Mwamuzi wa Tanzania
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 15,486
- 45,256
Habari,
Kwa ambao tumesoma shule zilizojengwa na Wazungu hii mada haitakuwa ngumu kwenu.
Mimi nimesoma shule iliyojengwa 1923 na Waingereza. Ile shule mpaka sasa ina majengo ya mkoloni yenye uimara.
Wenzetu wanapojenga, wanapoamua au kupanga jambo hutazama vizazi vinavyokuja ila sisi tunapopanga jambo, tunapoamua jambo hutazama miaka 4 au 5 tu mbele maana kila tutendalo focus yetu ni uchaguzi mkuu 😭😭😭😭.
Machawa utawasikia wakitoa kauli kama hizi;
'kwa maendeleo haya kura zote kwa ....'
"Tunashukuru kwa mradi huu wa maji, kura zote mwakani ni zako" Uchaguzi ukiisha tu pump inakufa maji yanatoka kwa wiki mara moja.
Tubadilike.
Kuna jamaa mmoja kasema tunaweza kumnyima Marekani material.
Ukimuuliza material gani USA atatetereka usipompa hana jibu.