Viongozi wa CHADEMA kukodi Ndege binafsi kuhudhuria Sherehe za uhuru wa Tanganyika ni matumizi mabaya ya fedha za ruzuku

Muwe mnatunza kumbukumbu na muwe mnapanga ya kuponda

My take: Hii ni hasara ya kupinga kila jambo

USSR

View attachment 1288540
picha imemaanisha wanachokisema na kuamini we zezeta ombaomba wa uteuzi unakenua huelewi chochote kiukwel mizezeta kama wewe mnakera sana🐕🐶
 
Tesla na ATCL wana same business situation tofauti ni mtaji umetoka wapi na ownerships.

Sina namba ya kiasi cha hasara to BEP ila muda ni estimated 3 yrs...

Kuna over 60 Government Owner Airlines i. Africa na ni ma4 mnatolea mifano kila siku yanafanya vibaya... Geuzeni shingo angalieni pia yaliyofanikiwa kama Angola Airline etc


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Watalii wote/wengi walikuwa wanapitia kenya na kenya ikajitangaza kuwa inamiliki mlima kilimanjaro....

Tulihitaji direct lines.

Call it uwongo ama chochote itabaki kuwa opinion niliyokubaliana nayo...

U believe what u want
Acha kudanganya unachohitaji ni ndege ndogo kama Bomberdier, Fly Emirates SwissAir na mashirika mengine makubwa yanakuletea watalii Dar au Kilimanjaro wewe unawabeba na kuwapeleka mbugani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Muwe mnatunza kumbukumbu na muwe mnapanga ya kuponda

My take: Hii ni hasara ya kupinga kila jambo

USSR

View attachment 1288540
ACHA UJINGA WEWE, yaani kaa huelewi mambo funga mdomo, unataka kusema hizi ndege ni mali ya akina mbowe, pili wewe najua huna ndege maana hata mkubwa wako jiwe hana ndege, sasa wewe au jiwe akitaka kweda ulaya unataka kusema ataenda ulaya na baiskeli??? ulitaka mhe mbowe atembee kwa miguu mpaka mwanza????? lakini sikulaumu, nalaumu kata ya kwenu kukosa shule
 
imhotep, Suala la faida usifikirie kabisa. Haitatokea. Ukipata nafasi ya kupanda hizo ndege, ndipo faida ya kodi yako ilipoishia.
 
Kwa nini hawakutumia maji kufika mwanza na mavitambi kama wanamayai tumboni


State agent
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Msome mkuu USSR uzuri umuelewe naona kama umelewq hivi

State agent
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uzuri akina Mbowe wanajua wanachama wao na wafuasi ni watu wasio na uwezo wa kufanya tafakuri. Hawakuitwa nyumbu kimakosa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…