Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Watu hawa tangu walivyokamatwa siku 5 sasa hawajapelekwa Mahakamani , wala hawaruhusiwi kuonana na ndugu zao pamoja na wakili wao .
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Chama cha siasa kubakia kwenye nguvu ya dola ni kutembelea juu ya kamba. Simu moja tu inakatika.Hivi unaogopa kivuli cha wanasiasa wewe una jeshi polisi tiss takukuru etc una wasi gani achia watu wafanye siasa
Machozi ya wasio na hatia yatawagharimu hao madhalimuWatu hawa tangu walivyokamatwa siku 5 sasa hawajapelekwa Mahakamani , wala hawaruhusiwi kuonana na ndugu zao pamoja na wakili wao .
View attachment 1884601
Acha wafe tu kama ni magaidi.Watu hawa tangu walivyokamatwa siku 5 sasa hawajapelekwa Mahakamani , wala hawaruhusiwi kuonana na ndugu zao pamoja na wakili wao .
View attachment 1884601
Wako busy Twita kwenye ule upuuzi ety space, wapumbavu wanaandamana mahakamani halafu wenye akili zao za kuwaendesha wapumbavu wanaandamana Twita.MPUMBAVU ni nani?
Ni mtanzania anayejazwa upepo akaumizwe au wakati mwenzake ana-tweet akiwa sebuleni juu ya Sofa
Tulikuwa Kisutu tukasikitika sana, hatujaona hata mmoja kati ya wanaojiita wanaharakati twitter akiwa mstari wa mbele kusema #MboweIsNotATerrorist
Wakishatakiwa mtalia lia mnasema mnaonewa tumieni wembe ule ule.
Hivi mbona kwenye maandamano hatukuoni unagopa virungu umehamua kujikita JF .Watu hawa tangu walivyokamatwa siku 5 sasa hawajapelekwa Mahakamani , wala hawaruhusiwi kuonana na ndugu zao pamoja na wakili wao .
View attachment 1884601
CCM ni washamba sana!!Watu hawa tangu walivyokamatwa siku 5 sasa hawajapelekwa Mahakamani , wala hawaruhusiwi kuonana na ndugu zao pamoja na wakili wao .
View attachment 1884601
Wanatishia nyau tu. Cha kufia nini kama sio usanii tu.Watu hawa tangu walivyokamatwa siku 5 sasa hawajapelekwa Mahakamani , wala hawaruhusiwi kuonana na ndugu zao pamoja na wakili wao .
View attachment 1884601
Unaaibisha wapare mpaka wikpedia imewasifu wapare ni wapenda haki Ila wewe mbwa cjui mpare wawapiHawaijui njaa hao, wakae siku mbili bila kula ndo watajua moto wake. Chadema acheni kumtishia mtu mzima nyau.
Hamtaki kula halafu viongozi wenu huko USA wana-slide kwenye snow tuu
😂😂😂 Ahh nmecheka kinoma kama vile umenisifia 😂😂😂wewe mbwa cjui mpare wawapi
Mama Samia rejea nukuu yako ya maandiko ukimuaga Hayati Kwandikwa Jana.