Smt016
JF-Expert Member
- Jan 11, 2016
- 3,012
- 4,300
Uzi umeanzishwa na nani? Ila wewe jamaa nilikuwa nakuona una utimamu wa akili ila kwanzia nilipoona unasema ligi kuu inaangaliwa head to head kama mkilingana point nikakudharau sana. Uzi umeletwa na mwingine watu wanachangia kama ulivyochangia wewe hapa ila unaongea pumba.Nakunukuu: "Nimeona humu wakisema..." Mwisho wa kukunukuu.
Tatizo lako lilianzia hapo. Ulikurupuka kuanzisha uzi kwa kuona comments za watu wasiohusika wala kuzijua kanuni za uendeshaji wa ligi yetu. Ndio maana umebaki unalalamika peke yako, wakati KMC hawajawahi kulalamika na wameshasafiri kwenda kucheza mechi. Badala yake nilichoona unaanza kutafuta ufafanuzi na kujaribu kuwahamishia lawama 'waliomo humu'. Hujachelewa lakini, unaweza tu kumuomba Mod afute uzi huu kimya kimya maana mtu mzima unavuliwa nguo katikati ya soko. Endelea kuona humu. Mambo mengine yanachangiwa na uduni wa elimu
Hao waliosema sheria ni siku 7 walijitungia kichwani? Kusafiri kwa KMC kunaweza kuwa ni kutokana na unyonge walionao kwenye soka la Tanzania ukizingatia ni ya timu mbili ya Simba na Yanga. Acha kukurupuka ovyo
Pia soma Msemaji wa KMC: Tutaenda uwanja wa Meja Isamuyo kucheza