Viongozi wa CHADEMA waliokamatwa Segerea waanza kugoma kula kushinikiza washitakiwe ama waachiwe

Viongozi wa CHADEMA waliokamatwa Segerea waanza kugoma kula kushinikiza washitakiwe ama waachiwe

Hatari sana hii. Wafungwa wa siasa wakianza kugoma kula, lazima jumuiya za kimataifa zitaingilia kati sasa hivi. Hili siyo jambo la serikali kulipuuzia. Ushauri wa kufanya ni serikali itafute watu wa nyama choma wawapeleke pale Segerea. Waanze kuchoma nyama, waliogoma kula wakisikia harufu ya nyama choma watavunja mgomo wa kula haraka sana.
 
Bongo sio Europe or America ukigoma kula wanakuacha mpaka inakufa alaf wanasema amekufa kwa mshtuko wa moyo
 
MPUMBAVU ni nani?

Ni mtanzania anayejazwa upepo akaumizwe au wakati mwenzake ana-tweet akiwa sebuleni juu ya Sofa
Tulikuwa Kisutu tukasikitika sana, hatujaona hata mmoja kati ya wanaojiita wanaharakati twitter akiwa mstari wa mbele kusema #MboweIsNotATerrorist

Wakishatakiwa mtalia lia mnasema mnaonewa tumieni wembe ule ule.

..wanaomiza wenzao bila sababu za msingi tuwaite majina gani?

..dhuluma na uonevu wa dola dhidi ya chadema inatufaidisha nini Watanzania?
 
MPUMBAVU ni nani?

Ni mtanzania anayejazwa upepo akaumizwe au wakati mwenzake ana-tweet akiwa sebuleni juu ya Sofa
Tulikuwa Kisutu tukasikitika sana, hatujaona hata mmoja kati ya wanaojiita wanaharakati twitter akiwa mstari wa mbele kusema #MboweIsNotATerrorist

Wakishatakiwa mtalia lia mnasema mnaonewa tumieni wembe ule ule.
Mnajenga taifa litakalo kuwa na watu katili sana baadae, na mnafaham sana udhaifu mlio nao. Be human, stop this ugly politics. Everything has a replica, wajengeeni watu tabia, few years you will see how the public may turn and torn you. Review your thinking machinery..
 
Tafsiri yako ya MPUMBAVU umeipata wapi? Mimi yangu ni hii hapa:-

MPUMBAVU NI YULE ANAYEWAZA KWAMBA "HAKUNA MUNGU",. MTU MUONEZI ATESAYE WATU KWA NAMNA ISIYO KWELI AKIJIFARIJI KWAMBA HAKUNA MTU WA KUMFANYA LOLOTE.

Zaburi 14:1 Wapumbavu hujisemea moyoni: “Hakuna Mungu.”

Mungu mwenye enzi anasema.
4 “Je, hao watendao maovu hawana akili? Wanawatafuna watu wangu kama mikate; wala hawanijali mimi Mwenyezi-Mungu.”
5 Hapo watashikwa na hofu kubwa, maana Mungu yu pamoja na waadilifu. 6Unaweza kuvuruga mipango ya maskini, lakini Mwenyezi-Mungu ndiye kimbilio lake.

Wewe unaamini katika moyo wako kwamba yuko Mungu awateteaye wanaoonewa?
Usihangaike na huyo mtu duni
 
[emoji23][emoji23][emoji23] Ahh nmecheka kinoma kama vile umenisifia [emoji23][emoji23][emoji23]
Labla ww ni wa kishua ndo mana huijui njaa, ww subiri siku kadhaa kama hujasikia 'wale waliogoma kula wamekutwa wakilamba masufuria jikoni usiku wa manane'
Mahabusu kuna masufuria kumbe
 
Yaani wasile usiku na mchana kwa siku tatu tu yaani masaa sabini na mbili ndo wataijua njaa ilivyo wanatishia nyau tu
 
Rais_Mstaafu_Kikwete_akiwa_na………..?_%0A%0AMalizia_kwenye_comments..jpg
 
Back
Top Bottom