imhotep
JF-Expert Member
- Oct 13, 2012
- 55,997
- 88,219
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Niko Ruvuma vijijini, una jingine?
Sasa hawa watoto wakiiona ndege kubwa ikiwa tupu hewani labda na ma airhostages kadhaa wanaanza kuimba... "ndege ya baba",,
Halafu wanaenda kunywa maji ya kwenye madimbwi.
Acha kudanganya unachohitaji ni ndege ndogo kama Bomberdier, Fly Emirates SwissAir na mashirika mengine makubwa yanakuletea watalii Dar au Kilimanjaro wewe unawabeba na kuwapeleka mbugani.
picha imemaanisha wanachokisema na kuamini we zezeta ombaomba wa uteuzi unakenua huelewi chochote kiukwel mizezeta kama wewe mnakera sana🐕🐶Muwe mnatunza kumbukumbu na muwe mnapanga ya kuponda
My take: Hii ni hasara ya kupinga kila jambo
USSR
View attachment 1288540
..serikali haiwezi kujifananisha na Tesla motors.
..Tesla motors uwekezaji wake hautokani na kodi za wananchi au mapato ya serikali, ni uwekezaji uliofanywa na watu binafsi.
..na unaposema ATCL itapata faida baada ya ku-break even ni vizuri ueleze ni baada ya MUDA gani, na ktk kipindi hicho tutakuwa tumeingia HASARA kiasi gani.
..Rwanda Air walipewa ahadi hizohizo za ku-break even lakini sasa hivi wameamua kujisalimisha kwa Qatar Air baada ya kupata hasara kwa muda mrefu.
..Uwekezaji huu hauna tija na haijalishi kuwa ni sera ya ccm, cdm, cuf, au chama chochote kile.
NB.
..watalii wanaotembelea vivutio vilivyoko Kaskazini mwa Tz kutua kwa ndege Nairobi ni mjadala mpana kidogo.
Acha kudanganya unachohitaji ni ndege ndogo kama Bomberdier, Fly Emirates SwissAir na mashirika mengine makubwa yanakuletea watalii Dar au Kilimanjaro wewe unawabeba na kuwapeleka mbugani.
Sasa hawa watoto wakiiona ndege kubwa ikiwa tupu hewani labda na ma airhostages kadhaa wanaanza kuimba... "ndege ya baba",,
Halafu wanaenda kunywa maji ya kwenye madimbwi.
ACHA UJINGA WEWE, yaani kaa huelewi mambo funga mdomo, unataka kusema hizi ndege ni mali ya akina mbowe, pili wewe najua huna ndege maana hata mkubwa wako jiwe hana ndege, sasa wewe au jiwe akitaka kweda ulaya unataka kusema ataenda ulaya na baiskeli??? ulitaka mhe mbowe atembee kwa miguu mpaka mwanza????? lakini sikulaumu, nalaumu kata ya kwenu kukosa shuleMuwe mnatunza kumbukumbu na muwe mnapanga ya kuponda
My take: Hii ni hasara ya kupinga kila jambo
USSR
View attachment 1288540
pewa kinywaji mkuu, bill kwangu haraka sana, watu wengine wako na ujinga wa ajabu, lakini ni ukosefu wa elimuWewe Baba yako kesha panda ndege au anahangaika na madimbwi kutafuta maji kule kijijini?
AMINAHoja yako dhaifu. Ndege sio lazima zinunuliwe na serikali. Ila maji ni lazima yaletwe na serikali
Hivi bado kuna mabwege wamebaki wafuasi wa mtu km Lissu?Wewe ndiye uliyebebaga bunduki na kummiminia RISASI Mh Lissu nn? Dhambi hiyo haitafutwa kwa kejeli humu JF. Anae ua kwa upanga asifikiri atajiua kwa kubuya sumu.
Sent using Jamii Forums mobile app
ACHA UJINGA WEWE, yaani kaa huelewi mambo funga mdomo, unataka kusema hizi ndege ni mali ya akina mbowe, pili wewe najua huna ndege maana hata mkubwa wako jiwe hana ndege, sasa wewe au jiwe akitaka kweda ulaya unataka kusema ataenda ulaya na baiskeli??? ulitaka mhe mbowe atembee kwa miguu mpaka mwanza????? lakini sikulaumu, nalaumu kata ya kwenu kukosa shule
Suala la faida usifikirie kabisa. Haitatokea. Ukipata nafasi ya kupanda hizo ndege, ndipo faida ya kodi yako ilipoishia.
ACHA UJINGA WEWE, yaani kaa huelewi mambo funga mdomo, unataka kusema hizi ndege ni mali ya akina mbowe, pili wewe najua huna ndege maana hata mkubwa wako jiwe hana ndege, sasa wewe au jiwe akitaka kweda ulaya unataka kusema ataenda ulaya na baiskeli??? ulitaka mhe mbowe atembee kwa miguu mpaka mwanza????? lakini sikulaumu, nalaumu kata ya kwenu kukosa shule
Hawaishi hawaHivi bado kuna mabwege wamebaki wafuasi wa mtu km Lissu?