Analogia Malenga
JF-Expert Member
- Feb 24, 2012
- 5,108
- 10,191
kwa mfano na wewe uamke asubuhi ukute tu umefukuzwa kaziHao machinga inatakiwa wafahamu tu kwa sasa serikali haiwezi kurudi nyuma tena , kwani wanafanya vitimbi vingi kutafuta huruma kuwa wanaonewa, ili zoezi lisitishwe, usije shangaa wakaanda hata bonge ya tukio la kutisha ili tu kutafuta huruma!!ZAMU HII AFE KIPA, AFE BEKI, LAZIMA TU GOLI LIINGIEEE!!mlivumiliwa sana na kujiona ndio wenye haki za kufanya mlitakalo kwenye mitaa.
Sio rahic kukubali watu woteeeeKama kuna mgogoro kati ya machinga na viongozi wao inaonesha hilo agizo la mkuu wa mkoa halikukubaliwa na wote, mwanzo mgumu, naamini baada ya muda machinga wataizoea hii hali mpya iliyowakuta na kuacha maisha yaendelee.
Hata kwenye familia hamuwezi kukubaliana wote kwenye jambo!“Leo Jumanne kumetokea tafrani katika Mtaa wa Msimbazi Kariakoo wakati Viongozi wa Wamachinga katika jitihada za kuunga mkono Serikali kuwapanga vizuri Wamachinga walifanya wenyewe oparesheni ya kuwatoa Watu walioziba njia za wapita kwa miguu”
“Nawapongeza sana Viongozi wa Wamachinga Dar es salaam kwa kazi nzuri waliyoifanya leo na niwaambie pamoja na changamoto iliyojitokeza baadhi yao wachache kuwapinga, wameonesha ni Viongozi wakomavu ambao wanaelewa nia nzuri ya Serikali”-Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Amos Makalla.
View attachment 1979812
Hawafukuzwi wanapangwa kwani we ukihamishwa kikazi unakuwa umefukuzwa mkuuSio rahic kukubali watu woteeee
Ataanza kujiliza aonewe huruma kenge huyukwa mfano na wewe uamke asubuhi ukute tu umefukuzwa kazi
Wewe nenda kwenu tu Burundi!View attachment 1979869
Huyu maku sijui mwenyekiti akalale kwa makala leo.
Kariakoo ni ya watanzania wote sio ya wenye mitaji mikubwa peke yao.
Hii ngoma bado mbichi watu watafurahi mbona.