Benny Haraba
JF-Expert Member
- Dec 7, 2012
- 15,670
- 14,647
Uwezo wao wa kufikiri ndipo ulipofika pia Tanzania watu wengi hujitoa ufahamu ili wapate pesa ndefu a.k.a kujizima dataKwenye Baraza la Eid mmedai kuwa uchaguzi ujao wapinzani msiwe ni sehemu ya kuvunja amani na kuleta chokochoko
Hizi ni Kauli za Ajabu na mara nyingi nina Doubt uwezo wa mashekh wa Bakwata.
Big Up Viongozi wa KIKRISTO , Viongozi wa KIKRISTO are birds who never meant to be caged, huwa wanawakilisha sana hisia za wananchi kwa hakika na wanatambua hakuna Mungu mtu hapo Tanzania.
Mfumo wa Uchaguzi upo compromised and favoritism
CCM ni beneficiary wa mfumo wa sasa, ndio maana tunaotaka kuondoa favoritism …….. wanaitwa wavunjifu wa AMANI, that is very low thinking.
INAHITAJIKA INDEPENDENT ELECTORAL COMMISSION Ambapo DG wake asiwe presidential apointee , achaguliwe na wananchi kupitia LIVE FEED .watumishi wa Tume wasiwe chini ya kivuli cha presidential department… otherwise huu ni uhuni.
Huwezi kumchagua mtu halafu mtu huyo huyo akasimamie uchaguzi ambao na wewe ni mshindani !!! Huu ni Uhuni ! Haki ya wagombea wengine unakuwa umeipokonya na Ushindi wowote ni BATILI.
Mashekh , watu kudai haki kama hiyo sio ufunjifu wa Amani, anaevunja amani ni yule ambae anamchagua mtu ambae anaenda kusimamia uchaguzi ambao na yeye ni Mshindani? What a shame !
Mashekh mkiwa mnasimama mbele ya watawala Ongeeni hali halisi ya nchi na kwamba wananchi hawana imani na mfumo wa Uchaguzi uliotumika over 40 years . Mfumo kufanyiwa mabadiliko ni LAZIMA.
Huwezi kutenganisha SIASA na DINI baadhi ya nchi zilipata uhuru kutoka kwa wakoloni kupitia makanisa na Misikiti. Simameni na kunena haki ya wananchi, na sio haki ya matumbo yenu
Mfumo wa Uchaguzi upo compromised na unatoa favor kwa group moja tu. Sitegemei kama nyie ni wagumu kiasi hiko kuliona hilo
Dr. Megalodon Mushi, PhD Fellow!
University of Ottawa
WHO Regional Office
Rue 52, Ottawa
Canada
Mwaka wa uchaguzi ndiyo kipindi cha mavuno nyie pigeni makelele Lani watu wapo kazini