Mbaga Jr
JF-Expert Member
- May 28, 2018
- 29,028
- 69,666
Hata sisimizi akitokea ccm lazima awashikishe adabuhakuna show yoyote , hivi Mchengerwa ndio wa kuitisha Chadema !
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata sisimizi akitokea ccm lazima awashikishe adabuhakuna show yoyote , hivi Mchengerwa ndio wa kuitisha Chadema !
Never ever !Hata sisimizi akitokea ccm lazima awashikishe adabu
Mtu duni kama wewe hawezi kufahamu chochoteWapuuzi wameshiba na wamechoka kuishi hao
JF siyo kwaajili ya vichaa. Tafuta for ya kukufaa.Acha wafe tu kama ni magaidi.
Eti bhana mbona magu kafa tu.Acha wafe tu kama ni magaidi.
Na wewe umegoma kula?Mtu duni kama wewe hawezi kufahamu chochote
Kamuulize mtu unayemuheshimu iwe mama yako au mumeo thamani ya uhai halafu uje uandike upya.Acha wafe tu kama ni magaidi.
Ndio hao nasikia baadhi yao wamepelekwa hospitali wakiwa wamepigwa sana, huku hali zao zikiwa mbaya sana?Watu hawa tangu walivyokamatwa siku 5 sasa hawajapelekwa Mahakamani , wala hawaruhusiwi kuonana na ndugu zao pamoja na wakili wao .
View attachment 1884601
MPUMBAVU ni nani?
Ni mtanzania anayejazwa upepo akaumizwe au wakati mwenzake ana-tweet akiwa sebuleni juu ya Sofa
Tulikuwa Kisutu tukasikitika sana, hatujaona hata mmoja kati ya wanaojiita wanaharakati twitter akiwa mstari wa mbele kusema #MboweIsNotATerrorist
Wakishatakiwa mtalia lia mnasema mnaonewa tumieni wembe ule ule.
Gaidi hana maana kwa kuwa anakuwa na nia ya kuua binadamu.Kamuulize mtu unayemuheshimu iwe mama yako au mumeo thamani ya uhai halafu uje uandike upya.
MPUMBAVU ni nani?
Ni mtanzania anayejazwa upepo akaumizwe au wakati mwenzake ana-tweet akiwa sebuleni juu ya Sofa
Tulikuwa Kisutu tukasikitika sana, hatujaona hata mmoja kati ya wanaojiita wanaharakati twitter akiwa mstari wa mbele kusema #MboweIsNotATerrorist
Wakishatakiwa mtalia lia mnasema mnaonewa tumieni wembe ule ule.
"za kuambiwa changanya na zako" ilisikika sauti iliyotoka kwenye kinywa chenye tabasamu murua.Wako busy Twita kwenye ule upuuzi ety space, wapumbavu wanaandamana mahakamani halafu wenye akili zao za kuwaendesha wapumbavu wanaandamana Twita.