OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Mbowe yupo wapi?Mbona yupo kimya anamwachia Mnyika tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mtu aliyeangushwa na konyagi akasingizia watu wasiojulikana unategemea aongee nini?Mbowe yupo wapi?Mbona yupo kimya anamwachia Mnyika tu
tunajadili mambo ya msingi mkuu. acha upuuziMtu aliyeangushwa na konyagi akasingizia watu wasiojulikana unategemea aongee nini?
Au Ccm..Kura yangu sasa itakuwa inaenda kwa Chaumma, ada-tadea na kadhalika.
Suala lipo wazi, ni muendelezo tu wa uvunjaji wa katiba na sheria wa waziwazi unaofanywa na Mamlaka.Asante sana. Katibu mkuu. Jjmnyika nimeona mwanga wa uongizi bora ndani yako. Ngoja tusubiri hiyo ijumaa
Karibu CCMtunajadili mambo ya msingi mkuu. acha upuuzi
akili zangu timamu siwezi kuwa CCMKaribu CCM
Nyumba siyo maarifa kichwani. CCM haina hata kibanda cha makuti, nyumba zote ni za serikali ilizopora wakati wa chama kimoja. Au unasemajeMakao ya chama chenye umri wa miaka 28 na nusu
Chama kilichokua kinataka kupewa dola[emoji23][emoji23][emoji23]
Ni kweli nyumba sio maarifa kichwani, lakini kweli hapo ndio makao makuu ya chama kinachotafuta kishika dola? Chama chenye umri wa miaka 28 na nusu? Hapo ndio zinahifadhiwa nyaraka muhimu ZA Chama? Na ile ruzuku huwa mnaifanyia nini kama office ndio hiyo????Nyumba siyo maarifa kichwani. CCM haina hata kibanda cha makuti, nyumba zote ni za serikali ilizopora wakati wa chama kimoja. Au unasemaje