Viongozi wa SADC wasalimu amri wa Kagame! Wakubali kuondoa vikosi vyao CONGO DRC. Huu ni ushindi kwa Kagame na hatari kwa mataifa yanayomzunguka

Haya sasa!

SADC wamesalimu amri kwa M23/ Rwanda. Wakuu wa nchi wameamua Vikosi vilivyopo Congo viondoke.

Sote tunakumbuka, hili lilikuwa takwa na agizo la M23 na Kagame kuwa vikosi vyote vya kigeni viondoke Mashariki mwa Congo DRC.

Nadhani kwa haya yaliyotokea, sote sasa tunajua mbabe wa Afrika ni Kagame/ Rwanda!

Msiniulize tena kwa nini nitailani milele CCM kwa kutufikisha hapa.

View attachment 3269444View attachment 3269445View attachment 3269445

Uilaani CCM 😁😁😁 , mtakuja kuelewa mchezo baadae saana ,, mnadhani Kagame kwenye ukanda huu alikua peke yake... ....watu walikua wanapoteza maboya tu Kagame kapata support nzuri tu kwa nchi zinazomzunguka, sema mnategemea muone au kusikia kila kitu kwenye media....Tshisekedi kayakanyaga tena ameingia kwenye makubaliano na Marekani huku Kabila nae anataka kurudi kwenye siasa...........yajayo yanafurahisha........M23 walikua na uhakika na wanachofanya........intelijensia nzuri ndo kila kitu ...sio mnajaza viazi kitengo halafu mnategemea ndumba tu
 
Kagame kawashika Tanzania na Kenya kupitia viongozi wakuu na ndio maaana alijua hakuna wakumzingua
 
Kagame amejizatiti sana kijeshi,madini adimu yanayopatikana Mashariki ya Congo yameitajirisha sana Rwanda na katika utajiri huo Kagame kawekezi kwenye jeshi ili aendelee kupora utajiri wa DRC amenogewa sasa anaitaka Kishansa kabisa kisha aigeukie Tanzania huyu siyo wa kumchekea ana malengo ya mbali sana atatusumbua sana.
Uko sahihi kabisa, cdf alishatoa kauli juu ya wakimbizi kupewa vyeo vya maamuzi lakini hakuna hatua iliyochukuliwa, huko mbele naiona tz ikipigwa na nchi ndogo
 
Traore alimwambia rais wakongo kuwa naomb nilipe mm nikuuzie siraha nzito tuone kama hao m23 watabaki au lete askari wako niwape mafunzo akakataa kitendo cha kumpa dhamana mmarekani ndicho kimetengenezwa anaigia mkataba na wewe anapotumia siraa zake atachukua rasilimali za madini kiasi gani afrika tuamke Ubeligiji anashindwa kulipa fadhira yeye ndy alitajirika na raslimali za congo lkn atuone akitoa support umoja wa afrika hiz ndo agenda za kuimarisha tunataka amani ufashiri wenye riba ndogo na umoja
 
Hili nimelijua hivi karibuni aisee Nchi hii hatari sana ila hii tabia ya kufinya kimnya kimnya ndio maana wanaonekana wapo wapo tu

Nb, kuna mzee muuza machungwa hapa kanipenyezea kuwa SADC kuondoa majeshi huko ni mtego tu ili watu warudi kivingine sijajua kamaanisha
Stori za vijiweni amna lolote game imeisha Kagame simpendi ila kwenye ili kawa mbabe baadae atakuja kuichukua Karagwe suala la Mda tu
 
watzania wenyewe kindakindaki wala hawana habari na mambo haya wao wapo kwenye mgogoro wa tarehe 8 wa simba na yanga.

Screenshot_20250314-101718_YouTube.jpg
 
Mlishaambiwa ndugu wakipigana chukua jembe lako ukalime siku wakipatana chukua kapu ukajaze mavuno wenzenu wako Angola tayari na wameshapatana nyie mko huko mapolini mnaendelea kupasuana
 
Naunga mkono Kujitoa kwake Kwa sababu huyo Felix Tchisekedi ameona hawana maana na alikataa mazungumzo na M23/Rwanda ila Sasa ameenda Angola kujibembeleza.
Ngoja tuone mwisho.

Felix Tchisekedi aendelee Sasa na USA Kwa kubadilishana na Madini maana ameona kuwapa Madini SADC ni hasara ila USA ni faida.

===

The Southern African Development Community (SADC) has resolved to withdraw a regional peacekeeping force from the Democratic Republic of Congo following rapid advances by the M23 rebels that resulted in the death of peacekeepers.

The SADC leaders made the resolution at an extraordinary summit on Thursday held virtually to discuss the deteriorating security and humanitarian situation in eastern DRC.

At least 20 soldiers from South Africa, Tanzania, and Malawi were killed when the M23 rebels seized the eastern DRC city of Goma in January.

