Viongozi wa Kiislam Kupitia BAKWATA elimikeni, haki ya Uchaguzi sio Uvunjifu wa Amani

Nammiss JPM, saa hz hawa wajinga wote wangekuwa kimyaaa.
Hakuna dikteta wa muda wote, nyakati lazima zibadilike. Yuko wapi Nduli Iddi Amin Dadaa? Kuna watu kama wewe wanatamani angekuwepo hadi leo hii.
 
Kwenye Baraza la Eid mmedai kuwa uchaguzi ujao wapinzani msiwe ni sehemu ya kuvunja amani na kuleta chokochoko

Hizi ni Kauli za Ajabu na mara nyingi nina Doubt uwezo wa mashekh wa Bakwata.

Big Up Viongozi wa KIKRISTO , Viongozi wa KIKRISTO are birds who never meant to be caged, huwa wanawakilisha sana hisia za wananchi kwa hakika na wanatambua hakuna Mungu mtu hapo Tanzania.

Mfumo wa Uchaguzi upo compromised and favoritism

CCM ni beneficiary wa mfumo wa sasa, ndio maana tunaotaka kuondoa favoritism …….. wanaitwa wavunjifu wa AMANI, that is very low thinking.

INAHITAJIKA INDEPENDENT ELECTORAL COMMISSION Ambapo DG wake asiwe presidential apointee , achaguliwe na wananchi kupitia LIVE FEED .watumishi wa Tume wasiwe chini ya kivuli cha presidential department… otherwise huu ni uhuni.

Huwezi kumchagua mtu halafu mtu huyo huyo akasimamie uchaguzi ambao na wewe ni mshindani !!! Huu ni Uhuni ! Haki ya wagombea wengine unakuwa umeipokonya na Ushindi wowote ni BATILI.

Mashekh , watu kudai haki kama hiyo sio ufunjifu wa Amani, anaevunja amani ni yule ambae anamchagua mtu ambae anaenda kusimamia uchaguzi ambao na yeye ni Mshindani? What a shame !

Mashekh mkiwa mnasimama mbele ya watawala Ongeeni hali halisi ya nchi na kwamba wananchi hawana imani na mfumo wa Uchaguzi uliotumika over 40 years . Mfumo kufanyiwa mabadiliko ni LAZIMA.

Huwezi kutenganisha SIASA na DINI baadhi ya nchi zilipata uhuru kutoka kwa wakoloni kupitia makanisa na Misikiti. Simameni na kunena haki ya wananchi, na sio haki ya matumbo yenu

Mfumo wa Uchaguzi upo compromised na unatoa favor kwa group moja tu. Sitegemei kama nyie ni wagumu kiasi hiko kuliona hilo

Dr. Megalodon Mushi, PhD Fellow!
University of Ottawa
WHO Regional Office
Rue 52, Ottawa
Canada
We ngedere uwe na adabu na viongozi wetu. Haki kadai kwa babako we bweg, umeandika matope⁷

We poyoyo huko unasoma huu upuuzi? Unawaambia viongozi wa kiislam wana uwezo mdogo bado unajiita msomi? Ndio maana hizo PhD zenu zinadharauliwa mpaka na wapiga debe. Wakati wa Magu ulimsikia askofu yoyote aliyenyanyua mdomo wake? Pengo alikuwa anatuambia Magu ni chaguo la Mungu, je wakati wa Magu na sahivi wapi nafuu? Sheria ya uchaguzi imefanyiwa marekebisho makubwa tume ni huru sahivi. Shida yako we ni ubaguzi wa kidini, na ukizingatia we ni mchaga kwenu ubaguzi upo mpk kwenye mifupa. Nyie ndondocha hamtafanikiwa mission zenu. Samia amefanya mambo makubwa sana hakuna mwanaume ameweza kufanya tutampatia miaka 5 tena afanye maajabu makubwa zaidi. Wapinzani wenyewe ni hao vibaraka? Nani mwenye akili timamu amchague Tundu Lissu? Hatuwezi kuwapa mambwa nchi yetu waiongoze. We endelea kubeba maboksi huko uje kuwaringishia wachaga wenzio ukirudi
 
Na serikali badala ya libraries wanawajengea misikiti kucha!
Zombies kabisa....
 
