Madwari Madwari
JF-Expert Member
- Sep 16, 2014
- 1,825
- 3,085
Kunawatu hawajui nini maana ya uongozi. Unakuta mtu anasema Tanzania tuna jeshi bora afrika hivi unadhani kagame kasomea political science and administration ? Kuna vitu vinatokea vinaishushia hadhi jeshi sana. Mabasi ya jeshi kubeba madiwani au wajumbe wa CCM. Amiri mkuu wa majeshi ubaliambia jeshi lijiandae na uchaguzi are serious ?Ye anapiga Combat ili kupiga picha! Mwenzake akipiga Combat yuko kazini kuwapa maarifa na morali askari wake.
We're fucked up!
Mkuu ukilamba asali tena utaanza kusifia kama kipindi cha DP W? Hii sudden change in perspective uliyomo saivi imesababishwa na nini?Ye anapiga Combat ili kupiga picha! Mwenzake akipiga Combat yuko kazini kuwapa maarifa na morali askari wake.
We're fucked up!
Hawa ndo wachambuzi sasa. Ona wanavvyosema kwa uwazi kuwa haijasemwa sababu ya msingi kwa nini wanatoa vikosi vyao. Wanasema kabisa Je mission imefeli? na kumbuka hii ni television ya Taifa ya South Africa.13 March 2025
Johannesburg, South Africa
SADC imeamua kuondoa wanajeshi kutoka DRC: mchambuzi Dk Kingsley Makhubela achambua uamuzi huu mgumu
View: https://m.youtube.com/watch?v=hhJjrCRfPY0&t=19s&pp=2AETkAIBDk Kingsley Makhubela, ni balozi wa mstaafu na Mkurugenzi wa Risk Recon, anafafanua uamuzi wa SADC wa kusitisha majukumu ya Misheni ya Kijeshi nchini DRC.
More info :
Ramaphosa, welcomed a decision taken by the SADeC Extraordinary summit to withdraw peacekeeping mission troops in the eastern Democratic Republic of Congo. He says a ceasefire and talks in the DRC are the only options that will bring peace.
President Ramaphosa says AU Chairperson and Angolan President, João Lourenço, will lead the negotiations to find lasting peace in the DRC.
“The decision to finally withdraw from the eastern DRC by the three troop contributing countries is also based on the fact that the ceasefire that we have sought to install in that place is now being embraced and we are going to see a ceasefire eventuating and getting the negotiations underway under the leadership of President Lourenço assisted by a number of facilitators,” says Ramaphosa.
Na hawasemi tu. Hiyo Withdrawal ni moja ya masharti ya M23 na Kagame.Silaha hizo zote za majeshi ya SAMIRDC yaani SADC itabidi ziachiwe M23?
Kagame na Museven don't joke. Wanajua mission zao na wako serious kwenye kuzifanikisha. Wao wana ndoto ya kuyatengeneza Mataifa yao kuwa imara kijeshi na kiuchumi ili kutawala Afrika. Na wanatimiza kweli ndoto hizo.Kunawatu hawajui nini maana ya uongozi. Unakuta mtu anasema Tanzania tuna jeshi bora afrika hivi unadhani kagame kasomea political science and administration ? Kuna vitu vinatokea vinaishushia hadhi jeshi sana. Mabasi ya jeshi kubeba madiwani au wajumbe wa CCM. Amiri mkuu wa majeshi ubaliambia jeshi lijiandae na uchaguzi are serious ?
Mkuu sio issue uimara wa majeshi ya SADC,Hapo ni issue ya economic war.Anayeleta matatizo yote Congo ni Rwanda kwa kupitia mataifa ya USA & UE.sasa USA amerudi kwa upande wa 2 kujifanya mtakatifu kutaka kumsaidia Congo-sasa ww unataka majeshi ya SADC yaendelee kuwepo ili iweje???Kagame na Museven don't joke. Wanajua mission zao na wako serious kwenye kuzifanikisha. Wao wana ndoto ya kuyatengeneza Mataifa yao kuwa imara kijeshi na kiuchumi ili kutawala Afrika. Na wanatimiza kweli ndoto hizo.
Kagame alijua SADC hakuna strong leadership kuwa wapambania madaraka tu pale alipoombwa ba Ufaransa kwenda Kaskazini mwa Msumbiji kupatuliza.
