Viongozi wa CHADEMA Taifa mna uhakika kesho ofisi za Tume ya Uchaguzi zitafunguliwa?

Viongozi wa CHADEMA Taifa mna uhakika kesho ofisi za Tume ya Uchaguzi zitafunguliwa?

tokea walipotangaza tarehe 8 mwezi wa 8 ndio wataenda kuchuka fomu nikajua fika kabisa hiki chama menejiment yao iko very week, 88 ni public holday na ofisi ya tume ni ofisi ya umma.
Hawa jamaa wanakwama kwenye strategy....
Hawana mipango madhubuti zaidi ya kelele
Na ndivyo watakavyoangukia pua
 
Ushahidi wa NEC kuiweka hiyo tarehe upo wapi ?
Chadema mnapenda chokochoko, mkifinywa mnakimbilia kusema kwa mabeberu
Ushahidi huu hapa. Tangazo la tume pa siku za kutoa Fomu ya Uraisi.
Una lingine mataga?
D60F63FB-2891-4E5B-B70E-4441546AE803.jpeg
 
Kwako wewe ni michezo ya kitoto kwa sababu hujui mikakati ya kisiasa ya ku win popularity haswa kipindi hiki cha kuelekea uchaguzi.

Tulia matokeo utayaona
Badala ya kujadili ngoja nicheke. Kwi-kwi-kwi-kwi-kwi-kwi. Hata natokwa na machozi kwa sababu ya kucheka. Kwi-kwi-kwi-kwi-kwi-kwi.
 
Unatakiwa kuwauliza NEC walivyoiweka Tarehe 8 kama moja ya tarehe za kuchukua fomu hawakudhani kama itakuwa Public Holiday??? Swali lako lazima lianzie NEC na si Chadema.

Ni wapi NEC wameiweka tarehe kama moja ya siku za kuchukua fomu?

Tumia akili japo kidogo, kama unazo... NEC wametoa muda kuanzia tarehe X hadi Y na haikufanyi wewe ukaenda pale Jumamosi au hata usiku ilimradi ni ndani ya muda!
 
Kura huwa hupigwa Jumapili, hii inamaana NYC hawana holiday
Nafahamu Tume wanaweza kupanga kufanya shughuli zao hata siku ambazo ni za sikukuu, ila huwa wanatoa ratiba mapema na ndio maana nimesema, kama ratiba ipo inayoonyesha kesho NEC watafungua ofisi,basi itolewe hadharani mapema ili lolote likitokea,basi CHADEMA wasilaumiwe.

Hapa mtandaoni inaweza kuwepo ila sijui ni kwenye uzi gani.
 
tokea walipotangaza tarehe 8 mwezi wa 8 ndio wataenda kuchuka fomu nikajua fika kabisa hiki chama menejiment yao iko very weak, 88 ni public holday na ofisi ya tume ni ofisi ya umma.
Ume comment kana kwamba unajua kumbe unaungua jua ...ratiba ya uchukuaji fomu ya mgombea imeangukia cku hiyo ...na ikifika kipindi Cha uchaguzi NEC huwa hawana sikukuu wala J2
 
Ww ndo umekurupuka mkuu .. chadema iko sahihi maana wanachukua kwa ratiba za NEC na si vinginevyo ...muwe mnauliza kuliko kuja hapa na kujifanya mnajua kila kitu
kwa hiyo ofisi za NEC hazihusiki na public holiday ?
Mmebobwa nyinyi
 
Ni wapi NEC wameiweka tarehe kama moja ya siku za kuchukua fomu?

Tumia akili japo kidogo, kama unazo... NEC wametoa muda kuanzia tarehe X hadi Y na haikufanyi wewe ukaenda pale Jumamosi au hata usiku ilimradi ni ndani ya muda!
Nadhani akili yako haina akili kama sio unafanya makusudi. Wanaposema kuanzia tarehe fulani hadi tarehe fulani wanamaanisha kwenye izo siku zote wako available. So hapo kuanzia tarehe 5 hadi 25 zote ni siku za kuchukua fomu.
 
Back
Top Bottom