Hakuna dikteta wa muda wote, nyakati lazima zibadilike. Yuko wapi Nduli Iddi Amin Dadaa? Kuna watu kama wewe wanatamani angekuwepo hadi leo hii.
Na atatokea tu mwingine 2030 baada ya Samia.
 
CCM haitaki kushirikiana na Watanzania wenye akili.
CCM wao wanapenda ushirika na mapooza ambayo wakifungwa vitambaa usoni na kuambiwa saa hizi ni usiku, yanakubali bila kuhakikisha.
 
Nyie wajinga kwenye demokrasia yenu uislamu hauna nafasi , katafuteni huruma kwa wengine ...Sio wote wapumbavu wa kufuatilia demokrasia.
Kama uislamu hauna nafasi basi acheni kuongelea siasa na kuwapangia watu.
Inaonyesha wewe ni kilaza sana kwenye uislamu,hujui chochote tena ni mpuuzi wa BAKWATA (Balaza La Wanafiki Tanzania).
 
Una akili sana ila ndugu zetu hawa ni wapumbavu sana ...Kama mtoa uzi yeye mkristo ila anaingilia mambo ya waislamu kwa kutaka wafanye vile anafikiria yeye
.

CCM ni utterly smart kwa michezo hii ,hawa jamaa zako wanataka kila mtu afanye wanachotaka yeye ,akienda tofauti basi wanajikuta wana elimu kumbe vichaa wamekariri maneno ya kingereza ,thus why CCM itaongoza milele .

Sasa BAKWATA inawahusini nini? Au ukiende kuangalia majukumu yao yanaendana na hayo wanayotaka ...Hawajui mlengo wa dini ni mbaya ..

Demokrasia yote ni utapeli mtaendelea kuibiwa kea vile ni maslahi ya watu...Ukae nje uwashauru BAKWATA wafanye nn? Mwishoe unazua mjadala wa udini.

Mtaoa mada ni zwazwa !

-
 
We ngedere uwe na adabu na viongozi wetu. Haki kadai kwa babako we bweg, umeandika matope⁷
We poyoyo huko unasoma huu upuuzi? Unawaambia viongozi wa kiislam wana uwezo mdogo bado unajiita msomi? Ndio maana hizo PhD zenu zinadharauliwa mpaka na wapiga debe. Wakati wa Magu ulimsikia askofu yoyote aliyenyanyua mdomo wake? Pengo alikuwa anatuambia Magu ni chaguo la Mungu, je wakati wa Magu na sahivi wapi nafuu? Sheria ya uchaguzi imefanyiwa marekebisho makubwa tume ni huru sahivi. Shida yako we ni ubaguzi wa kidini, na ukizingatia we ni mchaga kwenu ubaguzi upo mpk kwenye mifupa. Nyie ndondocha hamtafanikiwa mission zenu. Samia amefanya mambo makubwa sana hakuna mwanaume ameweza kufanya tutampatia miaka 5 tena afanye maajabu makubwa zaidi. Wapinzani wenyewe ni hao vibaraka? Nani mwenye akili timamu amchague Tundu Lissu? Hatuwezi kuwapa mambwa nchi yetu waiongoze. We endelea kubeba maboksi huko uje kuwaringishia wachaga wenzio ukirudi
Ukisoma post yangu sijazungumzia udini at all .Nimezungumzia specific Mashekh wa BAKWATA.

BAKWATA sio Uislam. Ni taasisi inayosimamia mambo ya kiislam. Uislam ni kufuatishi nguzo tano na kukiri kwa imani yako. Kama ninge point uislam…. Ungeweza kusema mambo ya dini.

Hii ndio Changamoto ya dini ; Samia akisemwa kwa namna yoyote ile….. HOJA ITAIBUKA ya UDINI. Hili ni tatizo kubwa na ni changamoto ya Colonization and Slavery.

Kama taifa tungekuwa na Imani moja…..pretty sure usinge comment hayo uliyoyasema. Afterall dont proud to be muslim…..Uislam ni Uarabu, nyie black skin ni mamluki kwenye hiyo imani. Kwanza wewe na weusi wako huo ukienda arabuni watakuuliza ilikuaje ukawa muislam……. Islam is not your birth mark….. it is your slavery mark kama ilivyokuwa kwa Bilal…. Soma History.

