Jumbe Brown
JF-Expert Member
- Jun 23, 2020
- 12,077
- 12,786
Mkuu kwani hatuwezi kufuata taratibu kufanya biashara zetu?!!!Kaa kwa kutulia utafurahi na utaoneshwa ustaarabu unafananaje.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu kwani hatuwezi kufuata taratibu kufanya biashara zetu?!!!Kaa kwa kutulia utafurahi na utaoneshwa ustaarabu unafananaje.
😍Na ndio sasa mnazidi kujiharibia kabisa, kwani haya tuliyategemea tulijua hasa kariakoo kukubaliana na hali ni ngumu, hata wale waliokuwa wakiwaonea huruma wataona kumbe ni wahuni tu!!kipigo kitakapoanza!!sasa mlitegemea hao viongozi wenu wawahamasishe kukataa kuhama??
Ustaarabu ni kufanya biashara kiholela?!!! Khaa 😲Kaa kwa kutulia utafurahi na utaoneshwa ustaarabu unafananaje.
View attachment 1979869
Huyu maku sijui mwenyekiti akalale kwa makala leo.
Kariakoo ni ya watanzania wote sio ya wenye mitaji mikubwa peke yao.
Hii ngoma bado mbichi watu watafurahi mbona.
Dah! Basi sawa
Nalog off
hahahaWe nawe unaboa pua kubwa kila siku comment yako nalogof.
Utawapanga mpaka lini.Hapa hujatatua tatizo.Tafuteni eneo lao maalum la biashara zao.Hilo ndilo suluhu.Walishapangwaga.Ukiondoka tu.wamerudi palepale.Au ofisi za jiji zikifungwa tu.tayari weshajazana juu ya mitaro na mbele ya maduka ya walipa kodi.Wewe nenda kwenu tu Burundi!
Wamachinga lazima wapangwe na miji yetu lazima iendeshwe kistaaarabu!
Mkuu,wamepangiwa wapi.Makala kafanya kosa kubwa sana la kuwapa wamachinga siku 12,ilitakiwa kuanzia kesho lipite greda na kuvunja vibanda vyote na kwa chinga yeyote atakayekaidi ni kuvunja kiuno tu.
Wamachinga ni kero....Sehemu za kufanyia biashara zipo waende huko ,mafremu yamejaa kibao hayana wapangaji,wasilalamike tu hakuna sehemu za biashara ,zipo sehemu nyingi wachukue fremu wapange,wamezoea mseleleko ,hawataki kulipa kodi.
Tarehe 18 walikuwa washahama karibia wote,walivyopewa siku 12 wamerudi kama awali,Amos umefanya kosa kubwa sana la kiufundi...Hao wa k/koo ni kuwapa kipondo tu hakuna namna ,mkiwapa vipondo wenyewe wataenda sehemu walizopangiwa.
Ni ngumu hasa kwa kazi zenye nature ya umachinga kama upolisi 😂 ukitolewa shekilango ukapelekwa Tunduma huko jua washakumaliza na njaa maana gari za kukupa laki ndani ya dakika 40 hakuna😂Hawafukuzwi wanapangwa kwani we ukihamishwa kikazi unakuwa umefukuzwa mkuu
Nilijua tu kwa maslahi yaliopo kariakoo pale hamna mtu atakubali kuhama kirahisi😂 kariakoo pana hela sana pale ukijiweka vizuri hukosi 30-50K kwa siku kwa biashara ya kawaida tu!View attachment 1979869
Huyu maku sijui mwenyekiti akalale kwa makala leo.
Kariakoo ni ya watanzania wote sio ya wenye mitaji mikubwa peke yao.
Hii ngoma bado mbichi watu watafurahi mbona.
Ulianza kuingiza 300K kwa mishe gani mzee?Nilikua nawatetea wamachinga kwenye GRP lachama nikaonekana mbaya siungi Sera ila wamachinga niwatu wachini nilishafanya hiyokazi sikunilipoacha nibaada yakua naingiza 300 kwasiku ila fwateni tuu sheria maboss wanataka kupitisha magari yao
Mku
Mkuu,wamepangiwa wapi.
Washkaji wengi miaka hii mitano wametengeneza mitaji mikubwa wapo vizuri sasa hivi... alafu kina sandaland wameanzia uko uko ila wao hawataki wenzao wayatoeNilijua tu kwa maslahi yaliopo kariakoo pale hamna mtu atakubali kuhama kirahisi😂 kariakoo pana hela sana pale ukijiweka vizuri hukosi 30-50K kwa siku kwa biashara ya kawaida tu!
Damu lazima imwagikeHahahaha keyboard warrior, tarehe 1 November endelea kupanga bamia zako pale mtaa wa Msimbazi kama hujajuta kwanini ulikimbia kutoka kwenu huo Mpimbwe ukaja kuvamia miji ya watu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu wala hajafanya kosa bali, ni mkakati wa kiufundi , kwani waliomba waongezewe, wiki mbili ili wakamilishe, japo hata hizo wiki mbili zitaisha hawakuwa wametoka wote, kwani kuna wengine baada ya kuongezwa siku wamerudisha mabanda yao tena hapo kuna nini.Lakini serikali itakuwa na la kujitetea kuanzia hiyo tarehe 1.11, itakapoanza sasa kusafisha, atakaye kutwa ni kumbakumba tu!!ningekuwa mimi ningetangaza kabisa tarehe hiyo JWTZ, ndio watafanya usafi wa jiji, sasa basi lawama hatutaki!!Makala kafanya kosa kubwa sana la kuwapa wamachinga siku 12,ilitakiwa kuanzia kesho lipite greda na kuvunja vibanda vyote na kwa chinga yeyote atakayekaidi ni kuvunja kiuno tu.
Wamachinga ni kero....Sehemu za kufanyia biashara zipo waende huko ,mafremu yamejaa kibao hayana wapangaji,wasilalamike tu hakuna sehemu za biashara ,zipo sehemu nyingi wachukue fremu wapange,wamezoea mseleleko ,hawataki kulipa kodi.
Tarehe 18 walikuwa washahama karibia wote,walivyopewa siku 12 wamerudi kama awali,Amos umefanya kosa kubwa sana la kiufundi...Hao wa k/koo ni kuwapa kipondo tu hakuna namna ,mkiwapa vipondo wenyewe wataenda sehemu walizopangiwa.
Wafurushwe,miji na majiji yakae sawa..Na kila anayekuja mjini ajue anakuja na mipango inayoeleweka..sio kuja kujenga vibanda vichafu kwenye miundombinu ya barabara.Nimeona picha za baadhi ya maeneo waliondolewa wamachinga sijaamini jinsi kulivyo!jamaa walikua wanalichafua hilo jiji