kantasundwa
JF-Expert Member
- May 25, 2020
- 1,547
- 2,384
Hawahusiki wala J2 kwao ni cku ya kzkwa hiyo ofisi za NEC hazihusiki na public holiday ?
Mmebobwa nyinyi
Hawahusiki wala J2 kwao ni cku ya kzkwa hiyo ofisi za NEC hazihusiki na public holiday ?
Mmebobwa nyinyi
Ngoja tuone hiyo kesho maana sikio la kufa halisikii dawa.Hawahusiki wala J2 kwao ni cku ya kz
Kama Kwenye public holiday hawafanyi kazi walitakiwa waseme kwenye hilo tangazo kuwa with exception ya public holidays. kusema tarehe fulani hadi fulani inamaanisha siku zote hapo watafanya kazikwa hiyo ofisi za NEC hazihusiki na public holiday ?
Mmebobwa nyinyi
Inategemea na unavochukulia...Hii ni popularity inayojengwa taswira mbovu
Sikio lako lina shida? mbona ratiba iko wazi? Au tupo kwa ajiri ya kufurahishana na kukeranaNgoja tuone hiyo kesho maana sikio la kufa halisikii dawa.
Nadhani akili yako haina akili kama sio unafanya makusudi. Wanaposema kuanzia tarehe fulani hadi tarehe fulani wanamaanisha kwenye izo siku zote wako available. So hapo kuanzia tarehe 5 hadi 25 zote ni siku za kuchukua fomu.
Tena inabidi hizo fomu wazihakiki na kujiridhisha kuwa ndizo zenyewe
Hawa chadema wa mitandaoni hawana tofauti na wale vilaza wa Lumumba buku7Sijui ratiba ya NEC ya kila siku ila siku za kazi zinajulikana, kwa hoja yako hapo (available) kwa vile hawakutaja muda basi unaweza kwenda hata usiku kuchukua fomu!!
Siku za kazi zinajulikana kivipi??? Acha kukariri mataga. Jaribu kutofautisha siku za kazi na muda wa kazi. Kama wamesema kuanzia tarehe 5 hadi 25 wanatoa fomu za uraisi inamaanisa siku zote watakuwa available kwa hilo zoezi. Kwenye muda wa kazi hapo ndo unatakiwa ujiongeze kuwa muda wa kazi hauwezi kuwa usiku!!Sijui ratiba ya NEC ya kila siku ila siku za kazi zinajulikana, kwa hoja yako hapo (available) kwa vile hawakutaja muda basi unaweza kwenda hata usiku kuchukua fomu!!
Yaani nyie binadamu mna kz sana ...ratiba iko wazi kbsaa ..kuanzia saa 3 asbh hadi saa 10 jioni kila cku kuanzia tarehe ya kuchukua hadi kurudisha ...NEC hawana Cha J2 wala weekend ...Sijui ratiba ya NEC ya kila siku ila siku za kazi zinajulikana, kwa hoja yako hapo (available) kwa vile hawakutaja muda basi unaweza kwenda hata usiku kuchukua fomu!!
Siku za kazi zinajulikana kivipi??? Acha kukariri mataga. Jaribu kutofautisha siku za kazi na muda wa kazi. Kama wamesema kuanzia tarehe 5 hadi 25 wanatoa fomu za uraisi inamaanisa siku zote watakuwa available kwa hilo zoezi. Kwenye muda wa kazi hapo ndo unatakiwa ujiongeze kuwa muda wa kazi hauwezi kuwa usiku!!
Kumbe na ww ni wa hovyo eee ..kesho njoo na upimbi wako mwingine bc kuhusu fomu ..maana Nina uhakika tutapewa na hakutakuwa na longo longo yyteHawa chadema wa mitandaoni hawana tofauti na wale vilaza wa Lumumba buku7
Yaani nyie binadamu mna kz sana ...ratiba iko wazi kbsaa ..kuanzia saa 3 asbh hadi saa 10 jioni kila cku kuanzia tarehe ya kuchukua hadi kurudisha ...NEC hawana Cha J2 wala weekend ...
Hujaiona ratiba ?? sijakurupuka ujueHiyo saa 3 hadi saa 10 umeiona wapi kwenye tangazo lao.!! Rejea sababu yangu kumquote huyu nyumbu.
Iwapo kesho Lissu atachukua form, utajisikiaje? Maana umeshupaza shingo mno!Acha kutumia hisia, ujiongeze ujiongeze mbona usijiongeze kuhusu wikendi... ni wapi uliambiwa usiku sio muda wa kazi!!
Hujaiona ratiba ?? sijakurupuka ujue
NEC wamekuwa na utaratibu wa kufanya kazi hata siku za mapumziko semina, kugawa vifaa, na siku ya kura. TusubiriWakienda kesho wakanyimwa ina maana weekend nzima itakuwa ni kuzungumziwa.
Kuzungumziwa ni faida kisiasa, kwa wanaoelewa
Okay ngoja niisake ..lkn iko hvyoSijaiona, unaweza kushare nasi tuone!
Iwapo kesho Lissu atachukua form, utajisikiaje? Maana umeshupaza shingo mno!