Nenda Machame kule ndio kuna dini za babu zako sio Saudia……. Ndani ya Uislam wewe ni just slave behind the big pucture. So stop making noise na mambo ya dini na udini .

Samia ni incompetent tutaendelea kunena, kama anafanya vema tutamsifu. As of now Samia hana road map’yoyote na hakuna anaejua Samia anatupeleka wapi.

Kiuhusu ishu ya maboresho ya tume ya Uchaguzi, i am not going to waste my time, Soma post upya….. elewa point ni nini

Hayo unayoyaita maboresho yaliyofanywa , please go ukaya implement wewe na bibi yako
 
Kama uislamu hauna nafasi basi acheni kuongelea siasa na kuwapangia watu.
Inaonyesha wewe ni kilaza sana kwenye uislamu,hujui chochote tena ni mpuuzi wa BAKWATA (Balaza La Wanafiki Tanzania).
Kilaza ni wewe mshamba na wajinga wenzio ,unafikria kila fala anafuata CHADEMA ... Usilazimishe wataje unayotaka kawambie mama yako aseme hizo kama ana uwezo.

Nyie wakristo anawapangia waislamu waseme nn ? Mnakatwa nn?
 
Hakuna muislam mpuuzi kama wewe,isitoshe hujui historia ya waislamu katika nchi hii na wala huifahamu BAKWATA hilo ni baraza la vilaza kama wewe,hebu tafuta waislamu wasomi wakupe darasa kidogo.
Kwenye jukwaa hili kuna waislamu wasomi najua watakuwa wanashangaa pumba zako.
Ndugu waislamu sio wapuuzi kama wewe wala hawana mambo ya uchawa!
 
🤣🤣Masheikh watz baba ni mizigo na ni watumwa wa serikali ya THITHIEM mfano ndogo kuna yule sheikh wa kenya anaitwa IZUDYN aliongea akamuomba samia juu ya kero wanazo pata mpakani…😂😂Kayatiba buda kaambiwa hakuna kuja tz ukitaka omba radhi.. na kaomba radhi.
 
Hakuna muislam mpuuzi kama wewe,isitoshe hujui historia ya waislamu katika nchi hii na wala huifahamu BAKWATA hilo ni baraza la vilaza kama wewe,hebu tafuta waislamu wasomi wakupe darasa kidogo.
Kwenye jukwaa hili kuna waislamu wasomi najua watakuwa wanashangaa pumba zako.
Ndugu waislamu sio wapuuzi kama wewe wala hawana mambo ya uchawa!
Wewe ni fala unataka kuwatumia waislamu kwa ajili ya njaa zako na wazazi wake ,kaliwe mbele huko ... Muislamu atafuata chama anachokiata hata Raisi muislamu...waambie wazazi wako wakafnye hizo agenda zenu .

Sitetei BAKWATA ila hauwezi kuingilia usiwe fala ,angalia majukumu ya BAKWATA nahisi una tatizo ... Umaskini unakupelekesha kenge wewe🤣🤣
 
Ya Sirin ndio yale ya ramli?

hayo mambo sifuatilii sana . Hakuna anaeabudu masanamu. Tofautisha utamaduni wa Kikristo na kuabudu masanamu. Tofautisha pia tamaduni za Kiislam na kuabudu masanamu

Ukiniambia wakristo wanaabu masanamu then hata muslims wanaabudu masanamu. Kile kinachofanyika pale maka kwenda kuomba shida zako kwenye kajumba keusi hakuna tofauti na ibada za masanamu…. You travel all the way from Africa to Asia kuliomba jiwe kwa kuuana Just kulishika jiwe linalodaiwa kutoka peponi , kwani ukiwa Tanzania Huwezi kuomba na mungu akakusikia?

Ukishaanza kufanya kitu fulan ndio focus ya iman yako , hiyo ni ibada ya sanamu. Kwamba ukienda makkah ukiomba ndio utafanikiwa.

Kuna Ugonjwa unaitwa Faith Syndrome, kuona madhaifu ya imani ya mwîgine na
Kushindwa kuona madhaifu ya imani yako. Ndio maana mijadala ya kiimani haina conclusions . Iman ni aina nyingine ya ugonjwa wa akili

Kitu pekee unachopaswa kufahamu ni kuwa hakuna dini aliyoanzisha mungu, dini zote zimeanzishwa na binadamu.hakuna dini ya kweli wala hakuna dini ya uongo.
Amin kinachokufaa bila ya kujaji imani ya mwîgine kwa sababu dini zote ni za uongo na dini zote ni za kweli….. choose your way and ishi your Life .

