Viongozi wa Kiislam Kupitia BAKWATA elimikeni, haki ya Uchaguzi sio Uvunjifu wa Amani

Kwenye Baraza la Eid mmedai kuwa uchaguzi ujao wapinzani msiwe ni sehemu ya kuvunja amani na kuleta chokochoko

Hizi ni Kauli za Ajabu na mara nyingi nina Doubt uwezo wa mashekh wa Bakwata.

Big Up Viongozi wa KIKRISTO , Viongozi wa KIKRISTO are birds who never meant to be caged, huwa wanawakilisha sana hisia za wananchi kwa hakika na wanatambua hakuna Mungu mtu hapo Tanzania.

Mfumo wa Uchaguzi upo compromised and favoritism

CCM ni beneficiary wa mfumo wa sasa, ndio maana tunaotaka kuondoa favoritism …….. wanaitwa wavunjifu wa AMANI, that is very low thinking.

INAHITAJIKA INDEPENDENT ELECTORAL COMMISSION Ambapo DG wake asiwe presidential apointee , achaguliwe na wananchi kupitia LIVE FEED .watumishi wa Tume wasiwe chini ya kivuli cha presidential department… otherwise huu ni uhuni.

Huwezi kumchagua mtu halafu mtu huyo huyo akasimamie uchaguzi ambao na wewe ni mshindani !!! Huu ni Uhuni ! Haki ya wagombea wengine unakuwa umeipokonya na Ushindi wowote ni BATILI.

Mashekh , watu kudai haki kama hiyo sio ufunjifu wa Amani, anaevunja amani ni yule ambae anamchagua mtu ambae anaenda kusimamia uchaguzi ambao na yeye ni Mshindani? What a shame !

Mashekh mkiwa mnasimama mbele ya watawala Ongeeni hali halisi ya nchi na kwamba wananchi hawana imani na mfumo wa Uchaguzi uliotumika over 40 years . Mfumo kufanyiwa mabadiliko ni LAZIMA.

Huwezi kutenganisha SIASA na DINI baadhi ya nchi zilipata uhuru kutoka kwa wakoloni kupitia makanisa na Misikiti. Simameni na kunena haki ya wananchi, na sio haki ya matumbo yenu

Mfumo wa Uchaguzi upo compromised na unatoa favor kwa group moja tu. Sitegemei kama nyie ni wagumu kiasi hiko kuliona hilo

Dr. Megalodon Mushi, PhD Fellow!
University of Ottawa
WHO Regional Office
Rue 52, Ottawa
Canada
Baadhi ya waislamu inabidi tubadilike, unakuta mtu anamkingia kifua kiongozi na madudu yake kisa ni dini yake, Lissu ni mkristo tena mkatoliki kama Magufuli, lakini tulina alivyokuwa anampa za uso bila uoga.
 
..Simon Sirro alikuja kuharibika alipoungana na John Magufuli.

..Nadhani Sirro ndiye Igp aliyechafuka kwa kumwaga damu kuliko wote tuliokuwa nao Tanzania.

Sio Kweli IGP Siro ameingia nchi ikiwa katika mazingira magumu sana .
Utawala wa awamu ya nne ulikua na madhaifu maakibwa sana kwenye suala la Ugaidi na madawa ya kulevya .

Pesa nyingi haramu ziliingizwa nchini kupitia taasisi za kidini na za wauza madawa ya kulevya .
Kambi za magaidi zilikua zimetapakaa nchi nzima . Magaidi walibaliza kidogo sana kuigeuza nchi iwe kama Afghanistani . Ugaidi ulikua unaingiza pesa nyingi sana kwa watu lakini nyuma yake palikua na watawala baadhi na wengi leo ni mawaziri na wabunge kwa sababu ya pesa za Magaidi na Madawa ya kulevya .

Angalia wabunge waliopita mwaka 2015n from no where kwenye mikoa ya Tanga ,Pwani hasa Mkuranga , Lindi na Mtwara ,Kigoma ,Tabora n.k.

Siro alifanya kazi kubwa sana . Ujambazi ulikua juu sana . Taski Force haikuwapo chini ya Siro peke yake maana inajumuisha vyombo vyote vya Ulinzi na usalama .

