Sina nia mbayaKumbe na ww ni wa hovyo eee ..kesho njoo na upimbi wako mwingine bc kuhusu fomu ..maana Nina uhakika tutapewa na hakutakuwa na longo longo yyte
Nachotaka kuelewa ni usahihi wa hilo zoezi la kesho
Sina nia mbayaKumbe na ww ni wa hovyo eee ..kesho njoo na upimbi wako mwingine bc kuhusu fomu ..maana Nina uhakika tutapewa na hakutakuwa na longo longo yyte
La kesho wala usihofu mkuu ..Nina uhakika kuwa tuko ndani ya ratiba ya NEC na uzr jamaa huwa hawana we weekend ikifika kipindi Cha uanzishwaji chaguziSina nia mbaya
Nachotaka kuelewa ni usahihi wa hilo zoezi la kesho
Muda wakisema sa mbili hadi sa kumi jioniAcha kutumia hisia, ujiongeze ujiongeze mbona usijiongeze kuhusu wikendi... ni wapi uliambiwa usiku sio muda wa kazi!!
Muda wakisema sa mbili hadi sa kumi jioni
Una elimu gani ndugu?Ngoja tuone kesho.
Una elimu gani ndugu?
Naona kama mada imekuzidi alafu nondo zinazotolewa nazo zinakuzidi sana!!Mlamu, jikite kwenye mada.
Naona kama mada imekuzidi alafu nondo zinazotolewa nazo zinakuzidi sana!!
Sawa basi. Usiku nwema!!Ni sawa, ndo napata hapa hiyo unayoita elimu... au navunja sheria!!
Mkuu achana na hao mafala, hawaelewi maana ya public holiday. Ngoja wajazane ujinga kesho waende waambulie patupu.Sijui ratiba ya NEC ya kila siku ila siku za kazi zinajulikana, kwa hoja yako hapo (available) kwa vile hawakutaja muda basi unaweza kwenda hata usiku kuchukua fomu!!
Wewe jamaa acha kushupaza shingo, kesho sikukuu ya kitaifa hakuna ofisi ya serikali inafunguliwa CHADEMA wamejichanganya. Kwa akili yako sikukuu ya Iddi ingedondokea Kati 5 - 25 August NEC wangeingia kazini?, Mnatetea ujinga hadi mnakera. Si ajabu unaamini Lissu anaweza kuwa Raisi wa nchi hii.Siku za kazi zinajulikana kivipi??? Acha kukariri mataga. Jaribu kutofautisha siku za kazi na muda wa kazi. Kama wamesema kuanzia tarehe 5 hadi 25 wanatoa fomu za uraisi inamaanisa siku zote watakuwa available kwa hilo zoezi. Kwenye muda wa kazi hapo ndo unatakiwa ujiongeze kuwa muda wa kazi hauwezi kuwa usiku!!
Mbona watu mnapenda kujazana ujinga?Wewe jamaa acha kushupaza shingo, kesho sikukuu ya kitaifa hakuna ofisi ya serikali inafunguliwa CHADEMA wamejichanganya. Kwa akili yako sikukuu ya Iddi ingedondokea Kati 5 - 25 August NEC wangeingia kazini?, Mnatetea ujinga hadi mnakera. Si ajabu unaamini Lissu anaweza kuwa Raisi wa nchi hii.
Kwa hili wa Kulaumiwa kabisa watakuwa ni NEC kwani walijua kabisa tarehe 8 ni 'Public Holiday' kwanini waliiweka hiyo tarehe katika Ratiba zao?
Na mpaka leo wako kimya, hivyo ikitokea kesho hawafungui ofisi,ni wazi watakuwa wamedhamiria.Kwa hili wa Kulaumiwa kabisa watakuwa ni NEC kwani walijua kabisa tarehe 8 ni 'Public Holiday' kwanini waliiweka hiyo tarehe katika Ratiba zao?
CorrectNafikiri walitoa utaratibu na tarehe za kuchukua form na pia kama sikosei vyama vilitakiwa kufanya bookings za tarehe wanazotarajia kwenda and therefore hiyo siku iko kwenye mpango wa uchaguzi.
Ila CDM wanapaswa kuzikagua hizo forms ktk bag kama zipo copies zote wanazosema na kama zina pages kamili. Sina hakika kama ukizikuta zina makosa au pages hazijatimia inakuwaje na kama zina initials za viongozi wa Tume kwa kila page!?