Hata ukiamini mbwa ndio mungu wako, it is okay . Mwisho wa siku stori za jehanam na
Mbinguni ( peponi) ni story za kufikirika na ahadi za peremende kwa mtoto.
Mkuu kwa bahati mbaya haufahamu misingi ya Iman ya kiislam ktk Ibada kuna masharti ya ibada ambayo ni
Ikhlasw - Kufanya ibada kwaajili ya M/Mungu peke yake pasi na kuweka ukati na kati na kitu chochote ( Muabudu Mungu tu pekee yake bila ya kumshirikisha na kitu chochote)
Mutaba'a - Kumfuata mtume Alayh salam ktk Ibada hiyo ( Kumuiga mtume katk ibada unayoifanya lazma umfuate mtume)

Kuusu Jiwe Jeusi "Hajaru aswadu "
Waislamu hawaliabudu jiwe jeusi kule Makka wala jiwe jeusi hakuna anasafiri kwaajili ya kwenda kuliabudu jiwe jeusi isipokuwa kulibusu hili jiwe ni katika Sunna ( sio lazma)

Mmoja wa wanafunzi wa Mtume akiitwa Umar Al khatwaab alilishika jiwe jeusi na kusema" Lau nisingemuona mtume Muhammad akikubusu wewe katu nisingefanya hivyo nafahamu ww ni jiwe tu huwezi ninufaisha wala kunidhuru na kitu chochote"

Hivyo basi Jiwe jeusi halita mnufaisha mtu yeyote mbele ya M/Mungu
 
Kama sio ibada ya Masanamu Fanyeni maombi hapa hapa TZ.

Kama sio Ibada ya Masanamu why unaamini ukienda Makkah na kufanya zile Rituals Activities unasameewa Dhambi zako zote.

Huwezi kusamehewa dhambi zako TZ!?

Shida ya Ibada ya Masanamu wengi wanaifanya bila wao kujua. Historically Al qaaba ilikuwa ni Center ya Ibada ya Masanamu kwa waarabu, untill Muhammad alipo ichukuwa Maccah na baada ya battles za kumwaga damu sana, ndio wakaichukua makkah na kuifanya kuwa sehemu ya ritual kwa Mungu mmoja tu .

Sidhab kama ninachakujifunza kwako kuhusu Islam maana knowledge ipo everywhere and i read things

Hâta C’xtian wanasema hawaabudu masanamu, kinachofanyika kwa Maria na Yesu ni ritual tu , kama jinsi nyie mnavofanya ritual yenu kuzungua al qaaba na kuomba shida zenu kupitia black box….. kwa wenye upeo wa juu…. Haina tofauti na ibada ya masanamu

By the way hakuna jiwe la peponi….. hiyo Hajjar Aswadu haina tofauti na kimondo cha pale Mbozi.nacho kimetoka mbinguni

Everything is just story and man made

Babu zako wa zamani walikuwa na imani zao , fuatisha hizo imani. Wewe black skin waachie waarabu imani zao

Kwenye Islam wewe ni Identity ya slave , Rajul As’wad
 
Mnataka wafikiri kama mnavyofikiri nyie, sio? Huna Cha kuwaambia bakwata wewe........wanafahamu meeeengi kuliko wewe (ya sirini na ya bayana). We piga makelele ya kinyumbu tu hapa
💪💪💪💪💪💪💪💪💪💪
 
Uliona wapi Taasisi ya serikali ikaipinga serikali?Bakwata ni sehemu ya serikali..

Halafu usitaje usijate uislamu na demokrasia ni vitu viwili tofauti , kuchanganyw hayo mambo ni makosa ...Sisi tunataka amani maana wengine sio waumini wa demokrasia na mambo ya kiutawala.

