Viongozi wa Juu wa CHADEMA kuongea na Wanahabari Novemba 25, 2020 Makao Makuu ya Chama, Kinondoni

Yani hawana hata kiwanja tu, maskini!
Ndivyo walivyo....

Kwani hukumbuki UGOMVI wa CUF pale BUGURUN!?!!

Ile nyumba ilikuwa ni hisani ya marehemu Khamis Mloo....baadae CUF ikaja kuumbuka vibaya mnooo....🤣🤣

Haya njoo NCCR....mengi yamejificha pale....

TLP tusiitaje tafadhali🤣🤣
 
Kila siku watu wanaambiwa usitembee na mtu unafanya nae kazi nae kazi ofisi moja hawasikii Mbowe hawa wadada karibia wote kawabandua hawezi kufanya chochote.
 
"Sisiemu ni baba na chadema ni mtoto ni vigumu sana kwa mtoto kumpindua baba"
 
Nchi hakuna maendeleo licha ya kuwa na rasilimali nyingi kuliko mataifa mengi Duniani, pesa za walipa kodi zinatumika kumpa mbowe kuwanunua wabunge wa kike badala ya maendeleo

Tuanze na wewe apo, umetumiaje rasilimali ya nchi yako kuwezesha watanzania wenzako? kama sio kusumbua watu jf kuna nn cha maaana umefanya?
 
Tayari nina popcorns zangu hapa nasubiria kesho saa tano asubuhi kwa episode mpya ya ufipa 😂...

CHADEMA wanaweza pia anzisha reality show watapata pesa nzuri maana wapo vizuri kwa maigizo.
Bonge la wazo. Nyumbu fikisheni wazo kwa Mwamba.
 
Pesa nyingi hutumika kupambana na hujuma kesi za kubambikiwa uonevu wa CCM mda mwingi hutumika kuokoa chama lakini endapo mbowe kachukua pesa kauza wabunge huko Bungeni ajue chadema ndiyo bye bye hakuna mwenye Akili timamu atasalia chadema
Leo hukuvuta bangi na konyagi?
 

Mkuu wewe kama mtoto.
 
mara watulie kwanza wajipange...mara wachumia tumbo. sasa tuchukue kipi. ukiwa unaandika pumba usiandike risala ndefu unatulia muda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…