Na alituma vikosi vyake kweli na akapatuliza wakati SADC walishindwa kufanya hayo.
Kagame anaijua sana SADC na anajua vyama vya ukombozi wa Afrika ambavyo vingi ndo vinatawala nchi za SADC vimeishiwa think tanks wa kuongoza vizuri kwenye karne hii ya Ushindani, Sayansi na Teknolojia na kujikitq katika ku politicise majeshi yao na intelligence agencies zao ili viwasaidie kuendelea kubaki madarakani.
Kagame anajua hizi nchi za SADC hasa zinazoongozwa na vyama vya ukombozi nyingi ziko kwenye blink of collapse kutokana na kutojikita kwenye kujijenga vizuri ki intelligensia na kijeshi. Hivyo aliset vizuri mission yake ya kuingia Congo.
Haya ndo matokeo tunayoyaona sasa.
Akina Mnagangwa walipata Nchi wakiwa na Mugabe kwa njia hizo hizo za M23, Rwanda walipata nChi kwa njia hizo hizo za M23.Haya sasa!
SADC wamesalimu amri kwa M23/ Rwanda. Wakuu wa nchi wameamua Vikosi vilivyopo Congo viondoke.
Sote tunakumbuka, hili lilikuwa takwa na agizo la M23 na Kagame kuwa vikosi vyote vya kigeni viondoke Mashariki mwa Congo DRC.
Nadhani kwa haya yaliyotokea, sote sasa tunajua mbabe wa Afrika ni Kagame/ Rwanda!
Msiniulize tena kwa nini nitailani milele CCM kwa kutufikisha hapa.
View attachment 3269444View attachment 3269445View attachment 3269445
Kwanza majeshi ya SADC yameruhusu vipi Loophole ya Trump kuja?Mkuu sio issue uimara wa majeshi ya SADC,Hapo ni issue ya economic war.Anayeleta matatizo yote Congo ni Rwanda kwa kupitia mataifa ya USA & UE.sasa USA amerudi kwa upande wa 2 kujifanya mtakatifu kutaka kumsaidia Congo-sasa ww unataka majeshi ya SADC yaendelee kuwepo ili iweje???
Simila Case ya Mobutu versus Patrice Lumumba.Huyo Rais wa Congo nadhani kama hajawapa basi yupo mbioni kuwapa USA mali zote on a silver platter (ni yale yale kama walivyomtumia Mobutu kama puppet wao); Ila ndio hivyo waafrika tunatafutana uchawi wenyewe kwa wenyewe wakati watu wanafaidi huko mbali..., Divide and Rule bado na itaendelea kututafuna mpaka keshokutwa..
And an average Congolese continue to suffer (minerals kwake zimekuwa a curse)
Mzee kwa sasa sio muda mzuri sana wa kuonyesha ubabe..uchaguzi unakuja na huwezi jua what was next. Africa nzima inatokota moto kuanzia Ethiopia mpaka South AfricaJeshi limekuwa jepesi sana. Acha Kagame awafundishe nini maana ya Jeshi imara.
Afrika kumenuka mmh!!Mzee kwa sasa sio muda mzuri sana wa kuonyesha ubabe..uchaguzi unakuja na huwezi jua what was next. Africa nzima inatokota moto kuanzia Ethiopia mpaka South Africa
Uchaguzi ndo nini? Kama mna mifumo mizuri ya kidemokrasia mnahofia nini?Mzee kwa sasa sio muda mzuri sana wa kuonyesha ubabe..uchaguzi unakuja na huwezi jua what was next. Africa nzima inatokota moto kuanzia Ethiopia mpaka South Africa
Rwanda na Uganda wanavyopigana hawana concerns za kiuchumi? Ni nyie tu mlio na concerns za kiuchumi?Mkuu sio issue uimara wa majeshi ya SADC,Hapo ni issue ya economic war.Anayeleta matatizo yote Congo ni Rwanda kwa kupitia mataifa ya USA & UE.sasa USA amerudi kwa upande wa 2 kujifanya mtakatifu kutaka kumsaidia Congo-sasa ww unataka majeshi ya SADC yaendelee kuwepo ili iweje???
Wamesema lini?Sasa wewe unataka liendelee kukaa ili iweje,ilihali Trump & Elon Musk wamisha sema watawalinda Kongo kwa mabadilishano na madini???.