The SADC Mission in the DRC (SAMIDRC) was first deployed on December 15, 2023, and its mandate was only renewed in November last month.

In a communique, the regional leaders called for a “diplomatic and political solution” to the conflict that has displaced millions of people.

“Summit terminated the mandate of SAMIDRC and directed the commencement of a phased withdrawal of SAMIDRC troops from the DRC,” reads part of the communique.
 
Ngoja tuone mwisho wake.

View: https://www.instagram.com/p/DHK_SccI9fF/?igsh=dWk5dmtkcWpwaGJo
My Take
Felix Tchisekedi aendelee Sasa na USA Kwa kubadilishana na Madini maana ameona kuwapa Madini SADC ni hasara ila USA ni faida.

SADC hawana uwezo huo,na pale M23 ni jeshi la Rwanda na Uganda wakisaidiwa na Kabila.Juzi nilisikiliza mahojiano ya Kabila akiwa Namibia kuhani msiba wa Sam Nujoma...Kabila anawasapoti M23,nikasema basi hii issue ya DRC ni ngumu sana haiwezi isha leo.SADC walikosea ile 2013 ilitakiwa wambane Kabila kuhakikisha wale M23 waliokimbilia Uganda na Rwanda wanafuata huko huko,but inaonekana Kabila naye ni jamaa zake haikuwa hivyo,kwa hiyo wamejipanga kwa miaka 12
 
Sadcc must with draw immediately, tatizo kubwa ni kuwa wakongo hawaaminiki, they are not real fighter, kila dakika wanaunga mkono waasi wanabwaga silaha, mean hawapo karibu na serekali yao!, m23, wakiwaambia waache ujinga watapata faranga, na wanadondoshewa kidogo wanasaula!, Njaa kwa majeshi ya drc pia ni kikwazo!
 
Naunga mkono Kujitoa kwake Kwa sababu huyo Felix Tchisekedi ameona hawana maana na alikataa mazungumzo na M23/Rwanda ila Sasa ameenda Angola kujibembeleza.
Ngoja tuone mwisho.

Felix Tchisekedi aendelee Sasa na USA Kwa kubadilishana na Madini maana ameona kuwapa Madini SADC ni hasara ila USA ni faida.

===

The Southern African Development Community (SADC) has resolved to withdraw a regional peacekeeping force from the Democratic Republic of Congo following rapid advances by the M23 rebels that resulted in the death of peacekeepers.

The SADC leaders made the resolution at an extraordinary summit on Thursday held virtually to discuss the deteriorating security and humanitarian situation in eastern DRC.

At least 20 soldiers from South Africa, Tanzania, and Malawi were killed when the M23 rebels seized the eastern DRC city of Goma in January.

The SADC Mission in the DRC (SAMIDRC) was first deployed on December 15, 2023, and its mandate was only renewed in November last month.

In a communique, the regional leaders called for a “diplomatic and political solution” to the conflict that has displaced millions of people.

“Summit terminated the mandate of SAMIDRC and directed the commencement of a phased withdrawal of SAMIDRC troops from the DRC,” reads part of the communique.
Tshesekedi karithi huu ujinga uliotengenezwa na Nyerere kupitia vijana wake M7 na Kagame nia ikiwa kumtoa Mobutu,leo M7 na Kagame wamenogewa na madini wamegoma kuondoka...kwa hiyo Tanzania wanapigana na kinyago walichokichonga wenyewe
 
Naunga mkono Kujitoa kwake Kwa sababu huyo Felix Tchisekedi ameona hawana maana na alikataa mazungumzo na M23/Rwanda ila Sasa ameenda Angola kujibembeleza.
Ngoja tuone mwisho.

Felix Tchisekedi aendelee Sasa na USA Kwa kubadilishana na Madini maana ameona kuwapa Madini SADC ni hasara ila USA ni faida.

===

The Southern African Development Community (SADC) has resolved to withdraw a regional peacekeeping force from the Democratic Republic of Congo following rapid advances by the M23 rebels that resulted in the death of peacekeepers.

The SADC leaders made the resolution at an extraordinary summit on Thursday held virtually to discuss the deteriorating security and humanitarian situation in eastern DRC.

At least 20 soldiers from South Africa, Tanzania, and Malawi were killed when the M23 rebels seized the eastern DRC city of Goma in January.

The SADC Mission in the DRC (SAMIDRC) was first deployed on December 15, 2023, and its mandate was only renewed in November last month.

In a communique, the regional leaders called for a “diplomatic and political solution” to the conflict that has displaced millions of people.

“Summit terminated the mandate of SAMIDRC and directed the commencement of a phased withdrawal of SAMIDRC troops from the DRC,” reads part of the communique.
Wajitoe na UN na majesho yote yarudi ma kwao, hao wanapambania ardhi yao, hao ni ndugu, majeshi yotee yaondoke huko watakaa kwa amani niamini mimi kama hutaki meza wembe
 
Haya sasa!