Usilazimishe dini kuingia kwenye demokrasia hatuitambui ,Bakwata wakiongelea demokrasia hawasimami kama waislamu bali ni nafsi zao.
No reform no election
 
Kwenye Baraza la Eid mmedai kuwa uchaguzi ujao wapinzani msiwe ni sehemu ya kuvunja amani na kuleta chokochoko

Hizi ni Kauli za Ajabu na mara nyingi nina Doubt uwezo wa mashekh wa Bakwata.

Big Up Viongozi wa KIKRISTO , Viongozi wa KIKRISTO are birds who never meant to be caged, huwa wanawakilisha sana hisia za wananchi kwa hakika na wanatambua hakuna Mungu mtu hapo Tanzania.

Mfumo wa Uchaguzi upo compromised and favoritism

CCM ni beneficiary wa mfumo wa sasa, ndio maana tunaotaka kuondoa favoritism …….. wanaitwa wavunjifu wa AMANI, that is very low thinking.

INAHITAJIKA INDEPENDENT ELECTORAL COMMISSION Ambapo DG wake asiwe presidential apointee , achaguliwe na wananchi kupitia LIVE FEED .watumishi wa Tume wasiwe chini ya kivuli cha presidential department… otherwise huu ni uhuni.

Huwezi kumchagua mtu halafu mtu huyo huyo akasimamie uchaguzi ambao na wewe ni mshindani !!! Huu ni Uhuni ! Haki ya wagombea wengine unakuwa umeipokonya na Ushindi wowote ni BATILI.

Mashekh , watu kudai haki kama hiyo sio ufunjifu wa Amani, anaevunja amani ni yule ambae anamchagua mtu ambae anaenda kusimamia uchaguzi ambao na yeye ni Mshindani? What a shame !

Mashekh mkiwa mnasimama mbele ya watawala Ongeeni hali halisi ya nchi na kwamba wananchi hawana imani na mfumo wa Uchaguzi uliotumika over 40 years . Mfumo kufanyiwa mabadiliko ni LAZIMA.

Huwezi kutenganisha SIASA na DINI baadhi ya nchi zilipata uhuru kutoka kwa wakoloni kupitia makanisa na Misikiti. Simameni na kunena haki ya wananchi, na sio haki ya matumbo yenu

Mfumo wa Uchaguzi upo compromised na unatoa favor kwa group moja tu. Sitegemei kama nyie ni wagumu kiasi hiko kuliona hilo

Dr. Megalodon Mushi, PhD Fellow!
University of Ottawa
WHO Regional Office
Rue 52, Ottawa
Canada
Ma sheikh ni WA BAKWATA
BAKWATA ilianzishwa na Nyerere kumtumia Kawawa na mwalimu wa chekechea ya kiislamu toka Bukoba.
Uzi huu umo jukwaani
 
Kama sio ibada ya Masanamu Fanyeni maombi hapa hapa TZ.

Kama sio Ibada ya Masanamu why unaamini ukienda Makkah na kufanya zile Rituals Activities unasameewa Dhambi zako zote.

Huwezi kusamehewa dhambi zako TZ!?

Shida ya Ibada ya Masanamu wengi wanaifanya bila wao kujua. Historically Al qaaba ilikuwa ni Center ya Ibada ya Masanamu kwa waarabu, untill Muhammad alipo ichukuwa Maccah na baada ya battles za kumwaga damu sana, ndio wakaichukua makkah na kuifanya kuwa sehemu ya ritual kwa Mungu mmoja tu .

Sidhab kama ninachakujifunza kwako kuhusu Islam maana knowledge ipo everywhere and i read things

Hâta C’xtian wanasema hawaabudu masanamu, kinachofanyika kwa Maria na Yesu ni ritual tu , kama jinsi nyie mnavofanya ritual yenu kuzungua al qaaba na kuomba shida zenu kupitia black box….. kwa wenye upeo wa juu…. Haina tofauti na ibada ya masanamu

By the way hakuna jiwe la peponi….. hiyo Hajjar Aswadu haina tofauti na kimondo cha pale Mbozi.nacho kimetoka mbinguni

Everything is just story and man made

Babu zako wa zamani walikuwa na imani zao , fuatisha hizo imani. Wewe black skin waachie waarabu imani zao

Kwenye Islam wewe ni Identity ya slave , Rajul As’wad
Embu msikilize kwanza huyo jamaa
 
Attachments

  • -1813992238.mp4
    1.7 MB
Back
Top Bottom