Lakini pia Siro alikua anawapa moyo askari wake kwa sababu ya wakati mgumu uliokua mbele yao ndio maana hata Magufuli alikua anawapa Moyo na nguvu.

Anchi leo isingetawalika. Hali taratibu inaonekana inataka kurudi hasa kwenye roho ya kigaidi imeanza kujipanga kidogo kidogo na pesa za utashili zimeanza kumwagwa . stay tuned. Mitano haijesha . Hiyo mitano tena inatoka wapi
 
Baadhi ya waislamu inabidi tubadilike, unakuta mtu anamkingia kifua kiongozi na madudu yake kisa ni dini yake, Lissu ni mkristo tena mkatoliki kama Magufuli, lakini tulina alivyokuwa anampa za uso bila uoga.

Hata Bagonza ,Shoo, Dr.Munga , na TEC mpaka pengo alikua anajitokeza kumkingia kifua kupingana na wenzake ndani ya baraza .

Nawashangaa sana waislam wa Bakwata kwa uzushi na uongo na kupandikiza chuki za kidini kwa kusema eti wakati wa Magufuli Wakristo walikaa kimya .
Nakumbuka TEC walitoa waraka ,pengo akawasaliti wenzeke kwa sababu ya ukada wake siku zote .

Mkapa alipoingwa na Mrema Mkatoliki mwezaka na Kidogo angeanngushwa kama sio Nyerere .

Historia ya kweli inafichwa na majitu mapumbavu kama Shekhe Mwaipopo na harakati zake za kujenga Udini nchini chini ya udhamini wa Waarabu na pesa za magaidi. Arubaini yake inakaribia.
 
..tatizo la Simon Sirro ni kushirikiana na Magufuli kuangamiza demokrasia nchini.

..kuna wanachama 400+ wa Chadema waliwekwa kizuizini wakati wa Magufuli na Sirro wamekuja kutolewa na Rais Samia.

..Magufuli na Sirro wana damu za wapinzani mikononi mwao.
 
sHEKHE mWAIPOPO yeye hasumbuki kuangalia mkosaji ni nani, anachoangalia mwislam ni nani kati ya hao ili amtetee 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 Ovyo kabisa
 
Kwenye Baraza la Eid mmedai kuwa uchaguzi ujao wapinzani msiwe ni sehemu ya kuvunja amani na kuleta chokochoko

Hizi ni Kauli za Ajabu na mara nyingi nina Doubt uwezo wa mashekh wa Bakwata.

Big Up Viongozi wa KIKRISTO , Viongozi wa KIKRISTO are birds who never meant to be caged, huwa wanawakilisha sana hisia za wananchi kwa hakika na wanatambua hakuna Mungu mtu hapo Tanzania.

Mfumo wa Uchaguzi upo compromised and favoritism

CCM ni beneficiary wa mfumo wa sasa, ndio maana tunaotaka kuondoa favoritism …….. wanaitwa wavunjifu wa AMANI, that is very low thinking.

INAHITAJIKA INDEPENDENT ELECTORAL COMMISSION Ambapo DG wake asiwe presidential apointee , achaguliwe na wananchi kupitia LIVE FEED .watumishi wa Tume wasiwe chini ya kivuli cha presidential department… otherwise huu ni uhuni.

Huwezi kumchagua mtu halafu mtu huyo huyo akasimamie uchaguzi ambao na wewe ni mshindani !!! Huu ni Uhuni ! Haki ya wagombea wengine unakuwa umeipokonya na Ushindi wowote ni BATILI.

Mashekh , watu kudai haki kama hiyo sio ufunjifu wa Amani, anaevunja amani ni yule ambae anamchagua mtu ambae anaenda kusimamia uchaguzi ambao na yeye ni Mshindani? What a shame !

Mashekh mkiwa mnasimama mbele ya watawala Ongeeni hali halisi ya nchi na kwamba wananchi hawana imani na mfumo wa Uchaguzi uliotumika over 40 years . Mfumo kufanyiwa mabadiliko ni LAZIMA.