SADC wamesalimu amri kwa M23/ Rwanda. Wakuu wa nchi wameamua Vikosi vilivyopo Congo viondoke.

Sote tunakumbuka, hili lilikuwa takwa na agizo la M23 na Kagame kuwa vikosi vyote vya kigeni viondoke Mashariki mwa Congo DRC.

Nadhani kwa haya yaliyotokea, sote sasa tunajua mbabe wa Afrika ni Kagame/ Rwanda!

Msiniulize tena kwa nini nitailani milele CCM kwa kutufikisha hapa.

View attachment 3269444View attachment 3269445View attachment 3269445

===
Jumuiya ya Maendeleo ya Kusini mwa Afrika (SADC) imeamua kumaliza rasmi operesheni yake ya kijeshi katika eneo la mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) kufuatia hasara kubwa zilizopatikana, ikiwemo vifo vya zaidi ya wanajeshi kumi na wanne mnamo Januari.

Uamuzi huu ulifikiwa katika mkutano wa kilele wa mtandaoni siku ya Alhamisi, ukihitimisha operesheni ambayo ililenga kurejesha amani na usalama katika eneo hilo ambalo limekuwa likikumbwa na migogoro kwa takriban miongo mitatu.

Taarifa ya mkutano huo wa Machi 13, 2025, ilithibitisha kuwa mamlaka ya SADC Mission in the DRC (SAMIDRC) yamekamilika, na kwamba kuondolewa kwa vikosi kutafanyika kwa awamu.

SAMIDRC, ambayo ilihusisha wanajeshi kutoka Malawi, Tanzania, na Afrika Kusini, ilitumwa DRC mnamo Desemba 2023 kusaidia serikali ya nchi hiyo kupambana na ghasia zinazoendelea.

Hata hivyo, operesheni hiyo ilikumbwa na hasara kubwa, hasa kwa Afrika Kusini, ambayo ilipoteza wanajeshi 14 mnamo Januari wakati wa mapigano. Aidha, wanajeshi watatu wa Malawi na wanajeshi wawili wa Tanzania pia waliuawa kwenye mapambano hayo.

Afrika Kusini, ambayo inadaiwa kuwa na idadi kubwa ya wanajeshi waliotumwa DRC, imekuwa ikishinikizwa kuondoa vikosi vyake, hasa baada ya ripoti kuonyesha kuwa baadhi ya wanajeshi wake wamezuiliwa kambini na wapiganaji wa M23.

Tangazo la kuondolewa kwa vikosi vya kijeshi limetolewa siku moja tu baada ya Angola kuthibitisha kuwa mazungumzo ya amani kati ya DRC na kundi la waasi la M23 yataanza wiki ijayo jijini Luanda.

Rais wa Afrika Kusini Cyril Ramaphosa amesema kuwa kuondolewa kwa vikosi kutafanyika kwa utaratibu, kulingana na hali ya usalama inavyoendelea katika eneo hilo.

Licha ya hali tete, alieleza matumaini kuwa juhudi za amani zinazoendelea na mazungumzo yanayotarajiwa kuanza zitasaidia kuimarisha utulivu katika eneo hilo.

SADC, kwa kushirikiana na Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC), imekuwa ikitoa msukumo kwa suluhisho la kidiplomasia na kisiasa kuhusu mgogoro huo, huku ikihimiza jumuiya ya kimataifa kuchukua hatua dhidi ya janga kubwa la kibinadamu linaloendelea.

Hali inaendelea kuwa nyeti, huku kundi la waasi la M23, linalodaiwa kupata msaada kutoka Rwanda, likizidi kusonga mbele katika eneo lenye utajiri wa madini mashariki mwa DRC.

Rais wa Angola João Lourenço pia amekuwa mstari wa mbele katika juhudi za upatanishi, ambazo zimepata msukumo mpya baada ya kukutana na Rais wa DRC Félix Tshisekedi, ambaye hapo awali alikuwa akipinga mazungumzo ya moja kwa moja na M23.

Source: News Central
Wacha upuuzi yaani Kibaraka Felix Tchisekedi ameamua kukubaliana na USA achukue Madini yake eti amlinde ulitegemea SADC wabakie kufanya nini huko?

Huyo kibaraka Toka Mwanzo Huwa tayari Kwa mazungumzo Wala kukubari maazimia ya SADC badala ske akawa anajitembeza huko Ulaya alikokulia.

Nampongeza Rais Kwa uamzi huu,wasije kurudia tena kuhangaika na hao wapuuzi qa Congo waachwe wapambane kivyao maana ni vigeu geo.

Mwisho Kagame hana jipya tunasubiria kuona jinsi USA atakavyomlinda huyo Felix Tchisekedi kwa kubadilishana na Madini.
 
Hujui unalozungumza. Polee sana

Kwa ulivyoandika tu inaonekana Military Propaganda za Kagame zimekuingia vizuri sana.
 
Back
Top Bottom