Viongozi wa dini waliokutana Rais Samia Wamemshauri kuifuta kesi ya Mbowe

Kwenye hiyo video anasema "Wewe ni mkubwa kuliko Mungu"
Kwani kuna yeyote au chochote ambacho ni kikubwa kuliko Mungu?
 
Ipo haja ya wote waliobumba kesi hii ya uongo wachukuliwe hatua. Wakiwemo siro, kingai, mahita jumanne gudlack majaji na mahakimu wote waliojiingizia pesa haramu kama posho mbalimbali za kushiriki kesi ya uongo na kuitia hasara kodi yetu.
Hio gharama ya kuendesha kesi si ingenunua hata madawati.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…