Huwezi kutenganisha SIASA na DINI baadhi ya nchi zilipata uhuru kutoka kwa wakoloni kupitia makanisa na Misikiti. Simameni na kunena haki ya wananchi, na sio haki ya matumbo yenu

Mfumo wa Uchaguzi upo compromised na unatoa favor kwa group moja tu. Sitegemei kama nyie ni wagumu kiasi hiko kuliona hilo

Dr. Megalodon Mushi, PhD Fellow!
University of Ottawa
WHO Regional Office
Rue 52, Ottawa
Canada
Bakwataccm hawajielewi ni wanafiki balaa, mda wote wanaunga mkono Polisiccm kuwabambikia kesi wapinzani kwa njia haramu za kishetani
 
Uwezo wao wa kufikiri ndipo ulipofika pia Tanzania watu wengi hujitoa ufahamu ili wapate pesa ndefu a.k.a kujizima data

Mwaka wa uchaguzi ndiyo kipindi cha mavuno nyie pigeni makelele Lani watu wapo kazini
Bakwataccm ni mojawapo ya kikwazo cha demokrasia kutokana na kusheheni wanafiki wengi wanaopenda Polisiccm waendelee kuonea watu
 
Kwenye Baraza la Eid mmedai kuwa uchaguzi ujao wapinzani msiwe ni sehemu ya kuvunja amani na kuleta chokochoko

Hizi ni Kauli za Ajabu na mara nyingi nina Doubt uwezo wa mashekh wa Bakwata.

Big Up Viongozi wa KIKRISTO , Viongozi wa KIKRISTO are birds who never meant to be caged, huwa wanawakilisha sana hisia za wananchi kwa hakika na wanatambua hakuna Mungu mtu hapo Tanzania.

Mfumo wa Uchaguzi upo compromised and favoritism

CCM ni beneficiary wa mfumo wa sasa, ndio maana tunaotaka kuondoa favoritism …….. wanaitwa wavunjifu wa AMANI, that is very low thinking.

INAHITAJIKA INDEPENDENT ELECTORAL COMMISSION Ambapo DG wake asiwe presidential apointee , achaguliwe na wananchi kupitia LIVE FEED .watumishi wa Tume wasiwe chini ya kivuli cha presidential department… otherwise huu ni uhuni.

Huwezi kumchagua mtu halafu mtu huyo huyo akasimamie uchaguzi ambao na wewe ni mshindani !!! Huu ni Uhuni ! Haki ya wagombea wengine unakuwa umeipokonya na Ushindi wowote ni BATILI.

Mashekh , watu kudai haki kama hiyo sio ufunjifu wa Amani, anaevunja amani ni yule ambae anamchagua mtu ambae anaenda kusimamia uchaguzi ambao na yeye ni Mshindani? What a shame !

Mashekh mkiwa mnasimama mbele ya watawala Ongeeni hali halisi ya nchi na kwamba wananchi hawana imani na mfumo wa Uchaguzi uliotumika over 40 years . Mfumo kufanyiwa mabadiliko ni LAZIMA.

Huwezi kutenganisha SIASA na DINI baadhi ya nchi zilipata uhuru kutoka kwa wakoloni kupitia makanisa na Misikiti. Simameni na kunena haki ya wananchi, na sio haki ya matumbo yenu

Mfumo wa Uchaguzi upo compromised na unatoa favor kwa group moja tu. Sitegemei kama nyie ni wagumu kiasi hiko kuliona hilo

Dr. Megalodon Mushi, PhD Fellow!
University of Ottawa
WHO Regional Office
Rue 52, Ottawa
Canada
BAKWATA NI CHAKA LA CCM LA KUDHITI AKILI ZA WAISLAM . KWA MANENENO MEGINE BAKWATA NI JUMUIYA WAISLAM WA CCM.
 
Wewe ndio muislam safi,kwahiyo mdomo huo huo unaotoa matumisi pia unautumia kumuomba Mungu wako?
Allah akufanyie wepesi.

Baada ya matusi hayo swali rakaa mbili umuombe msamaha Allah......hujielewi kabisa ishu hapa ni BAKWATA na tamko lao,sasa unaposema hutetei BAKWATA mbona unajichanganya??

BAKWATA Wana 'projects' zipi??Kama si kutangaza mfungo wa Ramadhani,sikukuu za Eid,ndoa,talaka na kuuza mali za jumuiya hiyo??

BAKWATA hawana haki ya kutoa msimamo wao halafu uwe ndio msimamo wa waislam wote!

