Viongozi wa Nchi za Niordicc wakifanya mkutano nyumbani kwa kiongozi wa Udanish jana 26.01.25

Ssa hakuna hata ka nyama choma bahna?! kikao gani sasa 😀 😀
 
Shule, barabara, masoko, usafiri, mahospitali nk nadhani yote yalifungwa ili waheshimiwa hao wasisikie kelele.
 
Duh aiseee halafu sasa sie waomba misaada tuna mbwembwe balaa
 
Leta ilo tukio Africa sasa kwa viongozi weusi nchi zenye shida lukuki,uone misafara na timu za mamia ya watu.
 
Hapo hamna kikao wanatuzuga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…