Viongozi wa dini kweli hawaoni yabayoendelea nchini kwa vyama vya upinzani hasa chadema inayopitia?

Viongozi wa dini kweli hawaoni yabayoendelea nchini kwa vyama vya upinzani hasa chadema inayopitia?

Tajiri wa kinyankole

JF-Expert Member
Joined
Jun 12, 2019
Posts
1,977
Reaction score
4,912
Kila kona chadema imebanwa msajiri kila siku kutoa matamko yasiyo na tija na kusitisha ruzuku, viwanja vya mikutano imekuwa mwiba kwa chama hicho , uhamiaji kila sehemu wapo macho hawataki anayeitwa kiongozi wa chadema kuvuka mipaka ya nchi, mahakama nayo imebana kwa kuamua kesi ya chama kusikilizwa upande mmoja na kufanya chadema kutokuwa na uhalali wa kuendeleza kutoa elimu ya no reform no election, utekaji na kupotezwa ndiyo habari kwa sasa kwa mwanachama wa chadema anayejaribu kuikosoa serikali kwa nguvu

Nchi yetu kwanini tumefikia kulazimishwa kutawaliwa na watu ambao hawapatikani kidemokrasia bali kwa mkono wa dola?

Hivi watawala wabaamini kufikia october watakuwa wamechaguliwa na wabanchi kwa haya wanayoyafanya.?

Kama taifa tumefikia hapa kutafuta madaraka kwa nguvu ya namna hii iliyojaa manyanyaso na kupotea watu bila sababu zisizoeleweka
Vyombo vya dolar ebu msiangalie matumboni yenu mshaurini mama vizuri huu uelekeo si sawa hata kidogo umoja umevuniika kabisa ! Msihubiri amani huku mioyo ya watu wanavuja damu wachache wakifaidi mema ya nchi kwa mkono wa chuma.
 
Dini gani unsyoongelea?
Sasa wakitufungia makanisa yote tutaenda wapi?
 
Back
Top Bottom