Viongozi wa machinga Dar wakumbana na vurugu wakiwapanga wenzao

Viongozi wa machinga Dar wakumbana na vurugu wakiwapanga wenzao

Kama kuna mgogoro kati ya machinga na viongozi wao inaonesha hilo agizo la mkuu wa mkoa halikukubaliwa na wote, mwanzo mgumu, naamini baada ya muda machinga wataizoea hii hali mpya iliyowakuta na kuacha maisha yaendelee.
Hakuna mgigoro, ni ujinga kuwaunga mkono illigal traders wasiolipa kodi na wana obstruct mipndombinu ya Jiji kwa kuwaendekeza kisiasa.
 
View attachment 1979869
Huyu maku sijui mwenyekiti akalale kwa makala leo.

Kariakoo ni ya watanzania wote sio ya wenye mitaji mikubwa peke yao.

Hii ngoma bado mbichi watu watafurahi mbona.
Nilikua nawatetea wamachinga kwenye GRP lachama nikaonekana mbaya siungi Sera ila wamachinga niwatu wachini nilishafanya hiyokazi sikunilipoacha nibaada yakua naingiza 300 kwasiku ila fwateni tuu sheria maboss wanataka kupitisha magari yao
 
View attachment 1979869
Huyu maku sijui mwenyekiti akalale kwa makala leo.

Kariakoo ni ya watanzania wote sio ya wenye mitaji mikubwa peke yao.

Hii ngoma bado mbichi watu watafurahi mbona.
Na ndio sasa mnazidi kujiharibia kabisa, kwani haya tuliyategemea tulijua hasa kariakoo kukubaliana na hali ni ngumu, hata wale waliokuwa wakiwaonea huruma wataona kumbe ni wahuni tu!!kipigo kitakapoanza!!sasa mlitegemea hao viongozi wenu wawahamasishe kukataa kuhama??
 
Makala kafanya kosa kubwa sana la kuwapa wamachinga siku 12,ilitakiwa kuanzia kesho lipite greda na kuvunja vibanda vyote na kwa chinga yeyote atakayekaidi ni kuvunja kiuno tu.

Wamachinga ni kero....Sehemu za kufanyia biashara zipo waende huko ,mafremu yamejaa kibao hayana wapangaji,wasilalamike tu hakuna sehemu za biashara ,zipo sehemu nyingi wachukue fremu wapange,wamezoea mseleleko ,hawataki kulipa kodi.

Tarehe 18 walikuwa washahama karibia wote,walivyopewa siku 12 wamerudi kama awali,Amos umefanya kosa kubwa sana la kiufundi...Hao wa k/koo ni kuwapa kipondo tu hakuna namna ,mkiwapa vipondo wenyewe wataenda sehemu walizopangiwa.
 
Viongozi wa CWT mmewanunua

Viongozi wa TUCTA mmewanunua

Viongozi wa WAMACHINGA nao mmewanunua? Tangu lini machinga akampanga machinga mwenzie? Pelekeni migambo wenu msiwagombanishe machinga kwa machinga.

Asante kwa jicho pevu.
Wengi humu ni vipofu
Wanaendeshwa na ...ujinga ujinga
 
View attachment 1979869
Huyu maku sijui mwenyekiti akalale kwa makala leo.

Kariakoo ni ya watanzania wote sio ya wenye mitaji mikubwa peke yao.

Hii ngoma bado mbichi watu watafurahi mbona.
Hahahaha keyboard warrior, tarehe 1 November endelea kupanga bamia zako pale mtaa wa Msimbazi kama hujajuta kwanini ulikimbia kutoka kwenu huo Mpimbwe ukaja kuvamia miji ya watu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom