St. Paka Mweusi
JF-Expert Member
- Sep 3, 2010
- 7,956
- 5,149
Very good. Then wafuate taratibu za kikatoliki. Ni rahisi tu. Hili tatizo ni kubwa sana. Na mara nyingi huwa tunalalamika tunapokataliwa huduma ya kanisa pale tunapofikwa na misiba. Unakuta mtu toka alipobatizwa mlango wa kanisa aliusahau. Sasa amekufa ndugu wanataka kumleta kanisani. Jumuia yake haijulikani. Alikuwa anasali wapi, haijulikani. Hizo ni lawama za bure kwa kanisa. Wao wameweka utaratibu wao. Kama wewe ni wao basi zifuate. Hutaki basi hulazimishwi. Makanisa yapo mengi sana.Uenda akidi ya maisha anayotaka kuitimiza iko linked na ukatoliki na wanataka ndoa ambayo ni zao la kanisa Katoliki.
Natamani mngenielewa kwa yanayoendelea habari ya mjini ila inaelekea nyie mmejifungia hapo moasteri au procura so hamuelewi nini namaanisha.Very good. Then wafuate taratibu za kikatoliki. Ni rahisi tu. Hili tatizo ni kubwa sana. Na mara nyingi huwa tunalalamika tunapokataliwa huduma ya kanisa pale tunapofikwa na misiba. Unakuta mtu toka alipobatizwa mlango wa kanisa aliusahau. Sasa amekufa ndugu wanataka kumleta kanisani. Jumuia yake haijulikani. Alikuwa anasali wapi, haijulikani. Hizo ni lawama za bure kwa kanisa. Wao wameweka utaratibu wao. Kama wewe ni wao basi zifuate. Hutaki basi hulazimishwi. Makanisa yapo mengi sana.
Kuna kibosile kalazimisha ndoa nini?Natamani mngenielewa kwa yanayoendelea habari ya mjini ila inaelekea nyie mmejifungia hapo moasteri au procura so hamuelewi nini namaanisha.
😂😂😂😂😂Serikali ikighushi inahukumiwa nanani?
Okay hata mimi ni mkatoliki na ninakubaliana na wewe kuna uzembe tunafanya hasa kutoshiriki jumuia na baadae kuhitaji huduma za kanisa yanapotokea ya kutokea! Ila ujue kanisa linaendeshwa na wanadamu hivyo nao kuna vitu wanaweza kukosea na kuwakwaza waumini wao. Mfano kuegemea zaidi kwa wenye pesa na mamlaka na kuwasahau ambao hawakujaliwa. Huo ni ubaguzi lakini upo. Akifa mtoto wa mwanasiasa utaona hadi askofu bila kuhoji anaenda kuzika, lakini nikifiwa mimi kajamba nani hata kama ninashiriki vizuri, maswali yanakuwa mengi mno, hata kupelekea kuforge ili ndugu yangu au mimi mwenyewe nipatiwe huduma.Very good. Then wafuate taratibu za kikatoliki. Ni rahisi tu. Hili tatizo ni kubwa sana. Na mara nyingi huwa tunalalamika tunapokataliwa huduma ya kanisa pale tunapofikwa na misiba. Unakuta mtu toka alipobatizwa mlango wa kanisa aliusahau. Sasa amekufa ndugu wanataka kumleta kanisani. Jumuia yake haijulikani. Alikuwa anasali wapi, haijulikani. Hizo ni lawama za bure kwa kanisa. Wao wameweka utaratibu wao. Kama wewe ni wao basi zifuate. Hutaki basi hulazimishwi. Makanisa yapo mengi sana.
Wakati wa kukomunika huwa havionyeshwi vyetiNikifoji cheti cha ndoa au kipaimara au komunio au ubatizo japo nilikuwa mtoto (kwa ubatizo) na mkajua kabisa nimefoji, je adhabu yangu ni ipi?
Je nitakaribishwa kukomunika ?
Acha kuzungumza kwa kufuata upepo wa hisia, toa mifano hai, ni mwanasiasa gani alifiwa au alikufa bila vigezo akapewa huduma. Taja kabisa jina la Parokia, hatupendi majungu. Wewe ni maarufu kisiasa kuliko marehemu Ngombale Mwiru? Ulifuatilia mazishi yake ukaona kilichotokea? Ulishuhudia Padre au Katekista yeyote kwenye mazishi ya Ruge? Unalichukulia poa RC?Akifa mtoto wa mwanasiasa utaona hadi askofu bila kuhoji anaenda kuzika, lakini nikifiwa mimi kajamba nani hata kama ninashiriki vizuri, maswali yanakuwa mengi mno, hata kupelekea kuforge ili ndugu yangu au mimi mwenyewe nipatiwe huduma.
Komba wa songea!Acha kuzungumza kwa kufuata upepo wa hisia, toa mifano hai, ni mwanasiasa gani alifiwa au alikufa bila vigezo akapewa huduma. Taja kabisa jina la Parokia, hatupendi majungu
Sema alifanya nini, au alikosa vigezo ganiKomba wa songea!
Moja tu alikuwa wake 1+Sema alifanya nini, au alikosa vigezo gani
Ungesaidia kutoa taarifa basi, kwamba mke mmoja anaitwa fulani, na mwingine fulani, na mwingine fulani. Muundo wa utendaji ulivyo ni kwamba Paroko anapata taarifa kutoka kwa kiongozi wa jumuiya anayotoka muumini. Kama hakupata hizo taarifa hawezi kuhisi. Unatakiwa useme wazi kwamba kiongozi wa jumuiya ya Komba alikuwa ana uhakika wa kuwapo kwa wake wengi ila hakumpa taarifa Paroko, au useme wazi Paroko alipewa taarifa hizo lakini akazipuuzia. Na wewe kama ulikuwa na taarifa hizo ukakaa kimya, lawama zinapaswa kuja kwakoMoja tu alikuwa wake 1+
Mkakakumeni ni mtu asiyepata masakramentiMkatekumeni....ushawaacha watu hapa
Nadhani hatujaelewana. Nimesema tangu mwanzo kanisa linaendeshwa na binadamu. Na kwahiyo kuna wakati wanakosea issue kama hiyo ya kutaka kujua undani wa mtu anayetaka huduma ya kanisa kuna wakati haifanyiki kivile hasa mhusika anapokuwa na pesa au mamlaka. Lakini inakuzwa mno anapokuwa ni mtu baki hata kama anashiriki kanisani kadri ya uwezo wake, hadi kupelekea kuwanyima huduma wanaostahili, kwa mtazamo wa macho yetu haya ya nyama. Hizi double standard zipo usikatae lakini pia sio sababu ya mimi kubweteka kutoshiriki mambo ya kanisa alafu nije kuomba huduma za kanisa eti kisa mtu flani alipata. Hapana sharti ni hilo guidelines na principles za kanisa lazima zifuatwe wakati huo tukijitahidi kuondoa mapungufu kama hayo ya biasness. Tusikatae mapungufu yapo tukazane kuyashinda.Ungesaidia kutoa taarifa basi, kwamba mke mmoja anaitwa fulani, na mwingine fulani, na mwingine fulani. Muundo wa utendaji ulivyo ni kwamba Paroko anapata taarifa kutoka kwa kiongozi wa jumuiya anayotoka muumini. Kama hakupata hizo taarifa hawezi kuhisi. Unatakiwa useme wazi kwamba kiongozi wa jumuiya ya Komba alikuwa ana uhakika wa kuwapo kwa wake wengi ila hakumpa taarifa Paroko, au useme wazi Paroko alipewa taarifa hizo lakini akazipuuzia. Na wewe kama ulikuwa na taarifa hizo ukakaa kimya, lawama zinapaswa kuja kwako
Uwepo wa askofu je? Naona kama unajua jua kiasi mambo ya kanisa. Japo na mimi ni mkatoliki sijajua huwa ni vigezo gani mkatoliki anakuwa amevitimiza ili azikwe na askofu, kitu gani Komba alifanya ukatolikini hadi apewe heshima hiyo ambayo kwangu kwa hapa duniani kiimani naiona kubwa japo sijui huko mbinguni kama iko na tofauti yoyote kwenye hukumu ya mwendazake?Ungesaidia kutoa taarifa basi, kwamba mke mmoja anaitwa fulani, na mwingine fulani, na mwingine fulani. Muundo wa utendaji ulivyo ni kwamba Paroko anapata taarifa kutoka kwa kiongozi wa jumuiya anayotoka muumini. Kama hakupata hizo taarifa hawezi kuhisi. Unatakiwa useme wazi kwamba kiongozi wa jumuiya ya Komba alikuwa ana uhakika wa kuwapo kwa wake wengi ila hakumpa taarifa Paroko, au useme wazi Paroko alipewa taarifa hizo lakini akazipuuzia. Na wewe kama ulikuwa na taarifa hizo ukakaa kimya, lawama zinapaswa kuja kwako
Hakuna tofauti kati ya misa ya mazishi inayoongozwa na padre au askofu. Hakuna tofauti kati ibada ya mazishi inayoongozwa na katekista na askofu. Wakati mwingine familia ya marehemu inaweza ikaomba misa ya mazishi iongozwe na kleri ambaye ni ndugu wa marehemu. Kama ni Padre anatoka nje ya Parokia ni lazima padre huyo mwana ndugu aombe kibali cha paroko wa parokia yenye kanisa. Kama ni askofu anatoka nje ya jimbo lazima aombe kibali cha askofu wa jimbo lenye kanisa. Usifikiri wanakurupuka tu kwa ajili ya umaarufu, wengine wanakuwa ni mapadre au maaskofu ambao ni ndugu wa marehemuUwepo wa askofu je? Naona kama unajua jua kiasi mambo ya kanisa. Japo na mimi ni mkatoliki sijajua huwa ni vigezo gani mkatoliki anakuwa amevitimiza ili azikwe na askofu, kitu gani Komba alifanya ukatolikini hadi apewe heshima hiyo ambayo kwangu kwa hapa duniani kiimani naiona kubwa japo sijui huko mbinguni kama iko na tofauti yoyote kwenye hukumu ya mwendazake?
Okay sawa ndio maana nikasema sidhani kama hiyo ya uwepo wa askofu inamuongezea marehemu chochote kwenye hukumu yake huko aliko. Lakini kwa nini maaskofu wanajitokeza hasa kushiriki kwenye matukio yanayowahusu watu mashuhuri tu na sio kwa akina sisi wafia dini wa kawaida. Kwahiyo askofu aliyeendesha mazishi ya Komba alikuwa na undugu na Komba? Na kwa kuwa umeliongelea hili la undugu naomba niulize. Ikiwa ndugu wa askofu au padri ana kikwazo kanisani, je kanisa litamkataza padri asimzike ndugu yake au upadri wake unawabeba hata ndugu zake?Hakuna tofauti kati ya misa ya mazishi inayoongozwa na padre au askofu. Hakuna tofauti kati ibada ya mazishi inayoongozwa na katekista na askofu. Wakati mwingine familia ya marehemu inaweza ikaomba misa ya mazishi iongozwe na kleri ambaye ni ndugu wa marehemu. Kama ni Padre anatoka nje ya Parokia ni lazima padre huyo mwana ndugu aombe kibali cha paroko wa parokia yenye kanisa. Kama ni askofu anatoka nje ya jimbo lazima aombe kibali cha askofu wa jimbo lenye kanisa. Usifikiri wanakurupuka tu kwa ajili ya umaarufu, wengine wanakuwa ni mapadre au maaskofu ambao ni ndugu wa marehemu