Viongozi wa CHADEMA Taifa mna uhakika kesho ofisi za Tume ya Uchaguzi zitafunguliwa?

MATENDO 12

7 Mara malaika wa Bwana akasimama karibu naye, nuru ikamulika mle chumbani, akampiga Petro ubavuni, akamwamsha, akisema, Ondoka upesi. Minyororo yake ikamwanguka mikononi.
8 Malaika akamwambia, Jifunge, kavae viatu vyako. Akafanya hivyo. Kisha akamwambia, Jivike nguo yako, ukanifuate.
9 Akatoka nje, akamfuata; wala hakujua ya kuwa ni kweli yaliyofanywa na malaika; bali alidhani kwamba anaona maono.
10 Na walipopita lindo la kwanza na la pili, wakaja hata mlango wa chuma wa kuingilia mjini, ukawafungukia wenyewe
 
Amen, na ikawe hivyo kwa mtumishi wa Mungu
 
Tokea walipotangaza tarehe 8 mwezi wa 8 ndio wataenda kuchuka fomu nikajua fika kabisa hiki chama menejiment yao iko very weak, 88 ni public holday na ofisi ya tume ni ofisi ya umma
Wanajielewa kuliko wewe.Bora ungeweka mashaka kama mleta mada
 
Kwa swali hili inaonyesha Salary Slip ni Rai wa kawaida ila nilidhani ni Mwana Chadema kindakindaki pole Sana.
Kuwa mwanachadema sio lazima uwe kiongozi na sio lazima kujua taratibu zote za uchaguzi.We ulidhani kila anayeipenda na kuitetea CHADEMA analipwa au ni kiongozi? Wengi wetu ni raia tu
 
we humfahamu Salary Slip, kutwa mabandiko ya chadema.
 
Tokea walipotangaza tarehe 8 mwezi wa 8 ndio wataenda kuchuka fomu nikajua fika kabisa hiki chama menejiment yao iko very weak, 88 ni public holday na ofisi ya tume ni ofisi ya umma
Omondi vipi sasa unajisikiaje? Weak management imechukuwa fomu, jamba kunya kachambe ulale.
 
Back
Top Bottom