Viongozi wa shirikisho la soka Tanzania hivi mbona mnapenda kujiabisha waziwazi kila mmoja ajue mapungufu yenu?

Uzi umeanzishwa na nani? Ila wewe jamaa nilikuwa nakuona una utimamu wa akili ila kwanzia nilipoona unasema ligi kuu inaangaliwa head to head kama mkilingana point nikakudharau sana. Uzi umeletwa na mwingine watu wanachangia kama ulivyochangia wewe hapa ila unaongea pumba.
Hao waliosema sheria ni siku 7 walijitungia kichwani? Kusafiri kwa KMC kunaweza kuwa ni kutokana na unyonge walionao kwenye soka la Tanzania ukizingatia ni ya timu mbili ya Simba na Yanga. Acha kukurupuka ovyo

Pia soma Msemaji wa KMC: Tutaenda uwanja wa Meja Isamuyo kucheza
 

Attachments

  • IMG_20240524_092617.jpg
    410.9 KB · Views: 2
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…