Megalodon
JF-Expert Member
- Apr 9, 2021
- 5,233
- 12,398
- Thread starter
- #41
Hamna unachojua. Kwani Demokrasia wao haiwahusu ? Kama haiwahusu basi wasi comment lolote kuhusu siasaHizo reforms BAKWATA haziwahusu , tatizo ni kuchanganya siasa na dini ... Demokrasia mlichagua wenyewe kwa hiyo msilaumu chochote,BWAKWATA ni kwa ajili ya waislamu tu haitakiwi kushiriki mambo ya kisiasa kabisa kwa vile nchi hii ina dini nyingine..
Ishu ya uchaguzi ni bora viongozi wa dini wakakaa kimya kama wanaongea basi waongee kwa utashi wao ,kuliko kuleta misimamo yao binafsi kwenye mambo hayahusiani na dini zao.
Ni UJINGA kusema siasa isichanganywe na dini
Dini ni Siasa pia. Dini ni platform nzuri kutoa wanasiasa Wenye weledi.
Dini ndio sababu ya kupata uhuru kwenye nchi nyingi tu. Uhuru wa Zambia, Namibia purukushani zilianzia makanisani
Uhuru wa Tanzania purukushani zilianzia Misikitini na makanisani… ndio tukamtoa Mwalimu
Uhuru wa Morocco dhidi ya Mfaransa Uhuru ulianzia misikitini…..
Unatofautisha vipi dini na siasa. 😹kutofautisha dini na siasa ni aina nyingine ya udikteta
Ni sawa na mtumishi anaesema mm sifuatilii siasa wakati salary yake inapangwa kwa sera za kisiasa
Msiwe watu wenye akili ndogo
Makanisa na Misikiti ni platform nzuri ya kudqi maboresho ya mfumo wa Uchaaguzi ambao una favor one group na ku undermine the other groups