Narudia tena tafuta historia ya waislamu katika nchi hii,hakuna muislam mbumbumbu!
Wote ni mbumbumbu waliopo Bakwata , wasio mbumbumbu ni wale ambao hawapo Bakwata , ndiyo maana tunawaita Bakwataccm maana ni Tawi la ccm lililosheheni wanafiki wengi sana wasiopenda haki
 
Baadhi ya waislamu inabidi tubadilike, unakuta mtu anamkingia kifua kiongozi na madudu yake kisa ni dini yake, Lissu ni mkristo tena mkatoliki kama Magufuli, lakini tulina alivyokuwa anampa za uso bila uoga.
Lisu ni mkweli na ukweli hauna Dhehebu unapenyaeko
 
..tatizo la Simon Sirro ni kushirikiana na Magufuli kuangamiza demokrasia nchini.

..kuna wanachama 400+ wa Chadema waliwekwa kizuizini wakati wa Magufuli na Sirro wamekuja kutolewa na Rais Samia.

..Magufuli na Sirro wana damu za wapinzani mikononi mwao.

Fanyeni utafiti acheni siasa za vijiweni.

Saimon Siro ndiye aliyekataa kupiga wananchi risasi Mwanza ili kubadili matokeo ya uchaguzi wakati huo Wenje alikua ameshakunali kuchukua pesa ili matokeo yabadilishwe . Siro akasoma upepo wa nguvu ya umma akalazimishwa matokeo yatangazwe na Chadema wakashinda Wenje akawa mbunge .
Haijawahi kutokea RPC yeyote tangu kuundwa kwa vyama vingi kukataa amri haramu ya watawala wa CCM na kumtangaza mpinzani bila kumwaga damu za watu ni Siro Peke yake Mwanafunzi wa shule ya Seminari ya Uru .

Magufuli alikua mchapa kazi na alisema kabisa hapa kazi tuu na wapinzani wenyewe wakagawanyika kwa sababu wengi waliona kuwa anafanya yale waliyokua wanayasema siku zote .

Ni kweli Lisu akimpinga lakini akimpinga katika taratibu za sheria za mikataba tu ila Magufuli huwezi kumlinganisha na Samia katika kuchapa kazzi na uzalendo kwa nchi.

Kama mtashindwa kutofautisha kati ya Magufuli na Samia na yupo ni bora zaidi BASI ,tafeli sana kisiasa maana wananchi wengi wanamkumbuka sana Magufuli .

Na siasa zilivyo upepo wa JPM ndio utakaompata Rais ajaye .
Lisu ajihadhari sana kumtukana JPM maana ana watu wengi sana kuliko Samia . Ukanda wote wa Ziwa JPM ni shujaa na ukanda ule una wapiga kura zaidi ya mi.10.

Huwezi kwenda kwa wasukuma ukamtukana Magufuli wala huwezi kwenda Zanzibar ukamtukana Samia au uende Chalinze umtukane Kikwete au umkejeli ,utapoteza kura nyingi.

Kifupi ni Kwamba Siro alijitahidi sana hata Wale waliokua wamemzunguka walikua ni watu kidogo wenye ubinadam.

Hata hivyo wakati wa JPM na hata JK wapinzani wengi walikua ni wasaliti ndani ya vyama vyao kuanzia Wenyeviti wao na wengine ngazi za juu. Hawa ndio walikua wanayumbisha upinzani. Bahati Mbaya Mbowe akawa anashirikiana na kundi la JK kumhujumu Jpm
 
..Nakubaliana na wewe kwamba ukabila na udini hupelekea wananchi kuvumilia au kufumbia macho ufisadi, na unyama, viongozi wetu.

..Kupinga kwamba Magufuli hakutenda maovu na unyama dhidi ya viongozi na wanachama wa vyama vya upinzani ni kutokuwa mkweli.

..Ni kweli kwamba Sirro aliwahi kuwatangaza wapinzani huko Mwanza wakati akiwa RPC. Lakini ni ukweli vilevile kwamba hakuna IGP aliyewapiga vita wapinzani, na kuwafanyia ukatili, kumzidi Simon Sirro. Je, ni kwanini Sirro alibadilika?
 
Back
Top Bottom