Viongozi wa kanisa Katoliki na kanisa la kristo nchini DRC wamekutana na kufanya mazungumzo na waasi wanamgambo wa AFC-M23

Viongozi wa kanisa Katoliki na kanisa la kristo nchini DRC wamekutana na kufanya mazungumzo na waasi wanamgambo wa AFC-M23

Gom
Kwa jinsi M23 walivyoonyesha kuwa na nidhamu, wengi tulitegemea Goma itakuwa na amani, na hata itastawi chini ya M23. Nikistaafu nitaenda kuishi North Kivu, huko Masisi.
Mkuu ni sawa na talban huko afghanstan, maana waliokuwa wanapigania uongoz ndo viongoz kwahyo automatically lazma kuwe shwari.
Lakini kikubwa watu wa goma wamesha choka na mitutu kwahyo hata angekuja shetani akawaepusha na mitutu lazma wamshukuru na kumpigia magoti.
 
Back
Top Bottom