Tangantika
JF-Expert Member
- Aug 12, 2018
- 5,586
- 7,087
Wasafishwe mpaka vijijini yani pasiachwe mahala. Kila kona ta nchi iwe nyeupe. Hawataki warudi kulima vinginevyo waende walipopangwa.Wafurushwe,miji na majiji yakae sawa..Na kila anayekuja mjini ajue anakuja na mipango inayoeleweka..sio kuja kujenga vibanda vichafu kwenye miundombinu ya barabara.