Viongozi wa Kiislam Kupitia BAKWATA elimikeni, haki ya Uchaguzi sio Uvunjifu wa Amani

Megalodon

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2021
Posts
5,233
Reaction score
12,398
Kwenye Baraza la Eid mmedai kuwa uchaguzi ujao wapinzani msiwe ni sehemu ya kuvunja amani na kuleta chokochoko

Hizi ni Kauli za Ajabu na mara nyingi nina Doubt uwezo wa mashekh wa Bakwata.

Big Up Viongozi wa KIKRISTO , Viongozi wa KIKRISTO are birds who never meant to be caged, huwa wanawakilisha sana hisia za wananchi kwa hakika na wanatambua hakuna Mungu mtu hapo Tanzania.

Mfumo wa Uchaguzi upo compromised and favoritism

CCM ni beneficiary wa mfumo wa sasa, ndio maana tunaotaka kuondoa favoritism …….. wanaitwa wavunjifu wa AMANI, that is very low thinking.

INAHITAJIKA INDEPENDENT ELECTORAL COMMISSION Ambapo DG wake asiwe presidential apointee , achaguliwe na wananchi kupitia LIVE FEED .watumishi wa Tume wasiwe chini ya kivuli cha presidential department… otherwise huu ni uhuni.

Huwezi kumchagua mtu halafu mtu huyo huyo akasimamie uchaguzi ambao na wewe ni mshindani !!! Huu ni Uhuni ! Haki ya wagombea wengine unakuwa umeipokonya na Ushindi wowote ni BATILI.

Mashekh , watu kudai haki kama hiyo sio ufunjifu wa Amani, anaevunja amani ni yule ambae anamchagua mtu ambae anaenda kusimamia uchaguzi ambao na yeye ni Mshindani? What a shame !

Mashekh mkiwa mnasimama mbele ya watawala Ongeeni hali halisi ya nchi na kwamba wananchi hawana imani na mfumo wa Uchaguzi uliotumika over 40 years . Mfumo kufanyiwa mabadiliko ni LAZIMA.

Huwezi kutenganisha SIASA na DINI baadhi ya nchi zilipata uhuru kutoka kwa wakoloni kupitia makanisa na Misikiti. Simameni na kunena haki ya wananchi, na sio haki ya matumbo yenu

Mfumo wa Uchaguzi upo compromised na unatoa favor kwa group moja tu. Sitegemei kama nyie ni wagumu kiasi hiko kuliona hilo

Dr. Megalodon Mushi, PhD Fellow!
University of Ottawa
WHO Regional Office
Rue 52, Ottawa
Canada
 
Tatizo elimu Dunia jamaa hawaitilii maanani Sana na ndio inawapa shida kwenye utambuzi wa mambo ya kidunia...Wakatoriki wengi ni PHD holders reasoning capacity yao ni kubwa pengine kuliko viongozi wa dhehebu lolote
 
I agree…. Hata mfumo wao wa kuwa Padre….. ni educated system

Madhehebu mengine, ninaweza kuamka hapa na kuanza kutangaza injili na nikawq ba kanisa langu…….
 
Siku zote walikuwa wapi kudai reform?
mnakumbuka wakati wa kuunda katiba mpya UKAWA walisusia mchakato wakawapa fursa CCM kufanya yao na ku edit maendekezo ya Warioba
kwa nini walisusa? Walipata faida gani?
tokea wakati ule wamefikia wapi ktk harakati zao, au ndio kelele tu majukwaani na ktk media
tatizo ni katiba mbovu, katiba mpya ikiwepo itabadilisha muundo na utendbji wa tume ya uchaguz, sheria za uchaguzi na uteuzi wa msajiri wa vyama na uteuzi wa majaji
 
Kwenye Baraza la Eid mmedai kuwa uchaguzi ujao wapinzani msiwe ni sehemu ya kuvunja amani na kuleta chokochoko

Hizi ni Kauli za Ajabu na mara nyingi nina Doubt uwezo wa mashekh wa Bakwata.

Big Up Viongozi wa KIKRISTO , Viongozi wa KIKRISTO are birds who never meant to be caged, huwa wanawakilisha sana hisia za wananchi kwa hakika na wanatambua hakuna Mungu mtu hapo Tanzania.

Mfumo wa Uchaguzi upo compromised and favoritism

CCM ni beneficiary wa mfumo wa sasa, ndio maana tunaotaka kuondoa favoritism …….. wanaitwa wavunjifu wa AMANI, that is very low thinking.

INAHITAJIKA INDEPENDENT ELECTORAL COMMISSION Ambapo DG wake asiwe presidential apointee , achaguliwe na wananchi kupitia LIVE FEED .watumishi wa Tume wasiwe chini ya kivuli cha presidential department… otherwise huu ni uhuni.

