valet de chambre
JF-Expert Member
- Mar 12, 2017
- 1,044
- 1,112
Trump anachukua nafasi mkuuHaya sasa!
SADC wamesalimu amri kwa M23/ Rwanda. Wakuu wa nchi wameamua Vikosi vilivyopo Congo viondoke.
Sote tunakumbuka, hili lilikuwa takwa na agizo la M23 na Kagame kuwa vikosi vyote vya kigeni viondoke Mashariki mwa Congo DRC.
Nadhani kwa haya yaliyotokea, sote sasa tunajua mbabe wa Afrika ni Kagame/ Rwanda!
Msiniulize tena kwa nini nitailani milele CCM kwa kutufikisha hapa.
View attachment 3269444View attachment 3269445View attachment 3269445
Vita sio lelemama !Hakuna manufaa yeyote kwa SADC kuwepo eastern congo. Ni kujiongezea gharama zisizo na msingi. Kagame hajapata ushindi wowote maana mapigano yanaendelea. Suluhu ya matatizo haya ni kuongea kati ya serikali ya congo na kundi la M23 . Nimefurahi kusikia Tshisekedi amekubali kukutana na M23 katika mazungumzo yaliyoitishwa na Angola.
Msipende kushabikia vita athari ni kubwa kuliko faida .
Kama mna mfumo au tuna mfumo,. Upande wako ni upi?Uchaguzi ndo nini? Kama mna mifumo mizuri ya kidemokrasia mnahofia nini?
Kwa Taifa lenye akili na maarifa uchaguzi unazuia shughuli za masingi kufanyika?
Deal Done ✅ madini kwaheri !Trump anachukua nafasi mkuu
Weee kumbe.. alafu ndoto yako ikaendeleaje sasa??Rwanda ni superpower ktk ukanda huu wa afrika mashariki , kusini na kati
Kwani Rwanda na Uganda mbona wanapigana kila siku na hawafirisiki?Vita sio lelemama !
Vita havina macho !
Vita vinaleta umasikini !
Bado tunavikumbuka vita vya kumtandika Iddi Amin Dada !
Kwani hujawaelewa wanaosema tufanye Reforms kuweka mifumo sahihi ya uchaguzi?Kama mna mfumo au tuna mfumo,. Upande wako ni upi?
Umeshajichanganya, maandishi yako mengi yanadhiri nafsi yako ilipo..jitahidiKwani hujawaelewa wanaosema tufanye Reforms kuweka mifumo sahihi ya uchaguzi?
Option that deal with buyer or via broker at end mnufaika ni mmoja. Kifupi mchawi mpe mwanao that what felix didDeal Done ✅ madini kwaheri !
Wacha yaende yakaijenge upya Los Angeles yetu ilioungua na moto !
Tutakuwa tunaruka na madege ya Air France 🇫🇷 kwenda kula Bata huko !
Hamna shida !
Kwa sasa tunachutama tumevukwa na taulo... sio muda mzuri kumkimboza mwiziKwani Rwanda na Uganda mbona wanapigana kila siku na hawafirisiki?
Semeni tu mmekosa akili na maarifa kukuza uchumi. Msisingizie vita.
Msisingizie au tusisingizie?Kwani Rwanda na Uganda mbona wanapigana kila siku na hawafirisiki?
Semeni tu mmekosa akili na maarifa kukuza uchumi. Msisingizie vita.
Iko vile !Option that deal with buyer or via broker at end mnufaika ni mmoja. Kifupi mchawi mpe mwanao that what felix did
Una hojaUchaguzi ndo nini? Kama mna mifumo mizuri ya kidemokrasia mnahofia nini?
Kwa Taifa lenye akili na maarifa uchaguzi unazuia shughuli za masingi kufanyika?
Nafikiri wewe bado mtoto wa maswala haya.Haya sasa!
SADC wamesalimu amri kwa M23/ Rwanda. Wakuu wa nchi wameamua Vikosi vilivyopo Congo viondoke.
Sote tunakumbuka, hili lilikuwa takwa na agizo la M23 na Kagame kuwa vikosi vyote vya kigeni viondoke Mashariki mwa Congo DRC.
Nadhani kwa haya yaliyotokea, sote sasa tunajua mbabe wa Afrika ni Kagame/ Rwanda!
Msiniulize tena kwa nini nitailani milele CCM kwa kutufikisha hapa.
View attachment 3269444View attachment 3269445View attachment 3269445
Acha mbwembwe bro, hapo ni USA, hataki majeshi ya kulinda Amani, hapo Congo, USA ameingia mkataba na Congo wa kuchimba madini, hataki SADC wawepo, Rejea bifu la Trump, USA na Ramaphosa, south afrika, wa, south kupitia SADC wali kuwa wanaiba madini tu, kama anavyofsnya kagame, sasa hv madini yatachukuliwa na mzungu, America! Kagame atatoa wanajeshi kulinda wafanyakazi, wa, makampuni ya wazungu wakati wanachimba madini, anafsnya Hi you msumbiji,Haya sasa!
SADC wamesalimu amri kwa M23/ Rwanda. Wakuu wa nchi wameamua Vikosi vilivyopo Congo viondoke.
Sote tunakumbuka, hili lilikuwa takwa na agizo la M23 na Kagame kuwa vikosi vyote vya kigeni viondoke Mashariki mwa Congo DRC.
Nadhani kwa haya yaliyotokea, sote sasa tunajua mbabe wa Afrika ni Kagame/ Rwanda!
Msiniulize tena kwa nini nitailani milele CCM kwa kutufikisha hapa.
View attachment 3269444View attachment 3269445View attachment 3269445
Kama wenye nchi wenyewe hawawezi kuipigania nchi yao kwanini wengine waipiganie? Unafikiri Kagame anaweza kuvamia inchi moja ya ardhi yetu na tukafanya vikao vya SADC?Haya sasa!
SADC wamesalimu amri kwa M23/ Rwanda. Wakuu wa nchi wameamua Vikosi vilivyopo Congo viondoke.
Sote tunakumbuka, hili lilikuwa takwa na agizo la M23 na Kagame kuwa vikosi vyote vya kigeni viondoke Mashariki mwa Congo DRC.
Nadhani kwa haya yaliyotokea, sote sasa tunajua mbabe wa Afrika ni Kagame/ Rwanda!
Msiniulize tena kwa nini nitailani milele CCM kwa kutufikisha hapa.
View attachment 3269444View attachment 3269445View attachment 3269445
Mtamsingizia sana USA. Badilikeni, huu ni ujumbe tu mnatumiwa kuwa badilikeni maana yajayo yanafurahisha.Acha mbwembwe bro, hapo ni USA, hataki majeshi ya kulinda Amani, hapo Congo, USA ameingia mkataba na Congo wa kuchimba madini, hataki SADC wawepo, Rejea bifu la Trump, USA na Ramaphosa, south afrika, wa, south kupitia SADC wali kuwa wanaiba madini tu, kama anavyofsnya kagame, sasa hv madini yatachukuliwa na mzungu, America! Kagame atatoa wanajeshi kulinda wafanyakazi, wa, makampuni ya wazungu wakati wanachimba madini, anafsnya Hi you msumbiji,
Kagsme ni Attach Dog, blue eyed boy wa western, atatumiwa, wakimchoka, kaisha
Kwani EU walivyosimama na Ukraine inamaanisha Ukraine walishindwa kupigania nchi yao?Kama wenye nchi wenyewe hawawezi kuipigania nchi yao kwanini wengine waipiganie? Unafikiri Kagame anaweza kuvamia inchi moja ya ardhi yetu na tukafanya vikao vya SADC?