Viongozi wa CHADEMA Taifa mna uhakika kesho ofisi za Tume ya Uchaguzi zitafunguliwa?

Viongozi wa CHADEMA Taifa mna uhakika kesho ofisi za Tume ya Uchaguzi zitafunguliwa?

Wewe jamaa acha kushupaza shingo, kesho sikukuu ya kitaifa hakuna ofisi ya serikali inafunguliwa CHADEMA wamejichanganya. Kwa akili yako sikukuu ya Iddi ingedondokea Kati 5 - 25 August NEC wangeingia kazini?, Mnatetea ujinga hadi mnakera. Si ajabu unaamini Lissu anaweza kuwa Raisi wa nchi hii.
Kwenye tangazo Lao walisema endapo kuna sikukuu kwenye hizo siku hawatafanya kazi??? Hakunaga automatically kwenye issue za kisheria na press release .

Ndio ni kweli ninaamini Lissu anaenda kushinda uchaguzi wa October 2020 na kuwa raisi wa Jamhuri ya Muungano Tanzania. Na huu ndo ukweli wenyewe.
 
mara ooh wamekurupuka leo ni public holiday

mara ooh wanataka wakute ofisi zimefungwa ili wapate kiki

msiwe mnajifanya kujua kila kitu, Chadema ni taasisi imara ikiwa na wanasheria nguli walioshindikana mahakama zote za Tanzania mpaka risasi zaliwashindwa

halafu msiwe mnamfananisha Lisu na vitu vya kijingajinga

Lisu for Presdent 2020
 
Inaonekana walivyosema hivyo, ukanywea, ukajiuliza....ilikuwa rahisi kwa CDM kutolea ufafanuzi, maana hata wewe ulikuwa haujui

Imekuwa mambo mazuri, ndio umetoka ndani unapiga mbinja

Hao waliosema yale na wewe wote akili sawa tu kipindi kile

Bisha
 
Ni upuuzi kuamini kama hawakuwa wanajua ilikuwa public holiday..lundo la watu wote chadema kweli wafanye kosa kama hilo.
 
Mimi pia ni miongoni mwa tuliohoji Hilo mapema sana mara baada ya SG Mnyika kueleza siku yao ya kuchukua fomu 8/8. Hatukuhoji kwa ubaya ila ni katika kuwekana tu sawa na kuondoleana wasiwasi ukizingatia mambo kama haya yamekuwa na historia ya figisu kwa kipindi kirefu.
 
Tokea walipotangaza tarehe 8 mwezi wa 8 ndio wataenda kuchuka fomu nikajua fika kabisa hiki chama menejiment yao iko very weak, 88 ni public holday na ofisi ya tume ni ofisi ya umma
Kwa hili nawatetea Chadema. Siamini kama walikuwa hawajui kuwa Ofisi za Tume Huru ya Uchaguzi zilikuwa wazi. Kuna circumstances zinaelezea ofisi kuwa wazi hata kama ni public holiday. Mfano, mitihani yote ya taifa, ya darasa la nne na saba; form two, four na six ratiba zake huwa zinasema mitihani itaendelea 'even if they fall in public holidays'. Nafikiri na tume ina huu utaratibu kwenye zoezi hili.
 
Tokea walipotangaza tarehe 8 mwezi wa 8 ndio wataenda kuchuka fomu nikajua fika kabisa hiki chama menejiment yao iko very weak, 88 ni public holday na ofisi ya tume ni ofisi ya umma
Haya mbwekaji wa CCM na Chadema nani Yuko weak? Jee wamechukua form hawajachukua? Aibu yako na bosi wako Chakubanga

Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
 
Kwa swali hili inaonyesha Salary Slip ni Rai wa kawaida ila nilidhani ni Mwana Chadema kindakindaki pole Sana.
 
Back
Top Bottom