Huwezi kumchagua mtu halafu mtu huyo huyo akasimamie uchaguzi ambao na wewe ni mshindani !!! Huu ni Uhuni ! Haki ya wagombea wengine unakuwa umeipokonya na Ushindi wowote ni BATILI.

Mashekh , watu kudai haki kama hiyo sio ufunjifu wa Amani, anaevunja amani ni yule ambae anamchagua mtu ambae anaenda kusimamia uchaguzi ambao na yeye ni Mshindani? What a shame !

Mashekh mkiwa mnasimama mbele ya watawala Ongeeni hali halisi ya nchi na kwamba wananchi hawana imani na mfumo wa Uchaguzi uliotumika over 40 years . Mfumo kufanyiwa mabadiliko ni LAZIMA.

Huwezi kutenganisha SIASA na DINI baadhi ya nchi zilipata uhuru kutoka kwa wakoloni kupitia makanisa na Misikiti. Simameni na kunena haki ya wananchi, na sio haki ya matumbo yenu

Mfumo wa Uchaguzi upo compromised na unatoa favor kwa group moja tu. Sitegemei kama nyie ni wagumu kiasi hiko kuliona hilo

Dr. Megalodon Mushi, PhD Fellow!
University of Ottawa
WHO Regional Office
Rue 52, Ottawa
Canada
Naunga mkono hoja, ifike mahali kama ni nyeusi tuseme ni nyeusi siyo nyeupe, hii nchi unafiki na kuogopana kutalirudisha nyuma taifa kimaendeleo, No Reform no Election
 
Mnataka wafikiri kama mnavyofikiri nyie, sio? Huna Cha kuwaambia bakwata wewe........wanafahamu meeeengi kuliko wewe (ya sirini na ya bayana). We piga makelele ya kinyumbu tu hapa
 
Mzee vp ushaweza kutomba angalau dakika 5 maana ulikua kuku style dakika moja chalii?
 
Kwenye Baraza la Eid mmedai kuwa uchaguzi ujao wapinzani msiwe ni sehemu ya kuvunja amani na kuleta chokochoko

Hizi ni Kauli za Ajabu na mara nyingi nina Doubt uwezo wa mashekh wa Bakwata.

Big Up Viongozi wa KIKRISTO , Viongozi wa KIKRISTO are birds who never meant to be caged, huwa wanawakilisha sana hisia za wananchi kwa hakika na wanatambua hakuna Mungu mtu hapo Tanzania.

Mfumo wa Uchaguzi upo compromised and favoritism

CCM ni beneficiary wa mfumo wa sasa, ndio maana tunaotaka kuondoa favoritism …….. wanaitwa wavunjifu wa AMANI, that is very low thinking.

INAHITAJIKA INDEPENDENT ELECTORAL COMMISSION Ambapo DG wake asiwe presidential apointee , achaguliwe na wananchi kupitia LIVE FEED .watumishi wa Tume wasiwe chini ya kivuli cha presidential department… otherwise huu ni uhuni.

Huwezi kumchagua mtu halafu mtu huyo huyo akasimamie uchaguzi ambao na wewe ni mshindani !!! Huu ni Uhuni ! Haki ya wagombea wengine unakuwa umeipokonya na Ushindi wowote ni BATILI.

Mashekh , watu kudai haki kama hiyo sio ufunjifu wa Amani, anaevunja amani ni yule ambae anamchagua mtu ambae anaenda kusimamia uchaguzi ambao na yeye ni Mshindani? What a shame !

Mashekh mkiwa mnasimama mbele ya watawala Ongeeni hali halisi ya nchi na kwamba wananchi hawana imani na mfumo wa Uchaguzi uliotumika over 40 years . Mfumo kufanyiwa mabadiliko ni LAZIMA.

Huwezi kutenganisha SIASA na DINI baadhi ya nchi zilipata uhuru kutoka kwa wakoloni kupitia makanisa na Misikiti. Simameni na kunena haki ya wananchi, na sio haki ya matumbo yenu

Mfumo wa Uchaguzi upo compromised na unatoa favor kwa group moja tu. Sitegemei kama nyie ni wagumu kiasi hiko kuliona hilo

Dr. Megalodon Mushi, PhD Fellow!
University of Ottawa
WHO Regional Office
Rue 52, Ottawa
Canada

Kwa Karne zaidi ya 12 waafrika wanauawa kama Karanga .Lakini hapakutokea popote duniani waislam waliopinga hata kinafiki hiyo biashara kisa tu wafanya biashara hiyo ni waarabu na wanatoa zaka na kujenga misikiti . Utu wa binadamu ukadhalilishwa kwa karne nyingi sana .Mpaka karne ya 19 Wamisionari walipoanza kuzunguka duniani kuhubiri habari njema za utawala wa Mungu ndipo Kanisa lilipoanza kupinga Biashara ya utumwa kwa wazi na kununua watumwa kisha kuwaachia huru .

Kwa hiyo bado baadhi ya Waislam wa Bakwata wasio na Elimu wamekua waoga na wanafiki na wasiojali jamii kuteseka chini ya mifumo mibovu ya kishetani .

Rais Samia kuna mkoa mmoja alienda aligawa zawadi nyingi sana kwa Wanachama wa Bakwata kwa mtu mmoja mmoja .Huku ndani ya kila zawadi pakiwa na pesa Taslim . Alifungua Misikiti ya Bakwata zaidi ya minne .Hapo sikujua kama aliijenga Yeye au ilijengwa na Taasisi gani !!
Kwa hali hii ni ngumu sana kusimama na kusema ukweli .Ukizingatia kuwa waislam ni watu wenye siri kubwa sana tofauti na wakristo hasa Wakatoliki ukitoa rushwa watatajana hadharani na kusema wazi kuwa ni pesa za rushwa na hawafungwi mdomo kwa sababu ya pesa iwe ni sadaka au changuzo.
Ndio maana pesa za Escrow aliyeibua sakata lile ni Padri Dr.Slaa na kulivalia njuga sana na Muumini mwingine wa kikatoliki aliyeitwa Tundu Lisu na Kafulila .

Cha msingi ni Waislam kubadilika kwa sababu haki ni haki na dhulma ni dhulma tu bila kuangalia imetendwa na mtu wa dini gani ?

Katiba mpya itaondoa hata malalamiko yao ya kukosa usawa kwani kutakua na uwazi na sifa ya mtu ndiyo itakayombeba.

Lakini pia Ifikie mahali sasa viongozi wa dini zote wapenda haki na amani wasimame na kuongoza maandamano nchi nzima ili kulinusuru Taifa kwa sababu ni wazi kuwa Sasa CCM iko tayari kubaki madarakani kwa kumwaga damu . Lakini pia upande wa pili wa upinzani nao wapo tayari kupinga uchaguzi kwa nguvu kubwa jambo ambalo litasababisha umwagikaji mkubwa wa damu bila sababu kisa tu kuna wazanzibari wachache na Machawa wao wachache na genge la mafisadi wanaotaka Samia atawale Tanganyika kwa miaka 10 hata kama nchi itapoteza amani kama ilivyokua Zanzibar miaka ya 2000.
Viongozi wa dini wasikubali kuona nchi ikikosa utawala wa haki kwa sababu ya kumnufaisha mtu mmoja asiye na shukrani .

Hata ukiongea na walimu wanasema wazi kuwa CCM wanaongeza kura na kubadili matokeo kwa lazima huku polisi wakitishwa kuwa wakizuia watapoteza nyazifa zao kama ni OCD au RPC au IGP. Ni RPC Mkatoliki na Mseminarist mmoja tu aliyewahi kukataa kubadilishwa matokeo ya uchaguzi kule Mwanza,huyu sio Mwingine bali ni Simon Siro. Huyu aliweka mbele maslahi ya umma kuliko maslahi ya mtu mmoja kutaka kwenda bungeni kwa dhulma ili ainufaishe familia yake huku familia za Malaki zikitaabika na kuumizwa na mabomu na wengine kufungwa.
Hakika Siro anastahili kupewa Nobeli ya Amani siku moja .

Lakini pia Saidi Mwema alikua anakaa mezani na kuongea na Wapinzani ili ajue changamoto zao kisha ajue namna ya kujua hatua za kuchukua maana usipomuelewa mtu unaweza ukamuonea kumbe yeye ndio mwenye haki.

Ikumbukwe tunaongozwa na mwanamke ambaye katika mwezi kuna wakati anakua na kisirani bila sababu za msingi. Kwa hali ilivyo ya kisiasa ambayo anaona kuwa kila anayempinga ni mhaini na mvunja amani ipo siku atageuka na kutoa amri kwa polisi na jeshi kuua watu kwa silaha za maangamizi na mabomu ya kivita badala ya mabomu ya machozi kama alivyofanya Dikteta Sadam Huseni . Huyu mama ana roho ya kikatili na Hasira ndio maana hua hasikilizi hata kero za watu akiwa kwenye ziara.
 
..Simon Sirro alikuja kuharibika alipoungana na John Magufuli.

..Nadhani Sirro ndiye Igp aliyechafuka kwa kumwaga damu kuliko wote tuliokuwa nao Tanzania.
 
Uliona wapi Taasisi ya serikali ikaipinga serikali?Bakwata ni sehemu ya serikali..

Halafu usitaje usijate uislamu na demokrasia ni vitu viwili tofauti , kuchanganyw hayo mambo ni makosa ...Sisi tunataka amani maana wengine sio waumini wa demokrasia na mambo ya kiutawala.

Usilazimishe dini kuingia kwenye demokrasia hatuitambui ,Bakwata wakiongelea demokrasia hawasimami kama waislamu bali ni nafsi zao.
 
Back
Top Bottom