seen by Reuters showed.Dec 2, 2019



Shirika kubwa kama hili linapumulia mashine sembuse shirika letu mpaka liingize faida hakuna hata uhakika kama litakuja kuingiza faida
 

..serikali haiwezi kujifananisha na Tesla motors.

..Tesla motors uwekezaji wake hautokani na kodi za wananchi au mapato ya serikali, ni uwekezaji uliofanywa na watu binafsi.

..na unaposema ATCL itapata faida baada ya ku-break even ni vizuri ueleze ni baada ya MUDA gani, na ktk kipindi hicho tutakuwa tumeingia HASARA kiasi gani.

..Rwanda Air walipewa ahadi hizohizo za ku-break even lakini sasa hivi wameamua kujisalimisha kwa Qatar Air baada ya kupata hasara kwa muda mrefu.

..Uwekezaji huu hauna tija na haijalishi kuwa ni sera ya ccm, cdm, cuf, au chama chochote kile.

NB.

..watalii wanaotembelea vivutio vilivyoko Kaskazini mwa Tz kutua kwa ndege Nairobi ni mjadala mpana kidogo.
 
Kenya Airways has disclosed that its pre-tax loss for the six months ended 30 June rose to KSh8.56 billion ($82.8 million) from KSh3.9 billion in the same period of 2018.

The troubled Kenyan flag carrier's operating loss surged to KSh2.9 billion from KSh1.03 billion.


Kama shirika kongwe la Kenya Airways bado linaingiza hasara hilo la kwetu litaingiza lini faida?!
 
Ndege ndogo na hazikutosha kwa utalii na zilikuwa zinaenda sehemu chache
Acha kudanganya unachohitaji ni ndege ndogo kama Bomberdier, Fly Emirates SwissAir na mashirika mengine makubwa yanakuletea watalii Dar au Kilimanjaro wewe unawabeba na kuwapeleka mbugani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…