Viongozi wa CHADEMA waliokamatwa Segerea waanza kugoma kula kushinikiza washitakiwe ama waachiwe

MPUMBAVU ni nani?

Ni mtanzania anayejazwa upepo akaumizwe au wakati mwenzake ana-tweet akiwa sebuleni juu ya Sofa
Tulikuwa Kisutu tukasikitika sana, hatujaona hata mmoja kati ya wanaojiita wanaharakati twitter akiwa mstari wa mbele kusema #MboweIsNotATerrorist

Wakishatakiwa mtalia lia mnasema mnaonewa tumieni wembe ule ule.
 
Wako busy Twita kwenye ule upuuzi ety space, wapumbavu wanaandamana mahakamani halafu wenye akili zao za kuwaendesha wapumbavu wanaandamana Twita.
 
Mh.Rais Mama Samia rejea maneno yako na nukuu yako ya maandiko ukimuaga Hayati Kwandikwa Jana." Sisi wanadamu hapa dunia tunapita tu hivyo tunatakiwa kuishi kwa wema Kati yetu nakutenda Yale ya kumpendeza Mungu..."
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…